Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Report Post
    Page 12 of 14 FirstFirst ... 21011121314 LastLast
    Results 221 to 240 of 264
    1. #1
      INNOVATOR's Avatar
      Super Moderator Array
      Join Date : 8th June 2011
      Posts : 383
      Rep Power : 2489
      Likes Received
      237
      Likes Given
      280

      Post Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

      Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

      Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

      Richard, BAK, Rodcones and 85 others like this.
      Innovation is the whim of an elite before it comes a need of the public

    2. #221
      mansakankanmusa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2012
      Posts : 1,004
      Rep Power : 559
      Likes Received
      191
      Likes Given
      180

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      hapa penyewe wameanza kumessup! watu hovyo sana, msisahau kuondoa ilr cread yang ,,ya mkasa. maana thread yang ikanigeukia

    3. #222
      Danyol leonardo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Posts : 11
      Rep Power : 364
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      hiyo sawa mkubwa

    4. #223
      Shagiguku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th January 2010
      Location : Mwanza, Tanzania
      Posts : 339
      Rep Power : 547
      Likes Received
      65
      Likes Given
      14

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Quote By Bigirita View Post
      Samahani, mi mgeni, mmu ndo nini!

      mmu (mahusiano, mapenzi na urafiki)
      Okya likes this.

    5. #224
      Julius Kahangwa's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 22nd June 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Sina tatizo na sort ya mada ktk jukwaa la JF

    6. #225
      Jodoki Kalimilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Location : Ihayabuyaga
      Posts : 2,450
      Rep Power : 932
      Likes Received
      847
      Likes Given
      1603

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Quote By NYENJENKURU View Post
      Kweli kabisa bebii kila ukifungua pdidy mpaka unachoka na zote zinaongelea mada ile ile mahusiano na mapenzi.
      kama post zote zinaongelea mada ile ile sawa lakini kuhusu kuweka post nyingi hakuna shida kwani JF ina active register members 80652 hapo utaona kwa siku post zinaweza ingia ngapi unless kama unachangia kwa kuangalia nani ameweka post na sie thread inasemaje ndio inaweza kukusumbua

    7. #226
      Costantino's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 358
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      safi kumbe mnatujali sanaaaaaa eeh

    8. #227
      Karimulutego's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 12th July 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default

      Uamuzi huo ni mzuri kabisa naunga mkono.udhibiti wa taarifa zisizo na msingi lazima uwepo, hiyo itawarekebisha wengi wawe wanatoa taarifa zenye mantiki na zenye maana.nawashukuru sana kwa kuligundua hilo, nawaomba mfanye utafiti na sehemu zingine ili muweke udhibiti kama huo.

    9. #228
      Magongo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 386
      Likes Received
      7
      Likes Given
      11

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      ni wazo jema. Tunategemea mamoderator hamtokuwa kikwazo kwa kutumiwa au kuzima thread kwa manufaa yenu binafsi.

    10. #229
      Okya's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Location : Dar es salaam
      Posts : 34
      Rep Power : 368
      Likes Received
      7
      Likes Given
      6

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Vema kabisa

    11. #230
      MAWAZO JUNIOR's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd July 2012
      Posts : 45
      Rep Power : 357
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Nadhan ni uamuzi wa busara

    12. #231
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,732
      Rep Power : 736
      Likes Received
      301
      Likes Given
      36

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Ngoja nilipeleke kotini swala hili ili lisijadiliwe tena!

    13. #232
      Fimbo ya Musa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st July 2012
      Posts : 56
      Rep Power : 359
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default

      =INNOVATOR;2490568][COLOR=#0000FF]Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

      Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

      [SIZE=3]Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi. Sio mbaya!

    14. #233
      magungujunior's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 12th June 2012
      Posts : 2
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      safi nami ninaunga mkono

    15. #234
      muwanga's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 372
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      kweli kabisa mi nakuunga mkono

    16. #235
      telitaibi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2012
      Posts : 459
      Rep Power : 451
      Likes Received
      83
      Likes Given
      79

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      well ni vema kumekuwa na watu kuteleza sana hapa ila ni safi sana

    17. #236
      Hayajamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2012
      Location : Utopia
      Posts : 625
      Rep Power : 476
      Likes Received
      174
      Likes Given
      404

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Asante, pole kwa kazi mkuu

    18. #237
      Kikombe kinafurika's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 379
      Likes Received
      1
      Likes Given
      2

      Default

      Hii imetulia mkuu
      Quote By INNOVATOR View Post
      Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

      Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

      Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.

    19. #238
      Jerry de Marco's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th August 2012
      Posts : 55
      Rep Power : 355
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Hcho cha maana xana mkuu

    20. #239
      Mkekuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 716
      Rep Power : 506
      Likes Received
      86
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Nidhamu muhim,hongereni kwa kutujali.

    21. #240
      pretty n's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2012
      Location : Arusha
      Posts : 276
      Rep Power : 399
      Likes Received
      60
      Likes Given
      18

      Default Re: Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

      Mapenzi mahusiano na uchumba(MMU)

    Page 12 of 14 FirstFirst ... 21011121314 LastLast

    Similar Topics

    1. Soma hii muhimu:Msaada tafadhali
      By Richbest in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 6
      Last Post: 7th November 2011, 23:02
    2. Taarifa nuhimu - tafadhali soma hapa
      By INNOVATOR in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 0
      Last Post: 13th September 2011, 15:40
    3. Muhimu! Tafadhali soma
      By TATE in forum JF Doctor
      Replies: 1
      Last Post: 5th December 2010, 17:37

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...