Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Binti wa kihindi ananitesa...

    Report Post
    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
    Results 61 to 80 of 102
    1. #1
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Binti wa kihindi ananitesa...

      Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono wangu

      Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa kumuondoa mawazoni imeshindikana........

      Yule akicheka kuna vishimo vile kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau. Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada. Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

      Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.
      rom likes this.
      NI SISI TWAWEZA

    2. Miaka 50

    3. #61
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By KakaJambazi
      Ivi angekupa tu kikawaida, ungeanzisha topic na kupanga mikakati ya kwenda? Nenda kampunguzie vitu ambavyo vita-expire soon.
      We ni mteja tu.
      Ningeanzisha tu mkuu!
      NI SISI TWAWEZA

    4. #62
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By okada
      jamani yote haya ya nini????????
      mapenzi
      NI SISI TWAWEZA

    5. #63
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By shizukan
      Kumbe nia yako pia ni kujua kihindi. Zama mwanamgu halafu mpe hizi:
      Kura suche Gazeti! (Huku unatingisha kishwa kama Dr. Patel) = mimi naitwa Gazeti

      Para naum suche?
      = unaitwa nani?

      Anaweza jibu: Suche Krishna = naitwa Krishna

      Kisha mwambie: Barabara, kayne gud suchian = Safi, jina zuri sana

      Mwongeze (huku unatabasamu): gamu che suchian satra galu gamuache' = nimependa jina lako kama navyokupenda wewe mwenyewe

      Sasa usije ukabugi ukaongea kwa nguvu babaake akakusikia, manake jambo la kwanza ataona ulishawahi kuwa mfanyakazi wa ndani kwa wahindi (Juma) kwa hiyo atapata sbb zaidi za kuhakikisha hufanikiwi
      Duh, hii kali!
      NI SISI TWAWEZA

    6. #64
      mikatabafeki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th December 2010
      Posts : 4,840
      Rep Power : 1398
      Likes Received
      766
      Likes Given
      1463

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      mnh sema nyimbo ya KUCH KUCH HOTAE ishachuja ungemuimbia hiyo angedata
      when love goes wrong,nothing goes right.

    7. #65
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1690
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      10 sins of indian

      10. Marrying a blond is a sin. Making love to a blond is a partial sin.
      9. Pre-marital sex is a sin. Marital sex is a partial sin.
      8. Taking dowry is a sin. Giving dowry is a partial sin.
      7. Bullying one's wife is a sin. Having to submit is a partial sin.
      6. Gambling is a sin. Playing cards is a partial sin.
      5. Drinking is a sin. Smoking is a partial sin.
      4. Eating beef is a sin. Eating pork is a partial sin.
      3. Hurting a cow is a sin. Hurting insects is a partial sin.
      2. Not phoning home is a sin. Running up a huge bill is a partial sin.
      1. Forgetting first language is a sin. Speaking with an accent is a partial sin.
      You may succeed in silencing me but that silence comes at a price-Alex litvinenko

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Edward Teller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2010
      Location : Area 51
      Posts : 3,431
      Rep Power : 1120
      Likes Received
      570
      Likes Given
      612

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      zungumza nae-u never know-unaweza kuta naye kazimika kwako
      GAZETI likes this.
      “Talk slowly but think quickly”

    10. #67
      driller's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th August 2011
      Posts : 1,091
      Rep Power : 609
      Likes Received
      203
      Likes Given
      241

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      mzee hiyo ya kua na gari tinted nimeipenda sana na nina uhakika ndiyo ya ukweli kuliko yani..!
      a wife is a knife to cut your life but there is no life without a wife

    11. #68
      majogajo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2011
      Posts : 321
      Rep Power : 449
      Likes Received
      30
      Likes Given
      0

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      acha tamaa za kijinga.majitu yenyewe yale mabaya kama nn.......bora mm niliye na cheusi mangala wangu

    12. #69
      unlucky's Avatar
      Member Array
      Join Date : 9th August 2011
      Posts : 91
      Rep Power : 412
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      gazeti kwanza hebu tuambie una miaka mingapi na unamvuto na je una uwezo

    13. #70
      YoungCorporate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2010
      Location : ....
      Posts : 387
      Rep Power : 537
      Likes Received
      69
      Likes Given
      13

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      mwambie.....yelarkihe divani divani, mahal kita....
      GAZETI likes this.

    14. #71
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By majogajo
      acha tamaa za kijinga.majitu yenyewe yale mabaya kama nn.......bora mm niliye na cheusi mangala wangu
      Yaani kama ningemuoa yule naamini ningekuwa na utulivu sana!
      NI SISI TWAWEZA

    15. #72
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By unlucky
      gazeti kwanza hebu tuambie una miaka mingapi na unamvuto na je una uwezo
      Nina miaka ya lawama, yaani haijaenda sana lakini ni ile ambayo
      watu wanakulaumu kwanini mpaka leo hujaoa. Dah lawama za kunitaka
      nioe zimezidi na niliyemuona ni huyo. OVER
      NI SISI TWAWEZA

    16. #73
      GAZETI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2011
      Location : ILALA
      Posts : 1,621
      Rep Power : 1303
      Likes Received
      645
      Likes Given
      1173

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By YoungCorporate
      mwambie.....yelarkihe divani divani, mahal kita....
      Ina maana gani?
      NI SISI TWAWEZA

    17. #74
      fabinyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th August 2011
      Posts : 1,815
      Rep Power : 818
      Likes Received
      360
      Likes Given
      278

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      kanunue external hardisk nyingine,zali la mentali hilo

    18. #75
      SOBY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 1,263
      Rep Power : 3233
      Likes Received
      446
      Likes Given
      125

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By The Boss
      mimi tatizo langu ni sisi wanaume wa kiafrika
      ukimpata mwanamke wa kihindi au kiarabu....uko tayari kufanya lolote
      kumfurahisha......kuliko mwanamke mswahili mwenzio.....

      uko tayari kutumia pesa nyiingi na kumdekeza kila aina
      lakini mwanamke wa kiswahili utashindana nae hata matunzo ya watoto.....

      tunathamini rangi zingine kuliko tunavyojithamini sisi wenyewe....upumbavu saana huu
      Kwanini mtu akimpenda mwanamke wa rangi tofauti basi andharau weusi?
      It's just love bro!!
      Gazeti, kamwambie jinsi unavyofeel ukimwona, just be open kama yeye hakufeel mpe uhuru wa kukwambia.
      We ain't getting no younger!!..... we mpe laiv tu.

    19. #76
      msweken's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th November 2011
      Location : Swekeni
      Posts : 96
      Rep Power : 400
      Likes Received
      14
      Likes Given
      3

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Rangi isikufundishe uoga, akikutosa haufi! Mtilie tim, sound zinakujaga zenyewe, ukianza na 1, 2 itafata.

    20. #77
      SOBY's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th September 2011
      Posts : 1,263
      Rep Power : 3233
      Likes Received
      446
      Likes Given
      125

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By meningitis
      mkuu sitaki kutoa hitimisho kama wewe ni mgonjwa au la,ninachotaka kusema ni vyema ukamuona daktari.hata wenye ugonjwa huu huwa hawakubali kama wanaumwa.
      Kha!!..... hii kali.

    21. #78
      AshaDii's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Location : Changeable
      Posts : 15,656
      Rep Power : 71473
      Likes Received
      15856
      Likes Given
      16539

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Quote By The Boss
      mimi tatizo langu ni sisi wanaume wa kiafrika
      ukimpata mwanamke wa kihindi au kiarabu....uko tayari kufanya lolote
      kumfurahisha......kuliko mwanamke mswahili mwenzio.....

      uko tayari kutumia pesa nyiingi na kumdekeza kila aina
      lakini mwanamke wa kiswahili utashindana nae hata matunzo ya watoto.....

      tunathamini rangi zingine kuliko tunavyojithamini sisi wenyewe....upumbavu saana huu


      Ni upumbavu saaana! Tena saana. Ubaya unakuja ni upumbavu amba huja bila hata mhusika kujua kua ni Upumbavu anafanya. Ipo kama involuntary vile... Mie naamini pamoja na kusema wanaume woooote wanataka mwanamke alo bora katika kila sector hasa tabia kinachofunika kuliko choote ni uzuri/urembo wa huyo mwanamke. Me ni mweusi but I acknowledge the fact kua wadada walo weupe mara nyingi wanakua na mvuto flani wa zaidi, na mara nyingi huonekana kama wazuri zaidi. (hapa nikiweka propaganda pembeni za kusema beauty in the eyes of beholder)

      Hio in one way or another inakua fueld saana na hio tabia yenu wanaume wa kusifiana fulani ana demu mkali! Na tukifuata reality (hasa kwa watu wa mtoko) guys wakikutana na guys wenzao na kila mmoja alete galfriend wake - kuna ile silent actions za kupima nani ana mwanamke mkali zaidi/nani mwanamke wake viwango/Mwanamke wa nani anafanya washikaji wamwangalie kwa kuibia kila mara walau kula kwa macho? Hio inapelekea mwanaume anapokua na mwanamke wa rangi ashoboke na by all means kummaintain ili hata wakiachana na the woman in question isiwe kwa vigezo vya kuonekana kashindwa mhandle... Hua mara nyingi ni involuntary....
      The Boss and GAZETI like this.
      "Emancipate yourselves from Mental Slavery,
      NON but Ourselves can Free our Minds"
      - Bob Marley (Redemption Song)

    22. #79
      AshaDii's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Location : Changeable
      Posts : 15,656
      Rep Power : 71473
      Likes Received
      15856
      Likes Given
      16539

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Gazeti napenda nikuambie kua kajaribu bahati yako.... But wahindi bana ni moja ya race kujichanganya kazi ipo. Saana saana waweza jitahidi utoke nae (in case kakupenda) But mtaishia hapo tu - thou nishakusoma maybe it's the only thing you want, basing on the kusisimka part....

      Kwa upande mwingine mpaka kagugusa (which i bliv was not neccesssary) ukute nae kakuzimia bana kashindwa tu kusema....
      GAZETI likes this.
      "Emancipate yourselves from Mental Slavery,
      NON but Ourselves can Free our Minds"
      - Bob Marley (Redemption Song)

    23. #80
      Paddy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd September 2010
      Posts : 191
      Rep Power : 478
      Likes Received
      14
      Likes Given
      6

      Default Re: "binti wa kihindi ananitesa"

      Duh kweli JF balaa.. Hilo duka ni computronix huyo dada nadhani ni tabia yake. Anawaminyia jicho ili mshindwe kunegotiate bei tu nothing more!!
      GAZETI likes this.

    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

    Similar Topics

    1. Dada ya Rafiki yangu ananitesa nifanyeje?
      By Malova in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 47
      Last Post: 27th December 2011, 08:20
    2. Bado ananitesa alaf sipend kuachana nae
      By lover in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 25
      Last Post: 24th December 2011, 06:30
    3. Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje
      By Galileo Galilei in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 121
      Last Post: 14th December 2011, 21:22
    4. Jaman mbona sasa ananitesa.
      By Zuia Sayayi in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 27
      Last Post: 5th October 2011, 14:37
    5. Replies: 3
      Last Post: 22nd June 2011, 00:41

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...