Re: Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!
Si kweli bana.
Design sio muhimu,kikubwa chupi iwe nyeupe,basi.
Mwanaume utavaaje michupi ya marangirangi?
Bishanga........chupi lazima ifunike mapaja ya mwanaumme kuonyesha hayana thamani ila ya mwanamke ndiyo yenye thamani..............kwa hiyo "Brief" is out and "Boxer" is an in-thing.................rangi ya chupi iwe moja tu marangirangi hayo ni ya wa akina dada waachiwe kujinoma huko.......................... lakini Bishanga rangi nyeupu inataka uwe na chupi angalau pea 14...................vinginevy o zaweza kufubaa kama hufulii kwenye mashine..........na huanza kuwa na rangi mbili na huchukiza..................
John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"
John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."
Follow Us Here