wana jf kuna kitu nakikosa kwenye huu ulimwengu wa mapenzi kutoka kwa wanawake anything i do for her but i mc the real love nimejivua gamba sasa nimeamua kuwa alone for a while
wana jf kuna kitu nakikosa kwenye huu ulimwengu wa mapenzi kutoka kwa wanawake anything i do for her but i mc the real love nimejivua gamba sasa nimeamua kuwa alone for a while
uamuzi mzuri
jikusanye upya, inasaidia kutofanya maamuzi ya pupa.
Usilazimishe. Kuamua kua alone for a while kutakusaidia sana...
Alafu hata kwenye mahusiano (when you find one you like and who likes you) just be yourself. Usilazimishe kuonesha mapenzi kuliko yale unayo hisi. Kua kawaida tu, yale unayo hisi muoneshe but don't fake it.
Information is not knowledge
Albert Einstein
Pole sn,but unapoona mambo hayaendi vizuri haina haja ya kulazimisha na kujikuta huenjoy hayo mapnz yenyewe,u ni uamuzi mzuri jipe mda kujipanga upya na kutafakari mapungufu yako na kuwa na tageti ya aina ya mtu unaehitaji na kuanza upya!
Tafuta ya kichina
pole sana, lakini labda niulize wewe ulitaka akupende vp? au akupendeje ili uhisi kua anakupenda kweli?
The hunger for love is much more difficult to remove than the hunger for bread - Mother Teresa
Matatizo ni kwamba saa nyingi mnatafuta mapenzi in wrong place
labda we unatangulizaga kuwaonyesha kuwa una mshiko!!
Hukupata right person, wait for the right person.
pole ila ulitaka upendwaje?
ee ila jamani haya mapenzi hata sijui nani aliyaleta,kila siku watu kulia aaaagh
Endelea tuu kupenda kwani hakuna guarantee kwamba ukistay alone for a while as u put it cku ikifika na ukaamua kupenda tena u wil find the one wit tht ril u wish to b given.
nashukuru but siweze kuonyesha a normal mapenzi aiseee huwaga nataka everybody ana enjoy mfano vitu vidogo vidogo kwangu vinamata sana kuliko vitu vikubwa mfano jorking, charting, decision, self determination, smartness, argument and more like that ni tuvitu 2dogo lakini navipenda sana halafu tatizo ucheshi wangu ndo unanigharimu aiseeeeee
ok but ngoje nicheck na upande mwingine kuliko haya mapenzi mkono mmoja siyawezi kwasasa
Well, by normal I meant natural. Kama wewe unaona ndio kawaida yako hivo basi fanya hivo tu. Atakae vutiwa na hivyo vitu atavutiwa huku akijua that's just the way you are. Kuna watu wanalazimisha kufanya vitu sababu wanadhani it will impress their lovers kumbe ndio wanaharibu. Just be yourself.
Information is not knowledge
Albert Einstein
nashukuru but huwaga nataka everybody ana enjoy mfano vitu vidogo vidogo kwangu vinamata sana kuliko vitu vikubwa mfano jorking, charting, decision, self determination, smartness, argument and more like that ni tuvitu 2dogo lakini navipenda sana halafu tatizo ucheshi wangu ndo unanigharimu aiseeeeee. halafu mapenzi ya kinafiki huwa sitaki kabisa na kitu kingine mapenzi yanakuwa na mkono mmoja as if kama mimi nimeumbwa kwa ajili ya somebody and not me 4somebody
mfano loreen how do u feel when mapenzi yanavyo kuwa ya mkono mmoja did u like it or what?
unapelaka 80% unapewa 20% kunahaki hapa or any ratio here
Follow Us Here