JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kuvaa shanga kiunoni: Nini umuhimu wake?

  Report Post
  Page 36 of 45 FirstFirst ... 263435363738 ... LastLast
  Results 701 to 720 of 881
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 33,242
   Rep Power : 429503684
   Likes Received
   19919
   Likes Given
   61338

   Default Kuvaa shanga kiunoni: Nini umuhimu wake?

   Shanga ni topic tata sana kwangu kwa vile sina uzoefu nayo na kila ninapojaribu kuuliza watumiaji au wavaa huwa hawanipi majibu mazuri na yakuridhisha. Wanaume watakuambia wanapenda tu na wanawake watasema wanaume au wapenzi wao wanapenda wao wazivae.

   Rafiki yangu wa Kighana alitoa maelezo ambayo nadhani yalikamilika japo hakugusua umuhimu wake kwenye ngono….aliniambia kuwa huko kwao Shanga ni muhimu kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa shoka au uliyekamilika.

   Ikiwa mwanamke huvai Shanga basi unaonekana hufai na hakuna mwanaume atataka kutoka na wewe/kuchumbia only kwa vile huna shanga kiuoni……hivyo wanawake wote wa Kighana wanavaa shanga no matter how beautiful, educated au westnized they are.

   Turudi Nyumbani……nakumbuka niliwahi kumuuliza mama yangu (wao wanavaa shanga) faida ya shanga na yeye akanijibu kuwa ni kama sehemu ya “romance”….nikauliza ni sawa sawa na kubusu au kushikana?

   Akajibu “ndio”…..nikauliza inawezekanaje mtu asisimke kutokana na kuziona shanga tu au kuzishika-shika tu? Akanijibu kuwa “mwanaume anapozichezea humpa mwanake mtekenyo furani ambao hufamfanya ajisikie raha na hamu ya kungonoka (nyege) huanza kumpanda”.

   Mimi kama Dinah nikahisi kuwa mwanaume anaetegemea kuchezea shanga ili mwanamke “anyegeke” atakuwa hana utundu wa kutosha wa kutumia mikono na vidole vyake ktk kuuchezea mwili wa mwanamke hasa ukizingatia kuwa mwanamke “hanyegeki” kwakuchezewa na vidole kiunoni tu bali kona nyingi ktk mwili wake

   Uvaaji wa shanga kiunoni ni moja kati ya tamaduni zetu waafrika, nakumbuka katika jamii ya Wanyamwezi (nadhani na Wasukuma pia as far as I remember miaka hiyo niliyoishi kona hizo za Tz ) shanga zilikuwa zikivishwa mtoto wa kike kiunoni na yule wa kiume alivalishwa kijikamba/uzi mweusi ambao huwa na vipande vidogo viwili au vinne vya mti akiwa mdogo.

   Ssina hakika kwanini ilikuwa hivyo ila nakumbuka niliwahi kuambia kuwa vijiti vile ni kumlinda mtoto dhidi ya malaika wabaya (kama ilivyo kwa tamaduni nyingine kuwapaka watoto wanja ili watishe) na shanga ni kuonyesha kuwa mtoto ni wa kike.

   Mtoto napofikia umri Fulani vikorokoro hivyo huondolewa na binti huvalishwa tena pale anapokua (vunja ungo/balehe), kule kwetu kila rangi ya shanga huwa na maana yake nikiwa na maana kama binti ni Bikira anavaa rangi Fulani, kama uliolewa ukaachika wavaa rangi Fulani, kama umeolewa wavalishwa rangi husika, kama siku hiyo wataka kufanywa (unanyege) basi wamvalia mumeo rangi husika,ikiwa ni mjamzito pia unapaswa kutuma ujumbe kwa kumvalia mumeo rangi fulani (ilikuwa mwiko kungonoka na mtoto tumboni) kama uko hedhini basi utalazimika kuongezea rangi nyekundu juu ya ile uliyonayo.

   Itasaidia kama watakuja na rangi inayoashiria kuwa mtu kaukwaa a.k.a ana ngoma a.k.a UKIMWI.....wewe unaonaje?

   Ilikuwa ni mwiko kuachia shanga hizo zionekane au zionwe na watu wengine ambao hauko karibu nao kama mzazi, mume, kungwi (shangazi au bibi) n.k. tofauti na sasa ambapo shanga huvaliwa kama mtindo na huning’inizwa hovyo bila kujali maana au ujumbe unaotumwa na rangi za shanga wazivaazo.

   Ni wazi kuwa wanawake hawa wanaojivalia shanga hizo na kuzionyesha hovyo huwapa wakati mgumu watu au jamii ambayo inathamini nakutunza utamaduni halisi wa mwanamke kutilia shanga kiunoni na maana ya rangi husika.

   Baadhi ya watu huwadhania wanawake wanaovaa shanga ovyo ni wapenda mambo ya ngono……hivi kuna mtu hapendi ngono hapa Duniani?

   Bila ngono si dhani kama mimi na wewe tungekuwepo, ngono ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu…..au jina lake ndio linawatisha watu? Haya basi tuseme kukutanisha na kuingiza uume ukeni…..bado halijakaa vema….kufanya mapenzi….aaah kufurahia utukufu na uumbaji wake mwenyezi Mungu.

   Swala muhimu hapo sio kuwashutumu na kuwahukumu wavaaji hao wa shanga bali ni kuwaeleza kwa uwazi swala zima la shanga……tuache utamaduni wa kubana-bana yale tuyajuayo ili sote tubaki kwenye mstari na ikiwa moja kati yetu atatoka mstarini at least atakuwa anajua nini anafanya au niseme ujumbe gani anaufikisha kwa watamzamaji wa shanga hizo.

   Hii yote inatokana na wakuwa (bibi, shangazi, mama) ktk jamii kujisahau na kung’ang’ania mijini na kushindwa kuwatambulisha watoto wao tamaduni za huko watokako (asili yao) hivyo wanakuwa hawajui au wanajifanya “wazungu” na kutofuata tamaduni na badala yake wanafanya watakavyo…..

   Mimi nimezaliwa Jijini Dar ila kule kwetu (asili yangu) wanavaa shanga na ninajua mambo mengi kuhusu tamaduni ya kwetu ikiwa ni pamoja na kutambulishwa maana halisi ya shanga na rangi zake……lakini mimi kama mimi sivai shanga sio tu kutokana na mtindo wangu wa mavazi bali pia sivutiwi au sijisikii vema ikiwa nitavaa shanga au hata nikiziona (hasa lundo) zinaning’inia kwa mtu mwingine (kama hiyo picha hapo juu) huwa naona ka’ uchafu vile….kama ni kijiuzi kimoja cha shanga au cheni poa ili kuongezea/ziba "kizugaji" uwazi fulani wa vazi lako if u know what I mean.

   *Wewe mwanaume kwanini unapenda mpenzi avae shanga kiunoni? Unazitumia vipi zikiwa kiunoni na zinakufanya ujisikie vipi?

   *Na wewe mwanamke ikiwa unavaa shanga mpenzi wako huzitumia vipi wakati wa kufanya mapenzi?

   Kumbuka hapa sote tunajifunza hivyo maelezo yako ya uwazi yatasaidia sana watu wengine hasa wale wasiojua utamaduni wa shanga na maana yake halisi.
   Bujibuji and Jacobus like this.


  2. Mauu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th May 2012
   Posts : 48
   Rep Power : 444
   Likes Received
   20
   Likes Given
   2

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Kinyegezo......
   MziziMkavu likes this.

  3. Arvin sloane's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Posts : 903
   Rep Power : 659
   Likes Received
   135
   Likes Given
   43

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Kwani kazi ya kachumbari kwenye Chakula nini?
   MziziMkavu likes this.

  4. Mbilimbili's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th March 2012
   Posts : 172
   Rep Power : 478
   Likes Received
   19
   Likes Given
   0

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Dem wangu anazo ila cjaona faida yake kwangu!
   MziziMkavu, nyumba kubwa and lindz like this.

  5. NewOrder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 345
   Rep Power : 985
   Likes Received
   145
   Likes Given
   123

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Yeyote anayenijia na shanga namuona kama mganga wa kienyeji tu.
   MziziMkavu and nyumba kubwa like this.

  6. Crucial Man's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 2,200
   Rep Power : 946
   Likes Received
   510
   Likes Given
   173

   Default

   Quote By promiseme View Post
   Waume wako wapi watueleze Raha yake?
   raha yake ni pale mwanamke anapozi shake kunako 6 kwa 6 huku akiwa on top of a man.zinaogeza ladha katika mchezo kam mvaaji atakuwa anajua kuzungusha mauno vzuri,huku akitoa miguno ya kimahaba.hapo vp?
   MziziMkavu likes this.

  7. Crucial Man's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th January 2011
   Posts : 2,200
   Rep Power : 946
   Likes Received
   510
   Likes Given
   173

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   ukiva shanga tatu ujue utangongwa bao tatu,wataalamu wanasema shanga zinachochea ny...g.

  8. kookolikoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 2,442
   Rep Power : 933
   Likes Received
   350
   Likes Given
   283

   Default

   Quote By Crucial Man View Post
   ukiva shanga tatu ujue utangongwa bao tatu,wataalamu wanasema shanga zinachochea ny...g.
   kwa rika fulani tu!
   MziziMkavu likes this.

  9. The Don's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2011
   Posts : 2,420
   Rep Power : 957
   Likes Received
   605
   Likes Given
   160

   Default

   Uje ukute mtu kavaa furushi ujidai kukomaa nae ukihesabu hatimaye ufie kifuani,shauri zenyu
   Quote By Crucial Man View Post
   ukiva shanga tatu ujue utangongwa bao tatu,wataalamu wanasema shanga zinachochea ny...g.

  10. THK DJAYZZ's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th September 2011
   Posts : 1,989
   Rep Power : 945
   Likes Received
   108
   Likes Given
   0

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Searching...100%
   Loading...90%

  11. yahoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Location : Tanzania
   Posts : 1,077
   Rep Power : 565
   Likes Received
   228
   Likes Given
   24

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Napenda kumuona mwanamke kazivaa,napata mzuka,but game ikianza sioni raha yake..

  12. Mwakalinga Y. R's Avatar
   JF Tanzanite Member Array
   Join Date : 22nd October 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 2,630
   Rep Power : 13645
   Likes Received
   1249
   Likes Given
   3681

   Default

   Quote By BAK View Post
   Huku nako upo ! Nawasalimu

  13. Ephra Gsy's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Napita tu

  14. Mkereketwa_Huyu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2011
   Location : London | Dar Es Salaam
   Posts : 2,952
   Rep Power : 86127519
   Likes Received
   1089
   Likes Given
   866

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Psychologically speaking shanga hazina na wala hazileti mushkheri/radha yeyote kwenye penzi, ile ni kasumba tu. Kwa wengi wanaokaa mjini shanga zina maana nyingi na moja ya hizo ni kama ifuatavyo: Kuna kina mama wengi wa mjini wanavaa shanga kwa ajili ya biashara yao ya kuiba waume za watu ili wakidhi mahitaji yao. Zile shanga zinakuwa na madawa ya kienyeji kurubuni ama kupambaza wanaume. Then mwanaume ukishajiingiza tu kwa huyo mama ndo basi tena unajikuta unahamisha vitu vyako kiaina (bila kujijuwa). Unatoka nyumbani asubuhi kwenda kazini lakini unasahau kurudi nyumbani kwa familia yako na kwenda kwa hawara kulala siku hata wiki huku ukizidi kupambazwa na malavidavi ya kiongo. Familia yako inasambaratika kwa ujinga na tamaa yako. Binafsi, nikishaona mwanamke wa namna hii namtolea nje mara moja. Kabla ya kuoa nilikuwa makini sana kwani sikutaka niingizwe mjini kiaina na kina hii mimama ya mjini na wengi wao wanatoka mikoani kuja mjini kwa biashara hii. Wanawake si wajinga kama sie wanaume tuzaniavyo, mjini ni shule na shule ni kama hivyo tunadanganywa kutokana na tamaa zetu za kijinga, oh nimekuvalia shanga leo kumbe ndo umeleweshwa ili uache mke wako kiaina umtunze hawara na yeye hawara aweze kuwatunza ndugu zake pamoja na wazazi wake huko kwao. Na hilo ndilo somo la leo. Amen!
   nyumba kubwa likes this.

  15. mtotowamjini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2012
   Location : None of Your Business
   Posts : 4,542
   Rep Power : 1347
   Likes Received
   1115
   Likes Given
   29

   Default Re: Matumizi ya shanga katika mahanjam ni yepi?

   Quote By malamia View Post
   Jamani naomba mnifunde mwenzenu junior katika matumizi ya shanga, mana sijui huwa wanaume wanafurahia nini ni kuziona tu au kuna kautundu kengine kanafanyika, jamani naombeni shule juu ya hili
   hata mi sielewagi...it doesnt turn me on even one josh...
   Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

   One man's good fortune is another man's misfortune


  16. Babu mchumi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th July 2011
   Posts : 55
   Rep Power : 492
   Likes Received
   6
   Likes Given
   3

   Default Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   Habar zenu tha great thinker!
   Tafadhalin wadau naomba mnijuze iv shanga wanazo vaa wadada kiunoni kazi yake kubwa ni nn?urembo au kuna mengine?

  17. fazaa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th May 2009
   Posts : 2,987
   Rep Power : 1189
   Likes Received
   978
   Likes Given
   770

   Default Re: Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   Ni utamaduni tu ulio pitwa na wakati lakini wako wanao ufatilia.

   Lakini zinasaidia saidia kutekenya goroli za scud na scud ndo inazid kuzidisha speed ya kwenda kwenye target.

  18. piper's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th January 2012
   Posts : 3,249
   Rep Power : 23640655
   Likes Received
   591
   Likes Given
   64

   Default Re: Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   Raha ya mpira ni kuingia uwanjani uucheze, so mtafute mwenye shanga, kisha urudi kutupa matokeo

  19. Munambefu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2012
   Location : BACK TO TANGANYIKA
   Posts : 518
   Rep Power : 533
   Likes Received
   157
   Likes Given
   56

   Default Re: Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   jamani nyie under 18 wa JK hebu ondokeni humu tusijelimwa mvua 30 bure!

  20. Ngekewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2008
   Posts : 7,600
   Rep Power : 87011295
   Likes Received
   1211
   Likes Given
   745

   Default Re: Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   Quote By Babu mchumi View Post
   Habar zenu tha great thinker!
   Tafadhalin wadau naomba mnijuze iv shanga wanazo vaa wadada kiunoni kazi yake kubwa ni nn?urembo au kuna mengine?
   Wakati wa libenike viuno vikiumana mwanamme anatakiwa akijue kipi ni cha mwanamke.
   MziziMkavu likes this.

  21. Wilbert1974's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2011
   Location : Mwanza city
   Posts : 1,480
   Rep Power : 798
   Likes Received
   375
   Likes Given
   1858

   Default Re: Naomba mnijuze umuhimu wa shanga tafadhali!

   Hizi ni mshikio... Unashikiria kama usukani wa gari kwenye barabara yenye rasta hivi!
   MziziMkavu likes this.
   We are like children, lost on a subway. Who will care about us?

  Page 36 of 45 FirstFirst ... 263435363738 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Nini maana ya shanga kiunoni na kazi yake ni nini??
   By hasason in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 8
   Last Post: 14th June 2013, 21:49
  2. Mwanaume kuvaa shanga kiunoni wakati wa sex
   By blessings in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 1
   Last Post: 31st May 2013, 06:05
  3. Replies: 0
   Last Post: 13th December 2010, 15:34

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...