Kuna mtu aliwahi kuniambia,kama umemtokea mwanamke kwa muda aafu akawa anazingua punguza mawacliano naye.kama alikuwa anazuga basi atakutafuta,lakini kama alimaanisha na yeye anakusahau! hii imekaa vipi?
Kuna mtu aliwahi kuniambia,kama umemtokea mwanamke kwa muda aafu akawa anazingua punguza mawacliano naye.kama alikuwa anazuga basi atakutafuta,lakini kama alimaanisha na yeye anakusahau! hii imekaa vipi?
Sijakuelewa vizuri. Unataka kusema nini haswa?
inakula kwako.
Hakikisha umeona dalili fulani za mahaba then anajifanya haelewi ila kabla hujaziona dalili we komaa tu, we women, learn to love, mwanaume anatokea alipotoka, alisha draw interest kwa muda mrefu, kwa hiyo kwake inakuwa rahisi kutekelez kwa kukwambia, but akilifikisha, mwanamke anaanza kuangalia vitu vinayomvutia mpaka anaanza kufall, umeelewa?
Simple Look But Tough in Wallet
Ukitaka kujua kama kuna ukweli fanya utafiti mwenyewe utagundua.
Blackberry Amenena "women learn to love". Kuna binti nilianza nae long distance (bolingo ya telefoni), nikawa very nice to her - mashairi, sera na nyimbo nyingi. Akawa ananiambia you are a very nice guy i hope i will learn how to love you better when we are close 2 each other. Back then sikuelewa what she meant. Nilikuja kuelewa baadae. Mapenzi ya wanawake yanaanza chini na ku grow when they learn n get to know you better WAKATI sisi tunaanza juu na kumaintain au kwenda chini overtime. It vice versa.
This is a Man’s world. Man, man, But it will be nothing without a Woman on it!
Hakuna ukweli.
Kwanza ukichuna ndio tunaona afadhali kero zimeisha.
Inategemea..!! lakin usemalo lipo.
aaaaahhh hadi uone dalili za maendeleo ukijidai kupoteza nae anapotezea mazima
we mwanaume, usikate tamaa fatilia mpaka uone mwisho wake, kama anakupenda matunda yake utayaona
Maisha ni Safari Ishi Upendavyo
Kama umeingia uvunguni mwa mtima wake atakutafu na hilo halina ubishi ila hakikisha kwamba ameona utofauti na umemzowesha vitu fulani adimu kama story,sms na suprise fulani fulani.
Follow Us Here