Re: Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

By
Rutashubanyuma
Ndahani uko sahihi kabisa.......sifa za watu baki haziwezi kumfanya mwanaumme avimbe kichwa na avumilie kijike ambaye anamdharau.........
Ruta,
Waswahili wanasema ukitaka kula nguruwe chagua aliyenona...tumechanganya na kuchaguana kwenye maisha ya ndoa maana mashallah, watu wanaweza kuwa wamenona lakini wanaishi bila furaha kabisa. Sasa inasaidia nini? Tungejua maisha yanataka nini pengine tungesahau hiyo habari ya nachukua jamaa mpaka mtaa mzima watanikoma. Badala ya mtaa kukoma unakoma mwenyewe.
We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
Ralph Waldo Emerson
Follow Us Here