1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye nia ya dhati au ni wa kusepa(at least six month) 2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko 3. kuwa naturaly kama unakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo 4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kama weweni wa hvo 5 usimpige mizinga wala usimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa 4 usimwambie idadi kamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamna mita ya kupima so hawezi jua imetumia unit ngapi 5 usimueleze ukweli kuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money 6 kuwa mtu wa mawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongo usiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo 7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezea hii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa 8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbele unaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilaza utamjua tu the way atakavokushauri 9 imani –church,mosque attendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpili ukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake
11 cheki movement za simu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?
12 mtembelee home kwakeila unaweza kubakwa sometimes nenda hata siku upo period kuepusha majanga. kumbuka no moja
13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho
Bebii nimekumiss
Ila hizo ulizotoa wanafanya kinyume chake
Siku ya kwanza tayari na kuvuana na kuombana vocha na kutaka kujua ni lini ndoa wakati hata sikujui
Yaani wengi wanafanya vise versa ila bora umetoa darasa
Hiyo namba moja it depends on mazingira na feelings maana kuna maneno ukipewa na mazingira mnayoongelea mwenyewe unasema kufuli linakupa joto unamuomba akusaidie kulitoa,,
Upo juu mamito bebii!ila ungetupm wadada tu asa ushaweka hadharan jamaa watatushtukia na kututafutia mbinu mbadala!
Hala hala mwendelezo wa kesho iwe exikulusivu kwa wadada tu lol!
Bebii bana,hayo yote hakuna kati ya mabint wanafanya,mnakutana leo kesho anakuambia,ooh hela ya salun imepungua,mara vocha,wizi mtupu!Mbinti mna matatizo sana!
3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo 4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo mawazo yake kilazautamjua tu the way atakavokushauri
12 mtembelee home kwakeila kumbuka no moja
13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho
Bebii hizo 3 na 4 umenichanganya, 3 umesema wawe natural, mara 4 unawaabana sijakuelewa hapo, mi naona kama ni mtukanaji, mlafi na mengineyo uyafanye tu ayajue na hapo akikukubali na vituko vyako vyote ndio unatia tiki ya uhakika.
Na kwenye hii 12, hivi kweli meni umtembelee home kwake akuachie! wapendwa wengi hii imewakosti sana, hapo unataka kuwauza.
Bebii bana,hayo yote hakuna kati ya mabint wanafanya,mnakutana leo kesho anakuambia,ooh hela ya salun imepungua,mara vocha,wizi mtupu!Mbinti mna matatizo sana!
Bebii nimekumiss
Ila hizo ulizotoa wanafanya kinyume chake
Siku ya kwanza tayari na kuvuana na kuombana vocha na kutaka kujua ni lini ndoa wakati hata sikujui
Yaani wengi wanafanya vise versa ila bora umetoa darasa
nipo mkuu sema majukumu
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Bebii hizo 3 na 4 umenichanganya, 3 umesema wawe natural, mara 4 unawaabana sijakuelewa hapo, mi naona kama ni mtukanaji, mlafi na mengineyo uyafanye tu ayajue na hapo akikukubali na vituko vyako vyote ndio unatia tiki ya uhakika.
Na kwenye hii 12, hivi kweli meni umtembelee home kwake akuachie! wapendwa wengi hii imewakosti sana, hapo unataka kuwauza.
Hiyo 13, sijui!
tabia zingine noma bwana si unaelewa utampeperusha ndege ila no 12 unaenda kwa kujilinda unawezakwemda hata siku upo kwenye moon si unaelewa?
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
Upo juu mamito bebii!ila ungetupm wadada tu asa ushaweka hadharan jamaa watatushtukia na kututafutia mbinu mbadala!
Hala hala mwendelezo wa kesho iwe exikulusivu kwa wadada tu lol!
Bebii bana,hayo yote hakuna kati ya mabint wanafanya,mnakutana leo kesho anakuambia,ooh hela ya salun imepungua,mara vocha,wizi mtupu!Mbinti mna matatizo sana!
hapa wanataka mabuzi
It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long
1 usiwe mwepesi kuvua nguo –hii itakusaidia naturally kujua ni mtu mwenye niaya dhati au ni wa kusepa(at least six month) 2. kuwa romantic-upendeze kiukweli ili kujua mihemko yake ni % ngapi na level yake ya resistancetowards mihemko 3. kuwa naturaly kamaunakunywa kunywa kama ni mtu wa kununa kaa hvo hvo 4 kuwa na haiba yakike-usivute sigara bangi ,usiwe mlafi,wala kutoa matusi mbele yake hata kamaweweni wa hvo 5 usimpige mizinga walausimpe story za familia yako hata kama yeye ata fanya hvo iwe ni baada at leastwk 3 kama atakuwa hajasepa 4 usimwambie idadikamili ya wapezi wako unaeza kumwambie yeye ni no 2 hata kama wapo mia hamnamita ya kupima so hawezi jua 5 usimueleze ukwelikuhusu kipato chako especially kama ni kizuri wanaume wengine wapo after money 6 kuwa mtu wamawasiliano especially siku za mwanzo hata usiku wa manane –kama ni muongousiku hatopokea simu piga chini siku iyo iyo 7 usimtambulishe kwa mtuyeyote yeye akikutambulisha potezeahii itakufanya uwe na heshima pale pale hata kama akisepa 8 angalia maneno yake kuhusu miaka yenu ya mbeleunaweza kumwambia mfano nataka kusoma ,nataka kujenga cheki mawazo yake kilazautamjua tu the way atakavokushauri 9 imani –church,mosqueattendance kama si mtu wa dini jua tu mahusiano yenu hayatakuwa mazuri so jpiliukion mtu anaipotezea jua tu haupo sehemu sahihi kimbia
10 muueleze matatizoyako kwa akili kumbuka no 5 sio kumpiga mizinga then cheki reaction yake
11 cheki movement zasimu yake kimya kimya je ukiishika tu anareact? Anaipokea kwa amani akipigiwa?
12 mtembelee home kwakeila kumbuka no moja
13 mwambie muende angaza kwanza mkapime hiv
nitaendelea kesho
Mhhhhh_this does not work in the real world
1.Wanaume wengi almost(though doesn't count) 98% hatuwezi kuvumilia kufukuzia miezi 6 bila ku do.
2.Kupendeza hiyo ni sawa kabisa...twapenda wasafi na wanaopendeza.
3.Kuwa natural ni suala zuri na it pays in long run
4.Yap_mizinga inaboa sana,na hasa unapogundua unafanywa ATM
5.Mawasiliano muhimu_lakn yale ya usiku wengine hatupendi..kwa hiyo kuwa makini
6.Suala la kutambulishwa kwa jamaa zenu wengi hatujali ki vile...hivyo sio issue
7.Hii habari ya kwenda church/msikitini nayo sio issue kwani tumeona wengi wanamahudhurio mazuri sana lakn hovyo mpaka kinyaa...hivyo take it easy
8.Kama ghetto karibu sana na wala hakuna noma..ila kumbuka kuvunja hiyo no.1-kama hauwezi basi na wengine hatuna uvumilivu wa hilo.
9.Hilo la angaza poa...kama vip kinga zipo
Ntaendelea kutoa ushirikiano kadri ninapopata nafasi_maake wateja wa kushona na kubrash viatu ni wengi...si unajua mambo ya jua na vumbi.
"We should learn to help others,not only in our prayer but also in daily life,if we cannot help them_then,the least thing we can do is to desist from harming them"
Follow Us Here