Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 87
    1. #1
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Imekuwa alfajiri, simu yangu inaita, naipokea na kusikia sauti ya kike, anajitambulisha kuwa ni mke wa rafiki yangu. Nahamaki kwa kudhani jamaa amepatwa na ajali au vipi kwani nae ni mlevi kwa muda sasa.

      Shemeji ananiita nyumbani kwao, nafika nakuta mke analia na bwana amelala fofofo, nauliza kama rafiki yangu anaumwa au vipi shemeji ananiambia kalala ila nikae anisimulie ndipo tumuamshe mshkaji. Naamua kukaa nipate kuelewa kwa nini yule bwana kalala usingizi wa pono huku mkewe akilia alfajiri yote ile.
      Mwanamke anasema jamaa amerudi kalewa, mke akamsaidia kushuka kwenye gari mpaka ndani, lakini alipofika sebuleni jamaa akawa mzito so mke akaamua amlaze kwenye kochi, sasa akamvua shati na akawa anamvua suruali ndipo akakutana na kituko cha mwaka.

      Jamaa ameivaa ndomu na mchuzi upo ndani, mkewe kaishiwa nguvu, anataka kuondoka ila ndio ana mimba na hana kazi kwani ndo amemaliza masomo ya chuo kikuu anataka akijifungua ndo awe busy kusaka kazi, mjini ana ndugu mmoja ambaye hawaivi.

      Nikaamua kumuamsha jamaa na kumuuliza kilichotokea, jamaa hana la kufanya kukataa hawezi ila kabaki kuomba msamaha. Naye tulipokuwa wawili nikamuuliza kwa nini kafanya hivyo? Naye anachokumbuka alikuwa kwa party ya ofisi, kuna mwanamke mzambia ni bosi wake walipiga ma-cocktail ya kumwaga wakaishia kuji-do kwenye gari. Kilichoendelea hakumbuki.

      Mkewe kaomba kukaa kwangu japo apate muda wa kufikiria zaidi, nimeongea na wife wangu amekubali ili tuisevu ndoa yao. Mke wa jamaa anaingia jioni ya leo. Wandugu mnadhani kwa hili tulilofanya tupo sawa?

    2. Miaka 50

    3. #61
      cartura's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 13th August 2009
      Location : Bongo
      Posts : 3,053
      Rep Power : 2725
      Likes Received
      747
      Likes Given
      6

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      jamaa angekomaa tu kwamba mzigo siyo wa kwake mpaka upelekwe kwa chief govt chemist kupima DNA teh teh teh

    4. #62
      Pretty R.'s Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 14th April 2012
      Posts : 115
      Rep Power : 381
      Likes Received
      7
      Likes Given
      23

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      huyo dada najua yupo kwenye hali ngumu apunguze mawazo asije akamiscarry bure, cha kufanya amsamehe mume wangu waanze upya, na huyo mwanaume aache pombe kabisa kwani ndo chanzo cha hayo yote kutojea. Pia wasali sana na wampe Mungu maisha yao ili wafurahie ndoa yao na watoto watakaojaliwa.

    5. #63
      ngafu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd November 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 405
      Likes Received
      12
      Likes Given
      180

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Quote By Purple
      ndoa ni mitikisiko ya ubongo ya kujitakia,ntachangia tu harusi za wenzangu..
      Hapana olewa mimi!
      Unajisave vp sasa?

    6. #64
      ngafu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd November 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 405
      Likes Received
      12
      Likes Given
      180

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Quote By Pretty R.
      huyo dada najua yupo kwenye hali ngumu apunguze mawazo asije akamiscarry bure, cha kufanya amsamehe mume wangu waanze upya, na huyo mwanaume aache pombe kabisa kwani ndo chanzo cha hayo yote kutojea. Pia wasali sana na wampe Mungu maisha yao ili wafurahie ndoa yao na watoto watakaojaliwa.
      Mume wako? kwenye nyekundu hapo

    7. #65
      ngafu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd November 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 405
      Likes Received
      12
      Likes Given
      180

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Quote By cartura
      jamaa angekomaa tu kwamba mzigo siyo wa kwake mpaka upelekwe kwa chief govt chemist kupima DNA teh teh teh
      Teh teh teh Duuuu!

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      ngafu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd November 2011
      Posts : 136
      Rep Power : 405
      Likes Received
      12
      Likes Given
      180

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Asamehe tu hayo ni matatizo ya kiufundi

    10. #67
      gfsonwin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 10,680
      Rep Power : 27091
      Likes Received
      10050
      Likes Given
      13953

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Ushauri wangu kwako kiongozi, kaa na huyo binti najua distance will shape that relationship. Siyo busara kwa mwanamke kusema eti sitosamehe au siolewi ukitaka kujua ungefanyaje subiri siku yakukute. Binafsi huwa naamin sana mahusiano yenye amani hata kama itagharimu sana kuipata na ndoa za aina hii hudumu sana asikudanganye mtu.

      wewe kaa na huyo mwanaume mwenzio mweleze kwa uwazi juu ya kilichotokea ili ajirekebihe pia mweleze juu ya mzigo na kazi aliyonayo hasa ya ubaba manake kuwa baba is more than having wife and kid. na maisha haya ya bongo sijui kwa stail hiyo kama atajenga. tena msemeshe kwa maneno makali siyo kwa hasira bali tumia maneno yenye kutia uchungu

    11. #68
      ngaranumbe's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 16th April 2012
      Posts : 139
      Rep Power : 385
      Likes Received
      26
      Likes Given
      0

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Huyo bwana siyo mstaarabu na naona ni tabia yake. Kuna siku atapiga kavu baada ya network kukatwa na pombe na hapo either + au - kuukwaa. Ushauri wangu pima kwanza kabwa ya kumpokea na tafuta wazee 2-3 wawapatanishe ili kuepuka balaa za mambo ya ndani; na hii itasaidia huyo binti asije akajidhuru na kwenda pema/pabaya peponi. Pia huyo binti ajue ndani ya ndoa kuna mambo makubwa zaidi ya hayo.

    12. #69
      punainen-red's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 1,737
      Rep Power : 853
      Likes Received
      390
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By Bondpost
      Kaka huyo binti wa kichaga tena hao si ndo wanasemaga we nenda kote ila ulete hela nyumbani. Hapo anapiga mkwara tu, ukimuangushia euro kadhaa mezani anatulia tuli.
      Umeona eeeh?! Yaani hapa nazikusanya kwa nguvu zote lazima kitaeleweka tu..

    13. #70
      punainen-red's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th November 2010
      Posts : 1,737
      Rep Power : 853
      Likes Received
      390
      Likes Given
      19

      Default

      Quote By Purple
      hahahaa bado masaa mangapi hiyo timing yake ikamilike,kama vipi kimbia kabisa unaweza kunibadilisha lol!
      Hii haina haja ya kukimbia, mwendo mdogomdogo bila haraka yoyote ndio mpango mzima...

    14. #71
      Pendael laizer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 945
      Rep Power : 560
      Likes Received
      90
      Likes Given
      5

      Default

      Quote By Purple
      ndoa ni mitikisiko ya ubongo ya kujitakia,ntachangia tu harusi za wenzangu..
      Hapana olewa mimi!
      Sasa wewe si utawaiba waume wa watu wengine kama hutaolewa. Na ile mambo utaipataje?

    15. #72
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By ngafu
      Asamehe tu hayo ni matatizo ya kiufundi
      Kweli kaka, hayo hutokea na yamemkuta jamaa yangu! Leo kwako kesho kwangu. Waswahili husema, ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji.

    16. #73
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By cartura
      jamaa angekomaa tu kwamba mzigo siyo wa kwake mpaka upelekwe kwa chief govt chemist kupima DNA teh teh teh
      Duh! Mazee unajua ile ni zaidi ya red handed! Yani mie nimefunuliwa jamaa kalala chakari, nakutana na abdala kichwa yupo kwenye mfuko wa mchuzi na mchuzi ndani, kaka unajua ni ngumu kuitetea? Ndo maana nimewaachia muda watafakari wote wawili kama wanahitaji kuishi kama mke na mume.

    17. #74
      KakaKiiza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2010
      Location : Here Where you see me!!
      Posts : 6,041
      Rep Power : 16328
      Likes Received
      2220
      Likes Given
      1261

      Default Re: Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

      Mwambie asamehe kwanza ampe hongera kwakukumbuka mpira wengi tunatembelea limu!!pili ajue daladala kugongwa ni sehemu maisha yake hata liwe jipya ili mradi ni daladala litagongwa tu!!
      Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!

    18. #75
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By gfsonwin
      Ushauri wangu kwako kiongozi, kaa na huyo binti najua distance will shape that relationship. Siyo busara kwa mwanamke kusema eti sitosamehe au siolewi ukitaka kujua ungefanyaje subiri siku yakukute. Binafsi huwa naamin sana mahusiano yenye amani hata kama itagharimu sana kuipata na ndoa za aina hii hudumu sana asikudanganye mtu.

      wewe kaa na huyo mwanaume mwenzio mweleze kwa uwazi juu ya kilichotokea ili ajirekebihe pia mweleze juu ya mzigo na kazi aliyonayo hasa ya ubaba manake kuwa baba is more than having wife and kid. na maisha haya ya bongo sijui kwa stail hiyo kama atajenga. tena msemeshe kwa maneno makali siyo kwa hasira bali tumia maneno yenye kutia uchungu
      Ndugu yangu, ninapoandika ujumbe huu mke wa jamaa ametia timu nyumbani kwangu, tumempatia chumba chake na atakaa mpaka atakapoamua either kurudi kwa mumewe au kwenda mahakamani kuvunja ndoa, na kiukweli nategemea hatafikia uamuzi wa kwenda mahakamani kwani hata mimi na mke wangu hatutahusika tena kwa maamuzi yake kwani ndoa ni yao wawili tu.

      Naweza kusema kuwa mungu atawasaidia, mshkaji amekuwa mpole na bado anajutia alichokifanya kwani hakudhamiria kufanya hivyo, na nimemuacha kwake while mkewe keshaondoka kuja kwetu. Naamini its just a matter of time, lets put our fingers crossed!

    19. #76
      Judgement's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2011
      Location : Town
      Posts : 7,009
      Rep Power : 7209
      Likes Received
      2768
      Likes Given
      12

      Default

      Quote By Bondpost
      Hapana mkuu, mie sio wa kihivyo ndo maana mke wangu tulikubaliana kuwasaidia na mshkaji ananijua in and out, on top of that sina mazoea na shem wangu na kumbuka ana ujauzito, nitakuwa mtu wa ajabu kuomba mchezo kwa mtu mwenye matatizo kiasi hicho.
      Bondpost, hivi hadi leo hujajua kama hawa viumbe wanapokua na pregy , hiyo makitu yao ndiyo huongezeka kiwango cha ubora?
      It become sweetest twicely! Inakua much warm than normal. Kama hujastukia fatilia.

    20. #77
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By ngaranumbe
      Huyo bwana siyo mstaarabu na naona ni tabia yake. Kuna siku atapiga kavu baada ya network kukatwa na pombe na hapo either + au - kuukwaa. Ushauri wangu pima kwanza kabwa ya kumpokea na tafuta wazee 2-3 wawapatanishe ili kuepuka balaa za mambo ya ndani; na hii itasaidia huyo binti asije akajidhuru na kwenda pema/pabaya peponi. Pia huyo binti ajue ndani ya ndoa kuna mambo makubwa zaidi ya hayo.
      Mstari wa mwisho una maneno ya busara sana. Tnx. Wacha niwahi kidogo home leo maana nami yaweza kunikuta na shem kakimbilia kwangu akidhani mimi na mke wangu tunaishi paradiso!

    21. #78
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By KakaKiiza
      Mwambie asamehe kwanza ampe hongera kwakukumbuka mpira wengi tunatembelea limu!!pili ajue daladala kugongwa ni sehemu maisha yake hata liwe jipya ili mradi ni daladala litagongwa tu!!
      Ha ha ha ha ha ha ha haaaa! Ndugu yangu, huo mfano wa daladala yani ni bonge ya satirical language, ila wengi wao huwa hawajui hayo wanadhani uboyfriend ndio ndoa!

    22. #79
      Bondpost's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th October 2011
      Posts : 1,090
      Rep Power : 602
      Likes Received
      246
      Likes Given
      540

      Default

      Quote By Judgement
      Bondpost, hivi hadi leo hujajua kama hawa viumbe wanapokua na pregy , hiyo makitu yao ndiyo huongezeka kiwango cha ubora?
      It become sweetest twicely! Inakua much warm than normal. Kama hujastukia fatilia.
      Kaka, hapo umetia fora du! Ha ha ha ha! Nadhani kuna ukweli kwani uzuri wake ni kwamba mke wangu akiwa mjamzito ni tofauti na wanawake wengine, yani huwa ananipenda na unakuta yeye hali udongo ila cha ajabu anapenda harufu ya kwapa langu pamoja natumia videodorant na harufu ya p.u.mb.u zangu yani ni ajabu lakini at least inanifanya niwe karibu nae kuliko kupata mke mjamzito kila akikuona anakukimbia, hakika nakuambia waweza kujikuta majaribuni kama jamaa yangu.

    23. #80
      Kipipi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Location : Sitimbi
      Posts : 7,257
      Rep Power : 26194
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      3792

      Default

      Quote By Bondpost
      Ndugu yangu, ninapoandika ujumbe huu mke wa jamaa ametia timu nyumbani kwangu, tumempatia chumba chake na atakaa mpaka atakapoamua either kurudi kwa mumewe au kwenda mahakamani kuvunja ndoa, na kiukweli nategemea hatafikia uamuzi wa kwenda mahakamani kwani hata mimi na mke wangu hatutahusika tena kwa maamuzi yake kwani ndoa ni yao wawili tu.

      Naweza kusema kuwa mungu atawasaidia, mshkaji amekuwa mpole na bado anajutia alichokifanya kwani hakudhamiria kufanya hivyo, na nimemuacha kwake while mkewe keshaondoka kuja kwetu. Naamini its just a matter of time, lets put our fingers crossed!
      Na wanaume mlivyo wash..enzi nyie, hapo ukute jamaa yako hajutii kuisaliti ndoa yake.......bali anajuta kwa nini amekamatwa kizembe!!!

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...