Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania. Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au? Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Tatizo mswaki wa naniliu haujatokea UK! Miswaki ya sh 200 ukishapigia once unakuwa umechangamka kama brashi ya chooni, hauswaki meno tena unaishia kwenye fizi!
By Kongosho
ngoja nikaswaki na mswaki wa naniliyu kuongeza makashkash.
hatumii ya 200, anaagiza mswaki mmoja from Yugoslavia na Bosnia na anaukatia seat ya business class, swiss air.
By King'asti
Tatizo mswaki wa naniliu haujatokea UK! Miswaki ya sh 200 ukishapigia once unakuwa umechangamka kama brashi ya chooni, hauswaki meno tena unaishia kwenye fizi!
jamaa alizama chumvini baada ya kutoka akawa anajichokonoa na kijiti. mpenzi wake kamwambia "naona leo umekula nyama", jamaa akajibu "hapana nachokonoa vuz lilonasa kwenye meno".
jamaa alizama chumvini baada ya kutoka akawa anajichokonoa na kijiti. mpenzi wake kamwambia "naona leo umekula nyama", jamaa akajibu "hapana nachokonoa vuz lilonasa kwenye meno".
Jaman mbavu zangu uwwiii!!!! lol
10% of conflicts is due to difference in opinion and 90% is due to WRONG TONE OF VOICE
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?
Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.
Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and a cup".
Check out hii episod ya two girls and a cup
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
Huo mswaki umeuagiza ulaya, kwani una video ndani?
electric tooth brush. cost yake ni pound 50
There are some people who could hear you speak a thousand words and still not understand you. And there are others who will understand—without you even speaking a word.
Follow Us Here