Show/Hide This

  Topic: Kuvaa shanga kiunoni: Nini umuhimu wake?

  Report Post
  Page 2 of 63 FirstFirst 1234 12 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 1244
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 33,854
   Rep Power : 429503812
   Likes Received
   20318
   Likes Given
   62538

   Default Kuvaa shanga kiunoni: Nini umuhimu wake?

   Shanga ni topic tata sana kwangu kwa vile sina uzoefu nayo na kila ninapojaribu kuuliza watumiaji au wavaa huwa hawanipi majibu mazuri na yakuridhisha. Wanaume watakuambia wanapenda tu na wanawake watasema wanaume au wapenzi wao wanapenda wao wazivae.

   Rafiki yangu wa Kighana alitoa maelezo ambayo nadhani yalikamilika japo hakugusua umuhimu wake kwenye ngono….aliniambia kuwa huko kwao Shanga ni muhimu kuonyesha kuwa wewe ni mwanamke wa shoka au uliyekamilika.

   Ikiwa mwanamke huvai Shanga basi unaonekana hufai na hakuna mwanaume atataka kutoka na wewe/kuchumbia only kwa vile huna shanga kiuoni……hivyo wanawake wote wa Kighana wanavaa shanga no matter how beautiful, educated au westnized they are.

   Turudi Nyumbani……nakumbuka niliwahi kumuuliza mama yangu (wao wanavaa shanga) faida ya shanga na yeye akanijibu kuwa ni kama sehemu ya “romance”….nikauliza ni sawa sawa na kubusu au kushikana?

   Akajibu “ndio”…..nikauliza inawezekanaje mtu asisimke kutokana na kuziona shanga tu au kuzishika-shika tu? Akanijibu kuwa “mwanaume anapozichezea humpa mwanake mtekenyo furani ambao hufamfanya ajisikie raha na hamu ya kungonoka (nyege) huanza kumpanda”.

   Mimi kama Dinah nikahisi kuwa mwanaume anaetegemea kuchezea shanga ili mwanamke “anyegeke” atakuwa hana utundu wa kutosha wa kutumia mikono na vidole vyake ktk kuuchezea mwili wa mwanamke hasa ukizingatia kuwa mwanamke “hanyegeki” kwakuchezewa na vidole kiunoni tu bali kona nyingi ktk mwili wake

   Uvaaji wa shanga kiunoni ni moja kati ya tamaduni zetu waafrika, nakumbuka katika jamii ya Wanyamwezi (nadhani na Wasukuma pia as far as I remember miaka hiyo niliyoishi kona hizo za Tz ) shanga zilikuwa zikivishwa mtoto wa kike kiunoni na yule wa kiume alivalishwa kijikamba/uzi mweusi ambao huwa na vipande vidogo viwili au vinne vya mti akiwa mdogo.

   Ssina hakika kwanini ilikuwa hivyo ila nakumbuka niliwahi kuambia kuwa vijiti vile ni kumlinda mtoto dhidi ya malaika wabaya (kama ilivyo kwa tamaduni nyingine kuwapaka watoto wanja ili watishe) na shanga ni kuonyesha kuwa mtoto ni wa kike.

   Mtoto napofikia umri Fulani vikorokoro hivyo huondolewa na binti huvalishwa tena pale anapokua (vunja ungo/balehe), kule kwetu kila rangi ya shanga huwa na maana yake nikiwa na maana kama binti ni Bikira anavaa rangi Fulani, kama uliolewa ukaachika wavaa rangi Fulani, kama umeolewa wavalishwa rangi husika, kama siku hiyo wataka kufanywa (unanyege) basi wamvalia mumeo rangi husika,ikiwa ni mjamzito pia unapaswa kutuma ujumbe kwa kumvalia mumeo rangi fulani (ilikuwa mwiko kungonoka na mtoto tumboni) kama uko hedhini basi utalazimika kuongezea rangi nyekundu juu ya ile uliyonayo.

   Itasaidia kama watakuja na rangi inayoashiria kuwa mtu kaukwaa a.k.a ana ngoma a.k.a UKIMWI.....wewe unaonaje?

   Ilikuwa ni mwiko kuachia shanga hizo zionekane au zionwe na watu wengine ambao hauko karibu nao kama mzazi, mume, kungwi (shangazi au bibi) n.k. tofauti na sasa ambapo shanga huvaliwa kama mtindo na huning’inizwa hovyo bila kujali maana au ujumbe unaotumwa na rangi za shanga wazivaazo.

   Ni wazi kuwa wanawake hawa wanaojivalia shanga hizo na kuzionyesha hovyo huwapa wakati mgumu watu au jamii ambayo inathamini nakutunza utamaduni halisi wa mwanamke kutilia shanga kiunoni na maana ya rangi husika.

   Baadhi ya watu huwadhania wanawake wanaovaa shanga ovyo ni wapenda mambo ya ngono……hivi kuna mtu hapendi ngono hapa Duniani?

   Bila ngono si dhani kama mimi na wewe tungekuwepo, ngono ni muhimu ktk maisha ya mwanadamu…..au jina lake ndio linawatisha watu? Haya basi tuseme kukutanisha na kuingiza uume ukeni…..bado halijakaa vema….kufanya mapenzi….aaah kufurahia utukufu na uumbaji wake mwenyezi Mungu.

   Swala muhimu hapo sio kuwashutumu na kuwahukumu wavaaji hao wa shanga bali ni kuwaeleza kwa uwazi swala zima la shanga……tuache utamaduni wa kubana-bana yale tuyajuayo ili sote tubaki kwenye mstari na ikiwa moja kati yetu atatoka mstarini at least atakuwa anajua nini anafanya au niseme ujumbe gani anaufikisha kwa watamzamaji wa shanga hizo.

   Hii yote inatokana na wakuwa (bibi, shangazi, mama) ktk jamii kujisahau na kung’ang’ania mijini na kushindwa kuwatambulisha watoto wao tamaduni za huko watokako (asili yao) hivyo wanakuwa hawajui au wanajifanya “wazungu” na kutofuata tamaduni na badala yake wanafanya watakavyo…..

   Mimi nimezaliwa Jijini Dar ila kule kwetu (asili yangu) wanavaa shanga na ninajua mambo mengi kuhusu tamaduni ya kwetu ikiwa ni pamoja na kutambulishwa maana halisi ya shanga na rangi zake……lakini mimi kama mimi sivai shanga sio tu kutokana na mtindo wangu wa mavazi bali pia sivutiwi au sijisikii vema ikiwa nitavaa shanga au hata nikiziona (hasa lundo) zinaning’inia kwa mtu mwingine (kama hiyo picha hapo juu) huwa naona ka’ uchafu vile….kama ni kijiuzi kimoja cha shanga au cheni poa ili kuongezea/ziba "kizugaji" uwazi fulani wa vazi lako if u know what I mean.

   *Wewe mwanaume kwanini unapenda mpenzi avae shanga kiunoni? Unazitumia vipi zikiwa kiunoni na zinakufanya ujisikie vipi?

   *Na wewe mwanamke ikiwa unavaa shanga mpenzi wako huzitumia vipi wakati wa kufanya mapenzi?

   Kumbuka hapa sote tunajifunza hivyo maelezo yako ya uwazi yatasaidia sana watu wengine hasa wale wasiojua utamaduni wa shanga na maana yake halisi.
   Bujibuji and Jacobus like this.

  2. Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1073
   Likes Received
   16
   Likes Given
   0

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Fidel80 View Post
   dah we acha tu hizo bana iwa zinavuta sana hisia yaani una hisi upo dunia nyingine kabisa.
   have you ever practice this Sir?
   MziziMkavu likes this.
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible

  3. Sipo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th July 2008
   Location : SIPAJUI
   Posts : 2,167
   Rep Power : 1073
   Likes Received
   16
   Likes Given
   0

   Default Re: Shanga za wasichana

   Ni nzuri acha mchezo kabisa wewe
   MziziMkavu likes this.
   "Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible

  4. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Fidel80 View Post
   Kwa hiyo wewe shanga hupendi kutumia? Unapenda cheni ipi ya kiuononi au shingoni au kikuku?

   cpendi kabisa...... kiunoni/shingoni/kikuku vyote navaa.
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  5. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 22,453
   Rep Power : 288362775
   Likes Received
   14152
   Likes Given
   19398

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Haya ndo ya kutuwaambia wake zenu si mnakufa na kamba shingoni mwazipenda ila hamsemi matokeo yake mwendatafuta wavaao nje lol
   Sawa MJO, mi nitamkonvinsi Mrs wangu hapa si unaona yeye na haya mambo mbali mbali kabisa....
   MziziMkavu likes this.
   "Bunduki bila risasi yaua namna gani"

  6. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By gkundi View Post
   mishanga ni uchafu tu! unakuta mtu amevaa mishanga kama kamba za ng'ombe hata akioga hazikauki kama sio uchafu ni nini?

   na hayo marangi sasa, shanga moja ina kijani,nyekundu,nyeupe,njano yani ili mradi mvurugano! kwenye mlundiko ndio kabsaaa mie chali.
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  7. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Kaizer View Post
   Sawa MJO, mi nitamkonvinsi Mrs wangu hapa si unaona yeye na haya mambo mbali mbali kabisa....

   mr tuendelee tu na kale ka chain ulikokazoea, huko nisamehe mr wangu!..
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  8. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Nyamayao View Post
   mr tuendelee tu na kale ka chain ulikokazoea, huko nisamehe mr wangu!..
   Sasa mamii unamkatisha tamaa Mr hata bado hajaanza huko kukonvinsi kwenyewe? au ndo unaogopa atakukonvinsi? lol

   haya mama ila hata mie napendelea zaidi vyein (iwe silver au gold though sivaagi!
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  9. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Kaizer View Post
   Sawa MJO, mi nitamkonvinsi Mrs wangu hapa si unaona yeye na haya mambo mbali mbali kabisa....
   Naona mwenzio keshakutolea nje asa kama weye wapenda naye hapendi ndo mwafanyaje? unasacrifice kile ukipendacho na kukiacha au wendasakanya kwa kina Pili na Mwadawa?
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  10. Hebrew's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2008
   Location : Only God Knows
   Posts : 435
   Rep Power : 730
   Likes Received
   21
   Likes Given
   3

   Default Re: Shanga za wasichana

   shanga ndio zenyewe..kiunoni, kikuku na viatu vyenye visigino virefu au boots...hapa patamu sanaaa
   MziziMkavu likes this.
   "Only Faith Can Guarantee The Blessings That We Hope For, Or Prove The Existence Of The Realities That At Present Remain Unseen" . Heb 11:1 - 2.8-19

  11. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Sasa mamii unamkatisha tamaa Mr hata bado hajaanza huko kukonvinsi kwenyewe? au ndo unaogopa atakukonvinsi? lol

   haya mama ila hata mie napendelea zaidi vyein (iwe silver au gold though sivaagi!

   ni bora akate tamaa mapema kipenzi, mie hayo mashanga walaa! nitamuelewesha kiu2 uzima baadae...lol
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  12. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 22,453
   Rep Power : 288362775
   Likes Received
   14152
   Likes Given
   19398

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Nyamayao View Post
   mr tuendelee tu na kale ka chain ulikokazoea, huko nisamehe mr wangu!..
   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Sasa mamii unamkatisha tamaa Mr hata bado hajaanza huko kukonvinsi kwenyewe? au ndo unaogopa atakukonvinsi? lol

   haya mama ila hata mie napendelea zaidi vyein (iwe silver au gold though sivaagi!
   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Naona mwenzio keshakutolea nje asa kama weye wapenda naye hapendi ndo mwafanyaje? unasacrifice kile ukipendacho na kukiacha au wendasakanya kwa kina Pili na Mwadawa?
   MJO, mi nasacrifice tu mbele ya Mrs wangu we! afu si unajua mambo ya vikuku manake kama mguu anao mashallah, afu kacheni kamoja kama ka Irene Uwoya ndo magoli zaidi,,   Quote By Nyamayao View Post
   ni bora akate tamaa mapema kipenzi, mie hayo mashanga walaa! nitamuelewesha kiu2 uzima baadae...lol
   tehe tehe utu zuma kweli dawa mambo yanaenda kiutu uzima,,
   MziziMkavu likes this.
   "Bunduki bila risasi yaua namna gani"

  13. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Nyamayao View Post
   ni bora akate tamaa mapema kipenzi, mie hayo mashanga walaa! nitamuelewesha kiu2 uzima baadae...lol
   Kuna mdada mmoja zilimkatikia barabarani lol aibu.

   Ingawa nilishawahi ona nzuri zenye rangi za kuvutia yaani si shouting colors nafikiri zinapendeza zikivaliwa chache jaribu nyamayao japo ukiwa chumbani tayari kumpokea mzee. mfanyie suprise siku moja katika kuamsha mahaba
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  14. agika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 384
   Rep Power : 671
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Haya ndo ya kutuwaambia wake zenu si mnakufa na kamba shingoni mwazipenda ila hamsemi matokeo yake mwendatafuta wavaao nje lol
   za siku mingi shost!
   na wewe huaaachi kuwasulubu hawa watoto wa kiumeni,
   ila ukweli unabaki palepale kwamba shanga ni kitu private na zinatakiwa azione mwenzi wako tu na sio kadamnasi, hilo moja but pili shanga zina raha tofauti kwa kila mtu kama ilivyo pilipili kuna mwingine anapendaq harufu tu ya pilipili mbuzi lakini hataki kuwashwa na kuna mwingine anapenda awashwe kidogo tu ili apate test lakini pia kuna wale wanaopenda wale pilipili ziwawashe mpaka watoe kamasi, basi na shanga ziko hivyohivyo , kuna wanaopenda chache na wanaopenda nyingi.
   mimi binafsi sioni kazi ya shanga nje ya uwanja.kwasababu hata kwenye kufundwa huwa unaambiwa umuhimu wa shanga kwenye ngono sasa iwaje wewe mwanamke mno uzivae kazini au matembezini? na hali ya hewa ya DAR joto ndio hapo zinapoonekana UCHAFU. lakini kama ukimvalia mwenzio kwa minajili ya kumpa tashtiti shanga tamu jamani na hasa kwa wanaojua kuzitumia, shanga tamuuu kwa wanaojua maana ya shanga kwa mwanamke na mwanaume , kwa wasiojua wataona uzushi tu na kuzipa majina yasiopendeza.
   binafsi napenda shanga zisizidi tatu ndio huwa naona zinaleta ladha stahili.na huwa sizivai kila siku , nazivaa siku nnayotaka kutoa special en unforgetable night or day or eveining.na mzigo unaotolewa siku hiyo si wakawaida na wala sio wakitoto
   moja ya kazi ya shanga ni kutofautisha kiuno cha mwanume na cha mwanamke kwenye kufanya mapenzi, pia wanaume huwa wanapenda kuzipekecha wakati wanatafuta goli , huwa zinatoa mlio flani ambao kwa wakati ule hupagawisha na pia kwa mwanamke zinaleta msisimko wa aina yake, kuna kazi nyingi za shanga kutegemeana na mtumiaji.
   vinginevyo tuachie wenyeweeee kaeni na cheni zenu za kidhungu hamwishi kupeleka kwa sonara kwenda kuziunga coz zinakatika kila mara(Jokes)
   MziziMkavu likes this.
   ---------------------
   " To the Degree that you believe you will achieve"

  15. Fugwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Location : Tabata Dampo
   Posts : 1,328
   Rep Power : 901
   Likes Received
   338
   Likes Given
   181

   Default Re: Shanga za wasichana

   Mwanamke shanga. shanga ni kwa ajili ya kuamsha nyege. Mwanamke bila shanga hana tofauti na dume. Mtimkavu anza tabia ya kuvaa shanga huyo jamaa yako anakuvumilia tu au anakuonea aibu, siku akitoka nje akukumbana na wenye shanga utapigwa bao (nakutania lakini kweli)
   MziziMkavu likes this.

  16. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By agika View Post
   za siku mingi shost!
   na wewe huaaachi kuwasulubu hawa watoto wa kiumeni,
   ila ukweli unabaki palepale kwamba shanga ni kitu private na zinatakiwa azione mwenzi wako tu na sio kadamnasi, hilo moja but pili shanga zina raha tofauti kwa kila mtu kama ilivyo pilipili kuna mwingine anapendaq harufu tu ya pilipili mbuzi lakini hataki kuwashwa na kuna mwingine anapenda awashwe kidogo tu ili apate test lakini pia kuna wale wanaopenda wale pilipili ziwawashe mpaka watoe kamasi, basi na shanga ziko hivyohivyo , kuna wanaopenda chache na wanaopenda nyingi.
   mimi binafsi sioni kazi ya shanga nje ya uwanja.kwasababu hata kwenye kufundwa huwa unaambiwa umuhimu wa shanga kwenye ngono sasa iwaje wewe mwanamke mno uzivae kazini au matembezini? na hali ya hewa ya DAR joto ndio hapo zinapoonekana UCHAFU. lakini kama ukimvalia mwenzio kwa minajili ya kumpa tashtiti shanga tamu jamani na hasa kwa wanaojua kuzitumia, shanga tamuuu kwa wanaojua maana ya shanga kwa mwanamke na mwanaume , kwa wasiojua wataona uzushi tu na kuzipa majina yasiopendeza.
   binafsi napenda shanga zisizidi tatu ndio huwa naona zinaleta ladha stahili.na huwa sizivai kila siku , nazivaa siku nnayotaka kutoa special en unforgetable night or day or eveining.na mzigo unaotolewa siku hiyo si wakawaida na wala sio wakitoto
   moja ya kazi ya shanga ni kutofautisha kiuno cha mwanume na cha mwanamke kwenye kufanya mapenzi, pia wanaume huwa wanapenda kuzipekecha wakati wanatafuta goli , huwa zinatoa mlio flani ambao kwa wakati ule hupagawisha na pia kwa mwanamke zinaleta msisimko wa aina yake, kuna kazi nyingi za shanga kutegemeana na mtumiaji.
   vinginevyo tuachie wenyeweeee kaeni na cheni zenu za kidhungu hamwishi kupeleka kwa sonara kwenda kuziunga coz zinakatika kila mara(Jokes)
   Mh shost mie mzima kabisa lol wala siwasulubu hawa marafiki zangu sana tu

   Hili somo lako dada nalo kuntu! Kuntu haswaaaaa la kuliingilia maktaba dada aksante.

   Swali langu kwa wale wenye wake wenye nazo huwa wanajisikiaje wakiona mkewe atoka kwenda kazini na huku kazivaa? Haiwezekani akawa anavaa nyumbani tu?
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  17. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By agika View Post
   za siku mingi shost!
   na wewe huaaachi kuwasulubu hawa watoto wa kiumeni,
   ila ukweli unabaki palepale kwamba shanga ni kitu private na zinatakiwa azione mwenzi wako tu na sio kadamnasi, hilo moja but pili shanga zina raha tofauti kwa kila mtu kama ilivyo pilipili kuna mwingine anapendaq harufu tu ya pilipili mbuzi lakini hataki kuwashwa na kuna mwingine anapenda awashwe kidogo tu ili apate test lakini pia kuna wale wanaopenda wale pilipili ziwawashe mpaka watoe kamasi, basi na shanga ziko hivyohivyo , kuna wanaopenda chache na wanaopenda nyingi.
   mimi binafsi sioni kazi ya shanga nje ya uwanja.kwasababu hata kwenye kufundwa huwa unaambiwa umuhimu wa shanga kwenye ngono sasa iwaje wewe mwanamke mno uzivae kazini au matembezini? na hali ya hewa ya DAR joto ndio hapo zinapoonekana UCHAFU. lakini kama ukimvalia mwenzio kwa minajili ya kumpa tashtiti shanga tamu jamani na hasa kwa wanaojua kuzitumia, shanga tamuuu kwa wanaojua maana ya shanga kwa mwanamke na mwanaume , kwa wasiojua wataona uzushi tu na kuzipa majina yasiopendeza.
   binafsi napenda shanga zisizidi tatu ndio huwa naona zinaleta ladha stahili.na huwa sizivai kila siku , nazivaa siku nnayotaka kutoa special en unforgetable night or day or eveining.na mzigo unaotolewa siku hiyo si wakawaida na wala sio wakitoto
   moja ya kazi ya shanga ni kutofautisha kiuno cha mwanume na cha mwanamke kwenye kufanya mapenzi, pia wanaume huwa wanapenda kuzipekecha wakati wanatafuta goli , huwa zinatoa mlio flani ambao kwa wakati ule hupagawisha na pia kwa mwanamke zinaleta msisimko wa aina yake, kuna kazi nyingi za shanga kutegemeana na mtumiaji.
   vinginevyo tuachie wenyeweeee kaeni na cheni zenu za kidhungu hamwishi kupeleka kwa sonara kwenda kuziunga coz zinakatika kila mara(Jokes)

   haaaa hapo umenigusa kunako mami, coz mie katika cheni inayonipeleka kila cku kwa sonara ndio hiyo....c wajua tena?...lol
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  18. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By Nyamayao View Post
   haaaa hapo umenigusa kunako mami, coz mie katika cheni inayonipeleka kila cku kwa sonara ndio hiyo....c wajua tena?...lol
   Duh kwamba purukushani zinakuwa kubwa au? sasa kama cheni unakata (au anakata) shanga zitakufaa uzi wake imara LOL
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  19. Nyamayao's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd January 2009
   Location : Njoro
   Posts : 6,939
   Rep Power : 177968
   Likes Received
   2231
   Likes Given
   1891

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By MwanajamiiOne View Post
   Kuna mdada mmoja zilimkatikia barabarani lol aibu.

   Ingawa nilishawahi ona nzuri zenye rangi za kuvutia yaani si shouting colors nafikiri zinapendeza zikivaliwa chache jaribu nyamayao japo ukiwa chumbani tayari kumpokea mzee. mfanyie suprise siku moja katika kuamsha mahaba

   mami hizo zimenishinda kabisa, kwanza czipendi tu, pili mwili wangu cjui upo vipi nikivaa iwe cheni au hereni ziczo gold nadhurika ngozi, kwa hiyo ctaweza mami.
   MziziMkavu likes this.
   Leo hii Yesu angekuwepo, si ajabu angeenda saluni kupunguza sharubu, angeenda kwa Maumba kushona Tuxedo na angekua na IPAD....TIMING

  20. Amoeba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th August 2009
   Posts : 3,333
   Rep Power : 1264
   Likes Received
   535
   Likes Given
   725

   Default Re: Shanga za wasichana

   shanga shaanga! shanga. asiyefahamu anyamaze, mnasema tu lakini mate yanadidondo!! wanawake wa siku hizi wanajifanya wazungu hawavai shanga, lakini amini nakwambia...ukilala na mtu asiyevaa shanga kiuno kama cha dume, unaweza sema umelala na shoga!! teh teh. na wanawake wengi walioolewa wanavaa, wasichana wanahofiwa kuonekana malaya, ndiyo maana siku hizi vijana wanapenda mijimama!! mwenye shanga jamani apige picha usawa wa kiuno anitumie kwenye [email protected] , sura sina shida nayo, shida yangu ni kiuno chenye shanga.
   MziziMkavu likes this.

  21. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,145
   Rep Power : 29626041
   Likes Received
   6137
   Likes Given
   5499

   Default Re: Shanga za wasichana

   Quote By amoeba View Post
   shanga shaanga! Shanga. Asiyefahamu anyamaze, mnasema tu lakini mate yanadidondo!! Wanawake wa siku hizi wanajifanya wazungu hawavai shanga, lakini amini nakwambia...ukilala na mtu asiyevaa shanga kiuno kama cha dume, unaweza sema umelala na shoga!! Teh teh. Na wanawake wengi walioolewa wanavaa, wasichana wanahofiwa kuonekana malaya, ndiyo maana siku hizi vijana wanapenda mijimama!! Mwenye shanga jamani apige picha usawa wa kiuno anitumie kwenye [email protected] , sura sina shida nayo, shida yangu ni kiuno chenye shanga.
   makubwa !!
   MziziMkavu likes this.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  Page 2 of 63 FirstFirst 1234 12 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Nini maana ya shanga kiunoni na kazi yake ni nini??
   By hasason in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 8
   Last Post: 14th June 2013, 21:49
  2. Mwanaume kuvaa shanga kiunoni wakati wa sex
   By blessings in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 1
   Last Post: 31st May 2013, 06:05
  3. Replies: 0
   Last Post: 13th December 2010, 15:34

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...