Mwanajamvi mwenzetu Amefiwa na mama yake mzazi jioni ya leo huko Tabora tumuombee ndugu yetu Mungu amfanyie wepesi katika tukio hili zito
nawasilisha
Mwanajamvi mwenzetu Amefiwa na mama yake mzazi jioni ya leo huko Tabora tumuombee ndugu yetu Mungu amfanyie wepesi katika tukio hili zito
nawasilisha
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
anaitwa nani hapa jf?
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
R I P mama Maulid.......mapenzi ya Mungu yatimizwe.......
Life is too short to waste time hating anyone.........
Pole sana Maulid Manyala. Uwe na subra.
Pole sana Maulid Manyala..............
pole Maulid,Rip mama....
Poleni Maulid na familia nzima.
Follow Us Here