habari wanaJF,naomba ushauri,hivi unafanyaje kama mkeo hapatani na ndugu zako hata mmoja,ingawa ndugu ndio wanamletea chokochoko yeye ni mpole na ni mtu mzuri.
habari wanaJF,naomba ushauri,hivi unafanyaje kama mkeo hapatani na ndugu zako hata mmoja,ingawa ndugu ndio wanamletea chokochoko yeye ni mpole na ni mtu mzuri.
Hata mmoja!! Kuna namna hapo. Waulize ndugu zako kwanini hawapatani na mkeo
mtihani huo
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Kuna ulazima wa wao kupatana?
An Idea isn't responsible for the people who believe in it.
Donald Robert Marquis (1878 - 1937)
American Writer
dahhhh
ongomvi wa ki familia ni ngumu kuutatua kwa kweli.
Na we uko kati sababu dada na mke hawapatani. Pole
life goes on.....
chunguza labda ni wivu tu wa nduguzo
huwa kuna mengi, je maisha ya wewe na mkeo tangu zamani yakoje yaani wewe na yeye kivyenu
mmekuliaje
kuna mengi ukabila, ndugu zake na wako wakoje, ulishakuwa na mtu walimpenda sana ku wish umuoe wewe ukabadilisha? unaona je ana kitu kilicho zaidi na nduguzo? pia nisiweke kama kwake ni pouwa labda wanajua alikuwa na bwana kabla yako wanachukia? au unawanyima pesa siku hizi umepunguza sio kama zamani? au duh etc
sorry pia kwa ndugu wengine unakuta wivu wa mke kuja kukufanya muishi vizuri
kwa kweli labda ungetonya vipoint tungesaidia kusema kutokana na mifano niliyoiona duniani kwa watu
ila ni kazi kubwa sana, ila watachoka wao wakiona hawana sababu za kukupa za chuki zao na wewe UNAMUHESHIMU MKEO bila kuwajali tabia zao.
ila hawataacha, na chunguzu sana hiyo chuki yao, as wengine na voodoo wanaendaga kuharibu ndoa za ndugu zao.
mie ni vijipoint vyangu tu labda vitasaidia au la.
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^
SIPENDI MATAPELI WASIOJUA KUTAPELI YAANI WANAOTAKA KUNIFANYA MIMI MJINGA LIVE KAMA WAANDIKA UONGO MITANDAONI NA UKIWA KATIKA MAONGEZI NAO
^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^
Duh kupatana ni muhimu tumia busarA zako ndugu wakubali mkeo na awakubali kwa sababu kuna leo na kesho.damu ni nzito kuliko maji na mke ni kila kitu kwako
ndo maana wanasema ndugu lawama...
"Behind every great fortune there is a crime."- Honore de Balzac (1799-1850)
mwambie kama alipenda bogo hana budi kuyapenda na maua yake pia!
Be Proactive controlling a situation by causing something to happen rather than waiting to respond to it after it happens
mwisho wa ndoa yako ni kuachana,hamfiki mbali,kumbuka ndugu zako umetoka nao mbali,umekua nao tangu utotoni na umeteseka nao kulala na njaa kushinda na njaa,kazi kwako kumwamini nani
ccm inakufa,asante mungu umesikia kilio chetu!!!!!!!
Vipi mke wako asipende ndugu zako??
Mwanamke kama anakupenda lazima apende na ndugu zako, na pia awe na waheshimu ndugu zako....kumbuka respect is a two way street.
Anaye kuheshimu huwezi kumvunjia heshima hata siku moja, na anaye mkosea mwenzake lazima mwenye kumkosea akiona aliye mkosea hakuyachukulia makosa yake lazima atajirudi tu....wazungu wanakamsemo kanesema; If you're not part of the solution, you're part of the problem .
Kama yeye ni mpole, huwezi kujua labda mkali kwenye mambo mengine, lazima ana kasoro zake tu![]()
waambie ndugu zako wwache chokochoko,au wanataka uwaoe wao.ndugu wengine wabaya kweli .wanaona mivivu labda mkeo anafaaaaidi .
waambie waache wivu alilolipanga mola binadamu hawezi kulitengua
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Mara nyingi huwa madada ndiyo wanakorfishana na mke. Hii ni ajili ya madada wako nao wanakupenda na wanahisi kuwa mke hakudiserve. Lakini sio makaka.
By and by inabidi sana ujaribu kuwapatanisha. Ni muhimu sana kwako na kwa watoto wako mkeo na dada zako kuelewana. Fanya bidii ili waelewane. Vizuri kama mkeo atachukuwa the first step. Itakuwa very painfull lakini it is worthwhile. Mwambie wife awe mstahmilivu sana anapo wa confront. Lakini ujuwe kuwa IT MUST BE DONE.
Hata kama una uwezo, huwezi kulea watoto bila mashangazi. Obviously mama yako ataside na sisters. Lakini give it a go.
GOOD LUCK
Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds...
Wanaume kuwen makin sn na hili coz ni common ndugu wa kike kumchukia wifi yao. Mi mwenyewe yamenikuta japo najitahid sana kuvumilia lkn mengne yana kera sn. M2 anaweza kuamua kununa hata wiki bla sa7bu akinisemesha jua anaomba hela. Cku ya kuondoka kabeba nguo zangu kibao bila kuomba licha ya kua nilimpa ngua nying coz cku aliyokuja alikuja na nguo aliyovaa 2. Kumuliza andai nguo zote kanunua kaka ake. Na ktk nguo zote alizochukua hamna hata 1 aliyonunua kaka ake! M2 wa namna hiyo umfanyeje? Na c mim 2 hata wake wengne wa kaka zao hawapatan nao. 4 ril ctak kukaka na wifi tena maishan mwangu na nilishamweleza kaka yao.
yaani hapa the issue ni kwamba they come to my home but hawataki kufuata rules ambazo yeye kama a woman of the house ameziset,mwisho wa siku wanaishia kusema vibaya pembeni,hawa ni cousins wa kike na kiume, pamoja na mambo mengine,ndugu dizaini hii kazi sana.
Follow Us Here