JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Vasectomy inataka kuleta balaa!

  Report Post
  Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
  Results 61 to 80 of 199
  1. #1
   Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Vasectomy inataka kuleta balaa!

   Baada ya jana kukiri nimelikoroga nawashukuru mlionipa pole,mambo yote kwa sasa ni muswano.
   Sasa ndugu zangu hebu tushauriane hapa.Nina jamaa yangu ambaye alipata sekeseke miaka michache iliyopita akaachana na mkewe. Kwa kuwa watoto wao walikuwa bado ni wadogo mahakama iliamua wabaki na mama yao na jamaa yangu apeleke matunzo,na kwa kweli anafanya hivyo. Nadhani kwa sababu ya stress za talaka (sina hakika na hili) jamaa aliapa kuwa hataki kuzaa tena,nilimshauri awe na subiri akakataa na hivyo kuna siku tulikanyaga kiguu na njia hadi Marie Stopes na jamaa akafanyiwa vasectomy.
   Bahati mbaya au nzuri two years ago alipata mwanamke mwingine wakaoana na apparently hakumwambia hii maneno ya vasectomy.Mama anataka kuzaa,mimba haishiki,na hospitali zote amezimaliza. Kwa kuwa mmewe ana watoto na yeye vipimo vinaonyesha yuko ok basi yeye anaamini tatizo sio mme ila damu zao hazipatani.Shemeji tumeshibana sana,sasa kanifuata anaomba ushauri,anataka aende kwa siri India (yeye ni mfanyabiashara mzuri tu) ili akafanyiwe IVF kwa kupandikiza mbegu ya mtu mweusi ili mradi tu azae ndani ya familia, anasema hataki ku cheat na mwanaume mwingine ili apate mimba. Kanitaka ushauri na contact za clinics za huko. Ukisikia pasua kichwa ndo hii,nimemwambia atulie kwanza niulizie nitampa jibu.To tell or not to tell?
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  2. charndams's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th November 2010
   Posts : 404
   Rep Power : 643
   Likes Received
   98
   Likes Given
   86

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   you can ila chances ni 50/50 na ni very expensive (inaweza kufikia hata USD 50,000.- kutegemea na class ya hospital)
   mh! nilitazamia kitu kama hicho lakini duh, nimekoma. ngoja kwanza kama vasectomy tunasema mbaya mbona tunawashauri wake zetu kufanya tuba-ligation?

  3. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   hiyo ndo hali halisi mazeee,ukiingia kwenye ndoa keep your eyes open,hususani hizi ndoa za dot.com,mnakutana runway,kitchen party kempinski,mkesha kunduchi beach,reception moven pick,fungate dubai,baada ya harusi mama anasema mimba isubiri kwanza anataka ku keep figure,ukienda jackies yeye unamsikia yuko nyumbani lounge,ukirudi nyumbani unamkuta kwenye laptop ukimuuliza msosi(kwanza hajui kupika kalelewa na ma housegirl all her life) anakwambia kwani hujala huko? hallo hallo.....
   Mkuu kunasema kweli na ndoa badala ya kuwa ndoa zimekuwa ndoano
   Wengine hata sio kukeep figure anazaa mtoto anakuambia hanyonyrshi maziwa yake yataharibika au kufua nepi au kumuosha mtoto kucha zake zitaharibika
   Hizi ndoa hizi acheni tuu tunavumiliana mengi na tunaona mengi
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  4. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By bebii View Post
   jamaa anao watoto wa ngapi? Amwambie ukweli dada wa watu azae bwana? Kwani hawajawai kwenda wotekupima hosptal? Maana majibu yatasaidia kuweka ukweli hadharani
   mama she is just assuming kwamba mmewe yuko ok kwa sababu tayari ana watoto-2 kids
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  5. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By The Finest View Post
   Mkuu huyu jamaa yake Bishanga kaniacha hoi aisee dah issue zingine ngumu aisee
   Issue ngumu sana TF ndo maana nasema aise mimi siwezi fanya ile kitu kabisa
   Bora nimshauri mama tuu tutumie simple na clear method of birth control hakuna hata kukata sijui mirija ya wife wala nini
   Maana one day utajikuta una matatikzo ambayo huwezi jua utaanzia wapi
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  6. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Keren_Happuch View Post
   Mhhhh!!! kweli huyo mwanaume ana roho mbaya haswaa!!! Kwanini usimwambie rafiki yako anavyofanya sio vyema, amweleze mke wake mwenyewe.
   Huyo mdada, kama wengine walivyosema, nafikiri ni vizuri aongee na huyo mume wake............hivi kwani hawawezi kuchukua za mumewe wakampandikiza????!!!
   it doesnot work that way,ukishafanya vasectomy kuzaa tena shurti kwa microsurgery.
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  7. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   ndo hapo sasa kajukuu kakisomea shule za kanumba.
   Mkuuu huyo mmoja sio issue sana mradi wengine wako fit
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  8. #67
   AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Hizi ndoa hizi!!! Dah! Nimeshindwa hata la kuchangia.... Pole zake huyo dada...
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  9. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By The Finest View Post
   Bishanga kitu ambacho kinanishangaza kwa huyu jamaa achilia mbali hiyo ya kutosema, yaani alishikwa hasira kiasi kwamba hadi aliamua kufanya Vasectomy ili asizae?? Such things iko siku vinagundulika bila hata yeye mwenye kujua na hapo ndipo itakapokuwa timbwili aisee siwezi kufikia hatua hiyo ya kwenda kufanya such a thing
   TF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  10. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By charndams View Post
   mh! nilitazamia kitu kama hicho lakini duh, nimekoma. ngoja kwanza kama vasectomy tunasema mbaya mbona tunawashauri wake zetu kufanya tuba-ligation?
   hapo sasa,mianaume ndivyo tulivyo (namnukuu Nyani Ngabu).
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  11. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   TF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.

   Mkuu hata kama ni kwenye full stress
   Kufikia kwenda kufanya vasectomy wakati bado ni kijana na bado umeachana na mke hujajua hata huko mbejleni maisha yatakuwaje ni uamuzi wa ajabu sana
   Na huo ndio unaomcost sasa hajui aanzie wapi
   Bora angefanya hayo na asioe tena maishani au arudianne na mke wake ambaye tayari wana watoto na ambaye ingekuwa rahisi sana kumueleza kuwa ulipoondoka nilifanya hili
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  12. The Finest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2010
   Posts : 21,719
   Rep Power : 6262
   Likes Received
   5950
   Likes Given
   5020

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Mr.Rocky View Post
   Issue ngumu sana TF ndo maana nasema aise mimi siwezi fanya ile kitu kabisa
   Bora nimshauri mama tuu tutumie simple na clear method of birth control hakuna hata kukata sijui mirija ya wife wala nini
   Maana one day utajikuta una matatikzo ambayo huwezi jua utaanzia wapi
   Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
   "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

  13. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By AshaDii View Post
   Hizi ndoa hizi!!! Dah! Nimeshindwa hata la kuchangia.... Pole zake huyo dada...
   nimshauri nini Bi Asha?
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  14. The Finest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2010
   Posts : 21,719
   Rep Power : 6262
   Likes Received
   5950
   Likes Given
   5020

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   TF usiapize ndugu yangu,mbona wengine wamepata full wazimu kisa mistress ya ndoa/mahusiano? ukiwa ndani ya full depression you can never tell uta react vipi Mkuu.
   Bishanga anyways hayo yote tumuachie Mungu tu ila naamini kuna mambo ambayo yako within our capacity unaweza kufikiria kwanza kabla ya kuamua kufanya decision fulani kwasababu binadamu tunatofautiana na kila mtu ana mawazo na maamuzi yake
   "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

  15. Bishanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2008
   Location : SIRIUS
   Posts : 15,349
   Rep Power : 3799452
   Likes Received
   9866
   Likes Given
   8644

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By The Finest View Post
   Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
   kwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?
   THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.

  16. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By The Finest View Post
   Hela wanazoenda kuspend kupandikiza mbegu na kumaintain ingefanya vitu vingine vya muhimu, hii issue haina tofauti na mtu anayeenda kufanya abortion maana siku ukiwa na unataka kupata mtoto inashindikana maana uliishafanya abortion mpaka sasa jamaa anajaribu kukwepa kivuli chake naye mwanamke maskini kwa kotokujua kwa kuona kuwa jamaa ana watoto wawili basi anahisi yeye ndiyo mwenye matatizo sijui jamaa yake Bishanga anajisikiaje kwa hili noma sana yaani anyways sijui mimi maana watu wanaweza kuanza kusema haujaingia kwenye ndoa ndio maana naongea hivi ila all in all it's not fair not fair at all
   Mkuu your advice worth a million time as if u r in marriage institution
   Ndo maamuzi ambayo mtu unayachukua out of stress yanakuja kukucost sana baadae wakati unapotakiwa kuyareverse
   Huwa naamini sana kuwa kabla ya kufanya jambo lolote think twice na ikiwezekana waulize watu unaowaamini wawili au watatu juu ya maamuzi yako.

   Though muamuzi ni wewe mwenyewe ila unaweza pata kingine cha kukusaidia out of that three or two ambacho kinawez akuyarudisha maamuzi yako nyuma na kuyaacha au kuendelea nayo.

   Hili ni tatizo la kuamua na kuamua bila kujua outcome zake ni nini na madhara ndo yanaoenekana sasa.
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  17. Dena Amsi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2010
   Location : Saayo
   Posts : 12,891
   Rep Power : 232384653
   Likes Received
   3907
   Likes Given
   1664

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By The Finest View Post
   Mimi nitaendelea kusema tu hata watu wakinielewa vibaya ila huyu jamaa yake Bishanga ana roho kwa kweli ambayo sio nzuri kwa kitendo hicho
   Naona kama unaremba aiseee ana raho mbaya tena ya muuaji mkubwa huyo hafai kabisa.....
   A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"

  18. Mr Rocky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th October 2007
   Location : Hungumalwa
   Posts : 14,867
   Rep Power : 429500127
   Likes Received
   13780
   Likes Given
   12750

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   kwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?
   Hapo sitaki kucomment maana TF ana visa na mimi
   When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams

  19. #78
   AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   nimshauri nini Bi Asha?

   Naona tuone kwanza muelekeo wa huu mjadala, ndio utatupa picha....
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  20. The Finest's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th July 2010
   Posts : 21,719
   Rep Power : 6262
   Likes Received
   5950
   Likes Given
   5020

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By Bishanga View Post
   kwenye red,mkuu unasubiri nini na warembo wote hawa jf ,hususani mmu?
   Hahahaha!!!!! Bishanga
   "What is legal, but not logical, logical, but not legal, and neither logical, nor legal?"

  21. #80
   Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305256
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Re: vasectomy inataka kuleta balaa!

   Quote By ashadii View Post
   naona tuone kwanza muelekeo wa huu mjadala, ndio utatupa picha....
   umeona sis eeh ndoa ngumuuuuu........

  Page 4 of 10 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!
   By ndyoko in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 205
   Last Post: 18th June 2014, 17:39
  2. Replies: 4
   Last Post: 2nd May 2011, 00:12
  3. Kiongozi mwenye balaa na mikosi anapoongoza balaa na mikosi!
   By Bakari Maligwa in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 1st March 2011, 14:06
  4. Replies: 2
   Last Post: 18th January 2011, 03:45
  5. Serikali ya JK inataka Kumchafua Nyerere?
   By Kachanchabuseta in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 38
   Last Post: 4th June 2010, 12:23

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...