Wakuu hivi jini mahaba ni nini na ni ukweli kama inavyo zungumiziwa?
Naomba useme kwanza anazungumziwa vipi ili tupate pa kuanzia....
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
Linazungumziwaje?
Leo Tolstoy once said "Everybody thinks of changing the world, no one thinks of changing himself"
Dah! jini mahaba ila mengine ni majini kahaba.
Hebu sema tulinganishe.
Ni mesikia jini mahaba lanaweza kumwingia mtu bila kuwa kama ametumiwa na mtu kama
tunavyo sikia,flani karushiwa jini.Na pia hilo jini huwa linafanya mapenzi na liliyo mwingia.
Je kama linafanya mapenzi linafanyaje?Na lipo la liume na kike?
hiyo bendera hapo hata hamu ya kuchaingia inaisha
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams
kwani vipi limekufika? elezea vyote ulivyosikia tuchangie
Hizo ni imani. Hakuna jini mahaba wala nini! Kama we ni kicheche usisingizie jini.
yule mzee mtabiri hii kitu ilikuwa inamuhusu, bahati mbaya hatunaye tena...
tz1 hapa subra inahusika, labda kuna wa2 walioachiwa mikoba wanaweza tusaidia wakiupitia huu uzi
navosikia ni kama unakuwa unaota mtu anakuingilia ukiamka teari mambo nje nje
kwenye rangi hapo...
kuna m2 mzito tu kutoka kwenye hicho chama unachopeperusha bendera yake, nasikia aliwekewa ulinzi wa hivyo vitu!!
nakushauri tafuta contact za huyo m2, then akukutanishe na hayo madude face2face nafikiri utapata muda wa kuyahoji hayo maswali yako na yatakupa majibu ya kina zaidi.......
unaionaje hii mkuu?????????
Jini mahaba ni aina ya majini wanaopenda sana ngono ambao humwingia mtu ama kwa kupenda mwenyewe au kwa kutumwa ambapo humfanya mtu huyo kufanya ngono yaani ye anawaza mpodo kila wakati.....yani kma ni demu full kupigwa mpodo na njemba tofauti na unakuwa unatamani kila kidume unachokiona na kwa mamen hivo hivo....
Follow Us Here