Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    Report Post
    Page 8 of 10 FirstFirst ... 678910 LastLast
    Results 141 to 160 of 186
    1. #1
      Pdidy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2007
      Posts : 12,319
      Rep Power : 3453
      Likes Received
      1334
      Likes Given
      863

      Default Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Nakofo mae/mbe
      heri ya moka mpya
      Last edited by Pdidy; 29th December 2011 at 10:14.

    2. #141
      kekuwetu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Location : home
      Posts : 120
      Rep Power : 463
      Likes Received
      16
      Likes Given
      42

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Quote By SWEET GIRL
      hawa watu bwana kuishi nao kazi sana.me nimejaribu nimeshindwa.wanapenda pesa sana hawa wanawake lol
      ulitaka wapende nini. hakuna mtu asiye penda pesa, ndio maana mtu anasoma kwa miaka mingi awe na elimu nzuri apate kazi nzuri, sababu haswa ni pesa. watu wanafanya biashara kwa bidii, wengine wanashindwa hata kulala, sababu haswa ni pesa. LAZIMA WAMACHAME WAPENDE PESA, WANAJUA KUITAFUTA. jamani HONGERENI SANA WANAWAKE WA KIMACHAME, siku nzote huwa nampongeza BABA YANGU KWA KUOA MMACHAME mimi ni mkibosho lakini nachukia sana kuitwa mkibosho, nawapenda sana wanawake wa kimachame wana bidii sana ya maisha, napenda kuitwa mmachame kuliko mkibosho. JAMANI NAWAPENDA SANA WANAWAKE WA KIMACHAME popote pale mlipo pokeeni HONGERA YANGU.
      nemic4u likes this.

    3. #142
      Sabry001's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2011
      Location : everywhere
      Posts : 968
      Rep Power : 612
      Likes Received
      288
      Likes Given
      199

      Default

      Quote By shalis
      KILA SIKU NASEMA NAONA LEO NIANDIKIE HII RANGI NYEKUNDU ILI MUNIELEWE

      KAMA WAMACHAME WAMEWASHINDA SI MUENDE HUKO KWENU MKAOE KABILA ZENU JAMANI KWANI SISI HUWA TUNAWATONGOZA ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose
      Kwashiseta deny Kyeku! Hahaha

    4. #143
      Mtaftaji's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th November 2011
      Posts : 171
      Rep Power : 418
      Likes Received
      24
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Mary Glory
      me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili
      ma2c c uungwana ndg,kumbuka ktk wabaya na wema wp,mjaji m2 km m2 na ckabila huenda wengiwao lkn c wote,kua na tafcda mpz.

    5. #144
      Osaka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Location : Morogoro
      Posts : 1,102
      Rep Power : 624
      Likes Received
      269
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By Mpatanishi
      Hawa ni wauaji aisee.
      Anko wangu alikua na mkwanja wa kutosha sana,mke akamkodia majambazi wakaja kumkata mapanga tena nje ya geti anko wakati anapaki gari.

      Wakati tunazika mke akajifanya analia saana kumbe yeye ndo muhusika.

      Alijifanya kudai maiti akazike kwao tukamtalia.

      After 2 wks akapeleka shauri mahakamani kudai yeye ndio mrithi wa mali zote.

      Kilichokuja kumuumbua jambazi mmoja alidakwa akaeleza yote kuwa alipea ten millions kwa kazi hiyo ya kuua tu.

      Wanaume tuwe makini wamachame hawafai tena hawafaaaaai kabisaaaaa.

      Kama ni lazima kuoa mchaga basi oeni wa marangu,mwika,rombo.
      Tunashukuru kwa taarifa mkuu!

    6. #145
      Osaka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Location : Morogoro
      Posts : 1,102
      Rep Power : 624
      Likes Received
      269
      Likes Given
      162

      Default

      Quote By Mtaftaji
      ma2c c uungwana ndg,kumbuka ktk wabaya na wema wp,mjaji m2 km m2 na ckabila huenda wengiwao lkn c wote,kua na tafcda mpz.
      Kama huwezi kuandika vizuri, ni bora ukae kimya! vague!

    7. #146
      Joendu85's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 364
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default

      Ni asili yao! Mtu hawezi kubadili asili yake.

      Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.

    8. #147
      stroke's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th February 2012
      Posts : 1,538
      Rep Power : 677
      Likes Received
      168
      Likes Given
      5

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      nimesoma hii post naghairisha ndoa jamani..

    9. #148
      KIDHEHA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 18
      Rep Power : 360
      Likes Received
      2
      Likes Given
      5

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Quote By Pdidy
      Nakofo mae/mbe
      heri ya moka mpya
      acheni mawazo ya kipuuuz....tabia ya mtu anayo mwenyewe na sio kabila...siku hizi malaya wanapatikana siku zote...malimbukeni...makanjanj a...so ni mtu mwenyewe

    10. #149
      winner forever's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2012
      Location : Port of Spain
      Posts : 578
      Rep Power : 567
      Likes Received
      108
      Likes Given
      93

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Quote By Pdidy
      Nakofo mae/mbe
      heri ya moka mpya
      Huu ni uzushi ulioanzishwa miaka ya nyuma sana,umepitwa na wakati. Most of them wana upendo,wacha Mungu na wanajua kushirikiana na waume zao kuleta maendeleo ya familia .

    11. #150

    12. #151
      maishapopote's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 28th May 2009
      Location : njoro
      Posts : 854
      Rep Power : 2326
      Likes Received
      202
      Likes Given
      1729

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Quote By Mary Glory
      me namjua mmoja anakaa kimara resort jina namuhifadhi ile ipo siku hapa jamvini nitawaja coz hawana roho za ubinadamu.nikiwa hospital nimelazwa kwa ajili ya kujifungua hakuja.akajidai kuja wakati nimeshatoka hosptl vile vitu sijavitumia mpaka leo nasubiri tu siku moja nimrudishie coz alichangia sana kwa mtt wangu kufa.na menngine mengi kwakweli wanawake wa kabila hili ni waajabu sana.ss kabila letu ukisema unaoa mmachame unatengwa kabisa.washenzi sana watu wa kabila hili
      pole sana mary huwa nikisia unavyolalamika kuhusu mtoto inaniuma sana pole my dear Mungu atakulipia
      "JF ni zaidi ya Google"-Mentor Jamiiforums

    13. #152
      Wingu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 4,061
      Rep Power : 1239
      Likes Received
      257
      Likes Given
      41

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Fanya mchezo na wamachame wewe chezea wengine eboo.Wale kukukanumba sio ishu

    14. #153
      Babuu blessed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th October 2010
      Location : machame
      Posts : 1,129
      Rep Power : 743
      Likes Received
      265
      Likes Given
      54

      Default

      Quote By Mpatanishi
      Hawa ni wauaji aisee.
      Anko wangu alikua na mkwanja wa kutosha sana,mke akamkodia majambazi wakaja kumkata mapanga tena nje ya geti anko wakati anapaki gari.

      Wakati tunazika mke akajifanya analia saana kumbe yeye ndo muhusika.

      Alijifanya kudai maiti akazike kwao tukamtalia.

      After 2 wks akapeleka shauri mahakamani kudai yeye ndio mrithi wa mali zote.

      Kilichokuja kumuumbua jambazi mmoja alidakwa akaeleza yote kuwa alipea ten millions kwa kazi hiyo ya kuua tu.

      Wanaume tuwe makini wamachame hawafai tena hawafaaaaai kabisaaaaa.

      Kama ni lazima kuoa mchaga basi oeni wa marangu,mwika,rombo.
      hadithi yako mzuri sana sasa huyo shemeji yako amefugwa kifungo cha muda gani?

    15. #154
      Leonard Robert's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Posts : 4,261
      Rep Power : 1269
      Likes Received
      527
      Likes Given
      202

      Default

      Quote By kekuwetu
      cool, wamachame waalimu, hawataki wanaume mazoga, yaani mwanaume yupo ndani kama maiti, hafikiri kitu chochote ili mradi siku ipite, hana malengo wala mikakati, kwa kweli hilo halitakubaliwa na wamachame kipigo kitatembea hadi akili iwe sawe. kama unafahamu kuwa wewe ni mwanaume usiye na ndoto ya maisha, legelege, mswahili fulani, usijaribu kuoa machame
      hatutaki kabisa matahaira machame.
      hilo kutafuta fedha sawa,vipi kuhusi nyie kuua waume zenu ili mpate mali nao ni uchapakazi,alafu nasikia mnafundishwa kuua waume,ili ni lhlo wazi kwani wamachame wachache mliochangia hapa mnaoneka mna roho mbaya sana! Mtawafundisha hata watoto wenu kuua waume mkidai huo ndio utafutaji na uchapakazi mnaojisifia nao.wauaji nyie hamna lolote!

    16. #155
      manka mpalestina's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th December 2011
      Posts : 32
      Rep Power : 385
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Leonard Robert
      hilo kutafuta fedha sawa,vipi kuhusi nyie kuua waume zenu ili mpate mali nao ni uchapakazi,alafu nasikia mnafundishwa kuua waume,ili ni lhlo wazi kwani wamachame wachache mliochangia hapa mnaoneka mna roho mbaya sana! Mtawafundisha hata watoto wenu kuua waume mkidai huo ndio utafutaji na uchapakazi mnaojisifia nao.wauaji nyie hamna lolote!
      mmelazimishwa kuja kutuowa na mimi namaliza univrsty this year 2013 nafunga ndoa nyie endeleeni kutoa mapovu na umaskini wenu wa mawazo mpaka kwenye pochi.at the end ukijipendekeza we gv u mido finger,hahah wacha waseme kesho watachoka
      nemic4u likes this.

    17. #156
      Eversmilin Gal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 778
      Rep Power : 527
      Likes Received
      259
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By shalis
      KILA SIKU NASEMA NAONA LEO NIANDIKIE HII RANGI NYEKUNDU ILI MUNIELEWE

      KAMA WAMACHAME WAMEWASHINDA SI MUENDE HUKO KWENU MKAOE KABILA ZENU JAMANI KWANI SISI HUWA TUNAWATONGOZA ki ukweli inaboa sana daily machame, hata sisi hatuwapendi vyasaka wakubwa nyie ... rundeni mashora muhe urere wenu simbai , visaa nyose
      waache hawana kazi kazi kutusema fisaa fya wakeku tao tupo juu wanawake wa kipalestina ndo maana hatuishi midomoni mwao
      nemic4u likes this.

    18. #157
      Eversmilin Gal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 778
      Rep Power : 527
      Likes Received
      259
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By shalis
      SWEET LADY.. no one forced you to be with them, katafute wasiopenda pesa ukae nao
      kwanza hata sisi wamachame hatuwapendi nyie wa makabila mengine huwa mnajipendekeza tu kutufuatafuata ...mara ooh mim natakamachame girl i know will make life oohh shit , ukiona tunawakubali ujue basi tu wakwetu hajatokea its a second choice

      mnatuboa sana ndio maana mimi nimeamua kuwaambia ukweli jinsi msivyotupenda sisi ni mara mia yenu ths why we called u vyasaka.. mwanaume anakuoa hana hata akili ya kuzungusha hela wala nin akishanunua mboga kaona kamaliza kazi kucha kukaa barazani mnadhani tunawapendaga ....no meen na tutawapelekesha san mpaka muache kulazimisha ndoa na machame girls, hapa kazi mwanzo mwisho ukileta mzozo sijui hupigi kazi tunpiga chini faster.. unakuja kutongoza huna kazi sijui dei.wa.ka no men huowi mtu..............

      hutoi matumizi home ukirudi kichapo mbona mtanyooka tu nyie mnaopenda anga zetu ... viva machame crew hope mwifonisha wose lakaneni na wandu wa urere ruyeni ilekh muri
      Kwawasuta kisha le ma big up

    19. #158
      Eversmilin Gal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 778
      Rep Power : 527
      Likes Received
      259
      Likes Given
      81

      Default

      Quote By Mpatanishi
      Hawa ni wauaji aisee.
      Anko wangu alikua na mkwanja wa kutosha sana,mke akamkodia majambazi wakaja kumkata mapanga tena nje ya geti anko wakati anapaki gari.

      Wakati tunazika mke akajifanya analia saana kumbe yeye ndo muhusika.

      Alijifanya kudai maiti akazike kwao tukamtalia.

      After 2 wks akapeleka shauri mahakamani kudai yeye ndio mrithi wa mali zote.

      Kilichokuja kumuumbua jambazi mmoja alidakwa akaeleza yote kuwa alipea ten millions kwa kazi hiyo ya kuua tu.

      Wanaume tuwe makini wamachame hawafai tena hawafaaaaai kabisaaaaa.

      Kama ni lazima kuoa mchaga basi oeni wa marangu,mwika,rombo.
      Uwiiii iiiiiii!!!!yani hao ndo wa maana shafua au shakuanika....!

    20. #159
      nyumba kubwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 4,047
      Rep Power : 2309
      Likes Received
      2874
      Likes Given
      3980

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Sasa sie wenye watoto wa kiume tufanyeje wakileta wakwe wa kimachame??? Au tuanze kuwataharifu mapema makabila ya kuoa?

      Kakangu alikuwa na girlfriend mmachame ukimcheki utasema nusu point. Mama alikuwa hampendi sikujua kwa nini maana nlikuwa mdogo. Si tulikuwa tunamwona poa tu tuliona kaka anatuletea mbegu yenye mvuto kwenye ukoo. Lakini walikuja achana kaka akajichukulia Binti wa Kikurya. Sasa nimeelewa kwa nini mama alikuwa hamtaki yule binti.

    21. #160
      Sabry001's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th June 2011
      Location : everywhere
      Posts : 968
      Rep Power : 612
      Likes Received
      288
      Likes Given
      199

      Default re: Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

      Proudly to be mmachame! Ninaenjoy kuona people zinamwaga mapovu hapa...machame, machame! I thnk tunaongoza kwa uzuri, hardworking, education na mengneyo! Huwezi linganisha mtoto aliezaliwa hospitali, akaishi nyumba ina umeme, kasoma amekalia dawati, anatembea kwenye lami toka mdogo...umfananishe na vyasaka...amezaliwa porini, hajawai ona umeme tangu azaliwe hajawai panda gari toka azaliwe! Kha! Machame wako na confidence sana, na they run Tanganyika na E.A kwa ujumla! Endeleeni ku2paisha tu jameni!
      nemic4u likes this.

    Page 8 of 10 FirstFirst ... 678910 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...