Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Ni dhambi kwa kuwa imekatazwa na mwenyewe aliyeiweka hiyo raha, ndo mana ukijifanya unaweza sana ghafla tamu inageuka chungu.
Bnadamu alipewa akili'ckuizi imekuwa dhambi sababu watu wanaonjana sana'zaman ilikuwa nyepesi'mnapendana mnaenda kwa wazaz mnaoana mnapewa kipande chenu cha ardhi mnaanaza kuzaana"sasa hvi mambo yamekuwa tofauti ndio maana ikawa dhambi".
nimeipitia tena hii thread, nimesisimka hadi Adam kasimama na kunipigia thaluti
Tetetetee! Lizzy ana hoja hapo wanaJF tena ya msingi kabisa. Siku zote huwa najiuliza kuhusu haya mambo ya imani. Kuna wakati huwa nadhani sisi binadamu tuna kazi kubwa sana ya kuujua ukweli hasa wa kimungu. Huwa sielewi, hivi sisi watanzania kabla ya kuja wazungu na nani sijui........, maisha waloishi mababu zetu yalikuwa ni ya mahusiano ya mume mmoja na wanawake wengi. Huwa sielewi hawa watu walipokufa walienda motoni kwa sababu ya 'huo uzinzi' au wako peponi. Maana kwa sasa tunaambiwa kama hujaolewa wewe ni motoni tu unapofanya mapenzi.
Kuna hili lingine la ukristo na uislamu. Utakuta wakristo wanasema Mke mmoja na mume mmoja, lakini kwa waislamu wanasema mume mmoja na mke inawezekana wakawa hadi wanne, kwa wanaonogewa huenda zaidi ya hapo. Sasa huwa sielewi itakuwa mbele ya Mnyaazi Mungu when the two men of different belief (muslim and christian) wakifa! Who will go to hell and who will go to heaven? Huwa sielewi, kama ametuumba itakuwa atusubject into different scales of measurement? Hapa nahisi huenda Mungu itabidi awe biassedin HIS judgement.
Kujificha siyo ishu. Mbona huwa tunajificha hata wakati wa haja kubwa?
The Biggest Man You Ever Did See Was Once Just A Baby
Tufanye ujinga wote ila mungu tumuweke mbali, tena humu jf....achen mchezo na mungu nyie, ww unayeona si dhambi fanya kimya kimya na usipotoshe wengine!
Perfect numbers like perfect men are very rare.
Hata mimi huwa najiuliza sana. Unamsaidia msichana pesa kidogo ambazo zimamsitiri yeye (na wazazi wake labda) kwa siku kadhaa. Akiamua kukupa kazawadi kake, yaani ile kitu, watu wanasema dhambi. Very unfair
Nitafafanua baadae!
Kuna tofauti kubwa kati ya 'uzinzi' na 'tendo la ndoa'
Kuna tofauti ya uzinzi na uasherati. Uzinzi ni mtu anayefanya nje ya ndoa uku akiwa ana mume au mke tayari na uasherati ukiwa nje ya ndoa yani haujaoa au kuolewa na vyote ni dhambi.
Jiandaeni na moto wa milele
Kaaaaazi kwelikweli,hahahaaaa.
jamani simuoe na kuolewa ili mpate hiyo raha kihalali eeeh
Follow Us Here