Re: Mke wa mtu anapoona wivu kwa hawara yake!!

By
Eiyer
Osaka kuna ukawaida gani mke wa mtu kuona wivu wakati yeye ameolewa?
Mkuu hilo wala sio la kushangaza maana inaweza kutokea hata kahaba akawa na wivu na wewe kutokana na unavyomridhisha.Maana ukiongelea wivu wapo ambao anakuonea wivu sababu anajua ukiwa na wengine unazompa yeye zitakuwa kidogo,na wapo wengine kama huyo mama ambaye hata kama huna cha kumpa anakuwa ameridhika tu na vile unavyomridhsha.Kwa hiyo wala usishangae kwa huyo mke wa mtu kuwa na wivu na huyo jamaa kwani hujui anakosa nini kwa mumewe na anapata nini kwa huyo jamaa.Hapa nimeongelea wivu tu,lakini sikubaliani na mtu aliye kwenye ndoa kuwa na mpango wa kando hata siku moja..
UKICHOKA KUFANYA SIRI,FUMANIWA TU YAISHE . By Simon Kitururu.
Follow Us Here