| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 2108
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kusilizana ndani ya nyumba na kuheshimiana ndio hasa vikubwa unatakiwa ufanye. Pale unapofanya kosa kiri kweli umefanya na omba msamaha kama linafaa kuomba msamaha. Usiwe jeuri wa kupinga makosa yako.
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
So nimgependa kupata maoni ni jinsi gani nitakavyoweza kumridhisha mke wangu nampenda sana. |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Pole sana mkuu,kwakweli kuhusu kuchoka na kazi nakuhurimia ,maana nalielewa hilo,kwakua yeye anasoma tu ingemfaa yeye akubembeleze hiyo jtatu mpaka ijumaa,kwakukufanyia massage na mabusu motomato etc...sasa nimesoma una jumamosi na jumapili,hizo siku mbili zinatosha kabisa kwa wk,asubuhi amka kwa kumtengenezea kikombe cha chai ya rangi au kinywaji apendacho,ikiwezekana ,muogeshe hiyo siku kwa mapenzi makubwa (kama mnaishi kwenye nyumba yenu),then hapo atakuwa amepata mood nzuri,mnaweza endelea zaidi.kama hatakuwa na assignment then mchana mnaweza kutoka na kwenda kula nje,or usiku mtoke wote mkapate dinner,or sehemu anayopenda mke wako,
in between ,hasubuhi si uko home ww,then mchagule nguo ya kuvaa,mvalishe ikibidi,mtumie text kila wakati zenye maneno matamu,mbona wanawake ni rahisi yu,wewe mpe maneno matamu kwasana,natumaini unayajua jamani,mengine baadaye . |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
...kuchoka kusikupelekee ukalala bila kumpa mabusu mkeo, na jifunze kulala ungali 'umemfunga mkanda' mkeo (umemkumbatia), mambo ya kulala mzungu wa nne, au nyote mmgeukia ukuta wake siyo 'Romantic' kama asemavyo huyo mwali... ...kuongeza chachandu, mwambie basi akukande/masaji kabla hujalala upatwe nawe kupunguza machovu, huenda kwenye hilo kukakuamshia hisia, ama? natumai mchango huu utakusaidia japo kidogo...
__________________
Powered by JamiiForums.com Copyrights reserved to JamiiForums.com.
|
||||||||||||
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mhhhhhhh hii theory utaleta ugomvi bure humu, wasiolipiwa mahari je?
__________________
some people dream of success, while others wake up and work hard at it. |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
1.Wanawake ni watu wa hisia sana ndio maana anaweza kukwambia haupo romantic ukashindwa kuelewa. Na wanaume hufikiri kununua chakula, kujenga nyumba na kutoa hela ndio vitajenga mahusiano ya ndoa. Jaribu hatua hizi chache 2.Mkumbushe mkeo mara kwa mara kuwa unampenda, kwa txt msg, mkiwa peke yenu n.k. Waume wengi hufikiri baada ya kuoa mke hapaswi kuambiwa maneno aliyokuwa akiambiwa wakati wa uchumba. Wakishaoa basi wao na kazi kazi na wao. Roomantic life ni ongoing process haifi ila una renew every now and then. 3.Hata ukichoka kumbusu,kumkumbatia, kumshika mkono kwatosha. 4. Wanawake hupenda wanaume wanaowauliza uliza: muulize siku yake imekwendaje, kakumbana na kipi na kama asubuhi alikuambia atakuwa na test, follow up how the test was. 5.Unapopata nafasi weekend hapo sasa mpumzike pamoja. Usisahau zawadi ndogo ndogo like chocolate, handerchief, kibanio cha nywele au chochote unachohisi kinachomu-impress. Kina mama wanapenda sana vizawadi na dio maana anasema haupo romantic, hata kama unampa hela ya kutumia si vibaya siku ukimnunulia night wear nk 6.Hata kama mna watoto treat her like those old days na si kama mtu aliyezeeka wewe saa zote mama fulani, let her continue being your darling, your sweet rose n.k
__________________
some people dream of success, while others wake up and work hard at it. |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Kwa kifupi mdekeze ili umuonyeshe kwamba you care about her. Siku moja moja kama pochi linaruhusu (weekend) mwende kula nje wanawake wengi hupendelea dinner katika mahoteli mazuri lakini ambayo bei zake ni poa. Pia ukumbuke kununua Valentine card (February 14 siku ya wapendanao) na siku zake za kuzaliwa na pia siku za anniversary zenu na kama ikiwezekana mkaenda kusherehekea kwa kula nje. Ni vitu vidogo vidogo ambavyo havihitaji kuvunja bank ili uweze kumudu gharama zake.
__________________
~*~Life is Good~*~ |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Weekend moja moja unampa huduma ya malkia,unaamka asubuhi na kutayarisha kifungua kinywa,kama unajua kupika unampikia chakula cha mchana au usiku na kumkalisha kwenye kochi[miguu yake unamwekea mto kwenye stuli]na kumnawisha na kumletea kila kitu yeye asiamke pale.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:45 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||