Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.
Wapo dada zetu ambao wanaamini kabisa kuwa hakuna mapenzi ya kweli na ya kina kama ya na mzungu.
Mie sipendi wazungu kabisa, ila wenzetu kwenye mapenzi wmetuzidi, akipenda kakupenda kweli na hakudanganyi, na akikuchoka akatamani mwanamke mwingine mara nyingi hawa cheat anakwambia live kwamba me n you its over,its not that ur a bad person or vipi, ni kwamba nime fall kwa mwingine, unaumiaa weee lakini ukweli unao unaendele, sasa kaka zetu atataka awakusanye woooote ukimuuliza anakataa, hapo tuuuu wakaka kwengine kote mnafunika mbaya
Simple Look But Tough in Wallet
“take me as i am, cuz i aint changing 4 no1”.
Engineer Smasher!!
the most important thing about this 'wazungu/black men' thing is that our sisters should make their own choices based on their own tastes, experience, expectations, convictions, inclinations etc; these are very much individual-specific, so there is no need to make any generalizations
If You Can't Fight Them, Join Them!
G'morning ladies and gentlemen lets toast to this comment,ngoja wakapange foleni kwenye ratiba ya kusubiri kumuona mzungu..They are as good as African men when it comes to juggling women,i've a couple of wazungu friends and some acquaintances who enjoy those desperate few women believing in Wazungu Salvation Army..But still there are a lot of gentlemen among wazungu,the same manner amongst other races..
They do have a large degree of infidelities sister that is why the word 'cheat' is still found in their dictionaries otherwise it would've gone to extinction long time ago.The thing with wazungu they are heartless at it kiasi kwamba hawawi na uoga wala ile sense of guilt b'se they are too proud to have the same feelings as other races.
It is about time baadhi ya dada zetu waamke kutoka kwenye huu usingizi wa mawazo,yaani material things are not guarantees kama ingekuwa hivyo ndoa za matajiri zingedumu saaana kuliko za watu wa kipato cha kawaida.Thats why wanaona kwa mikataba ili wakifikia goals zao katika r/ship moja wanahamia kwenye nyingine.Utapika maakuli yako weee yeye anakula juu kwa juu b'se yuko buzy sana anakutafutia ma'benz' unayoyataka.Sasa wadada zetu wanavyojua kununa usipokula kwake mbona stress zitaenda over the roof.
Tatizo la wazungu wanapenda wadada weusi wabaya wabaya yani its like they are mocking them its not good bana!
mange kimambi .com
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Kama wanapenda rangi yao mbona kuna wanye rangi hizo vijijni?
I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.
Follow Us Here