JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. BUMIJA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2011
   Posts : 1,945
   Rep Power : 904
   Likes Received
   205
   Likes Given
   30

   Default Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

   Jameni kama ilivyo ada sikukuu zimeanza na watu wanaachika,wapenzi kunuiana,ndoa zinakua ndoano ati kisa sikukuu,kama kulikua na mtu anamtaka mdada anampata sikukuu,wadada nawauliza je ndio mara ya kwanza kula sikukuu na wakaka na wababa je unadhani fujo hizi chanzo ni nini


  2. cartura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th August 2009
   Location : Bongo
   Posts : 3,053
   Rep Power : 2857
   Likes Received
   762
   Likes Given
   6

   Default Re: Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

   huu ndiyo wakati muafaka wa kupigana mizinga kwa ajili ya viwalo, mitoko, ulimbwende nk so kama umefulia lazima watu waanze mbele na kama zimekutembelea ndiyo muda wa kuwanasa... halafu small houses nazo kipindi hiki huwa zinakaba hadi penati, so si ajabu nyumba kubwa zikatelekezwa kwa muda...

  3. BUMIJA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th October 2011
   Posts : 1,945
   Rep Power : 904
   Likes Received
   205
   Likes Given
   30

   Default Re: Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

   Mheshimiwa umeongea hali halisi,wakaka tumebanwa,ila wao hawaulizi sisi tutavaa nini,

  4. Ave Ave Maria's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 10,759
   Rep Power : 69117297
   Likes Received
   5572
   Likes Given
   7889

   Default Re: Kina dada acheni vurugu za mapenzi sikukuu zikianza

   Mambo mengine wadada mnapenda kutusimanga tu bila hata cha msingi wala secondari ilimradi muongeze tu post hapa jamvini!!! Hivi mmeahidiwa malipo au???? Mpaka sasa mnaboa....khaaa!

  5. Kaunga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Location : Wild wild west
   Posts : 11,998
   Rep Power : 101885140
   Likes Received
   12410
   Likes Given
   9125

   Default

   Quote By Kipipi View Post
   Mambo mengine wadada mnapenda kutusimanga tu bila hata cha msingi wala secondari ilimradi muongeze tu post hapa jamvini!!! Hivi mmeahidiwa malipo au???? Mpaka sasa mnaboa....khaaa!
   It is chocking eeh! nilifikiri ni peke yangu, yaani thread zingine hata sizifungui kwani najua zitaniharibia siku! Mijitu mizima inadhindwa kuact responsibly na kusingizia wakina dada. Phfeeew!  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...