Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

    Report Post
    Page 1 of 6 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 112
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Nimeshangazwa na taarifa ya Kadhi Mkuu kule Zenji kuwa zaidi ya asilimia 70 ya kesi za talaka ni wake wakidai walimwe talaka tatu na waume zao baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanywasaji, kutelekezwa na kudhalilishwa na waume zao................katika makala hii ya habari leo isomekayo kama.............Utoaji talaka wakithiri Zanzibar inathibitisha ya kuwa ndoa zimeparanganyika sana kule visiwani kama huku bara kutokana na waume kushindwa kubeba majukumu yao........................hat ujui kwa kiasi gani na hao wake wameshindwa kubeba majukumu yao hususani la utii kwa waumme zao hata kusababisha kujikuta wanapata mateso makubwa kwa kisa "wameolewa"................... .
      wahida likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Miaka 50

    3. #2
      FirstLady1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2009
      Location : Mama Mwenye Nyumba
      Posts : 14,976
      Rep Power : 3704
      Likes Received
      3582
      Likes Given
      5771

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Bwana Ruta kwa nini unashangaa ?
      Haika and Rutashubanyuma like this.
      No one is in charge of your happiness except you...
      God time is the best..

    4. #3
      Smile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Location : paradise
      Posts : 11,325
      Rep Power : 23407
      Likes Received
      8238
      Likes Given
      5854

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      tatizo la wanawake wa kiislamu ...
      yupo ndani anatafuta mchumba...
      akishapata mchumba...anadai talaka anaenda kuolewa zake...
      mtu mmoja nguzo tano...loh AshaDii samahani my dia
      Rutashubanyuma likes this.
      It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long

    5. #4
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Watoto wanalewaje katika mazingira hayo? Duh ndio maana hawautaki muungano!(kama huu wa ndoa tu hawauwezi)
      Rutashubanyuma and omujubi like this.
      A compliment is something like a kiss through a veil

    6. #5
      Mvaa Tai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2009
      Location : Ngudu, Mwanza
      Posts : 3,459
      Rep Power : 1189
      Likes Received
      1435
      Likes Given
      939

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuishi na waluka ukuta.
      Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?

    7. #6
      Lizzy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Location : UngaLTD!
      Posts : 21,403
      Rep Power : 14597
      Likes Received
      7869
      Likes Given
      1969

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Ni haki yao. . . acha waitumie waonavyo inafaa.
      mkomatembo likes this.

    8. #7
      Smile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Location : paradise
      Posts : 11,325
      Rep Power : 23407
      Likes Received
      8238
      Likes Given
      5854

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Quote By Ezan
      Hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuishi na waluka ukuta.
      mmmh .. so wazanzibari ni warukaji?.... si tumeungana nao lakini?
      It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long

    9. #8
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Mwanamke wa Zanzibar huheshimika zaidi kwa idadi ya 'vyuo' alivyonavyo
      nyumba kubwa likes this.
      A compliment is something like a kiss through a veil

    10. #9
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Bwana Ruta kwa nini unashangaa ?
      FirstLady1..........Mie nilikuwa nawaona wazenji watu wa swala tano na kwa hiyo maadili yamewakaa na siye huku bara tumepotea
      Henge likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    11. #10
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      tatizo la wanawake wa kiislamu ...
      yupo ndani anatafuta mchumba...
      akishapata mchumba...anadai talaka anaenda kuolewa zake...
      mtu mmoja nguzo tano...loh AshaDii samahani my dia
      Smile mie hiyo avatar inanifanya niikodolee macho hata nisiweze kutafakari unachosema...................i t is quite a distraction, at least to me personally...................
      Smile likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    12. #11
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      mmmh .. so wazanzibari ni warukaji?.... si tumeungana nao lakini?
      Smile nawe unaamini wazenji wote ni waruka ukuta?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    13. #12
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuishi na waluka ukuta.
      kwa hiyo @ tatizo ni kurukwa ukuta au waume zao hurukwa ukuta?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    14. #13
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Watoto wanalewaje katika mazingira hayo? Duh ndio maana hawautaki muungano!(kama huu wa ndoa tu hawauwezi)
      CAMARADERIE........mazingira yepi?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    15. #14
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Mwanamke wa Zanzibar huheshimika zaidi kwa idadi ya 'vyuo' alivyonavyo
      CAMARADERIE..............hivi nako zenji kuna vyuo vya akina mama au ni hivi vya kawaida tu?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    16. #15
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Quote By Rutashubanyuma
      CAMARADERIE........mazingira yepi?
      Mazingira ya talaka......kila siku mama wa kambo mpya?
      A compliment is something like a kiss through a veil

    17. #16
      CAMARADERIE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Location : 1 Luthuli Street
      Posts : 4,163
      Rep Power : 2720
      Likes Received
      1587
      Likes Given
      1145

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Quote By Rutashubanyuma
      CAMARADERIE..............hivi nako zenji kuna vyuo vya akina mama au ni hivi vya kawaida tu?
      Ndoa ni chuo pia kule....
      A compliment is something like a kiss through a veil

    18. #17
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Ni haki yao. . . acha waitumie waonavyo inafaa.
      Lizzy haki yao kama ni kuachika na wajibu wao ni upi?.......................... hakuna haki bila ya wajibu, you know that.......
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    19. #18
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      kwa nini talaka 3....kwanini isiwe tu wanadai talaka... 3 au 1 whats the difference
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    20. #19
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,737
      Rep Power : 12927
      Likes Received
      4444
      Likes Given
      7465

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Ndoa ni chuo pia kule....
      @ipo kazi kama ndivyo hivyo............
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    21. #20
      lolyz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 286
      Rep Power : 451
      Likes Received
      162
      Likes Given
      266

      Default Re: wake kule visiwani wanaongoza kwa kudai talaka tatu!

      Ndoa za mkeka .....nguzo za ndoa kukamilika ----awepo :kwa walii, mashahidi wawili, mke na mume, kukubali na kuitikia.ina maana ukitimiza haya tuu hiyo ni ndoa halali
      sasa swali linakuja hizi ndoa zipo Zanzibar kwa asilimia ngapi ? na zinazodumu hata kwa mwaka ni ngapi?
      Rutashubanyuma likes this.
      Ukaniite siku ya mateso, Nitakuokoa na wewe utanitukuza :Zab (psalm)50:15

    Page 1 of 6 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...