My X - ni mjamzito wa jamaa alieukataa..lakini anahitaji msaada wangu..nimpatie pesa ya kwenda hospitali anaumwa sana..nifanye nini wadau..roho inanisuta kumkaushia..
My X - ni mjamzito wa jamaa alieukataa..lakini anahitaji msaada wangu..nimpatie pesa ya kwenda hospitali anaumwa sana..nifanye nini wadau..roho inanisuta kumkaushia..
Msaidie kama mwanadamu mwenzako tu!
Hivi wanaume wanaokataa mimba bado wapo?dunia hii vijana wanaokufa kwa bidii hivi?
You just help her ikibidi mpeleke kabisa ili kama anania ya kutoa usijetupiwa lawama..kwa kumpa hela
Mkali wa Kitaa... That is good of you. unavotaka ushauri hapa unazidi
poteza mda, wewe msaidie kama ipo ndani ya uwezo wako.
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
Msaidie kama uwezo unao. . .hamna cha kuombea ushauri hapo.
5 mothns hawezi toa..kibaya zaidi..hajawaambia kwaoo..nimemweleza afanye hivyo..maana anaweza pata matatizo makubwa zaidi..
nimeshampatia leo asubuhi..aliniambia jana..nilitaka kupata mawazo yenu kuona wadau wanafikiria nini kuhusu hili jambo..
Umefanya mema, ubarikiwe
Blessed are hearts that bend but shall never broken
mkaliwakitaa chukua ushauri wa AshaDii
Mjinga mpe cheo...
Kwa uzoefu binafsi..........kama una uhusiano mwingine unatakiwa kuwa makini sana na shida zake otherwise utajikuta matatizoni muda si mrefu mkuu
Thanx kwa kumsaidia......ila kumbuka yeye ana maisha yake na wewe una yako!!!!!!!
Hegemony is unlikely ever to be complete (A. Gramsci)
Siku hizi hua naona wanaume wengi wanapenda watoto kumbe kuna wachache bado wapo na wamazo ya karne ya 18..anyway kama umeshamsadia be blessed
give her a helping hand bro
do not count the past
kwa pamoja ni lazima twende mbali zaidi ya maneno yetu...........039.mac
nawashukuru kwa ushauri wenu, i needed a critical solution for this
ndiyo yule yule anayekuja na kuondoka au mwingine?
hongera kwa kumsaidia ,huwezi kumnyima mtu msaada wa kibinadamu hata km ni x wako.
Hawachelewi kusema aliyenisaidia ndio mwenye mzigo we jichanganye uone maneno yatakavyosambaa
Follow Us Here