Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?

Reply With Quote

Follow Us Here