Habari wadau,
Kuna ka research nafanya kuhusu hawa ndugu zetu wa madanguro,
i mean dada zetu..kuna mawili tayari nimeshayafanyia kazi,
kuna moja la Mwananyamala na lingine la buguruni......
manaweza kunitajia sehemu nyingine haya madanguro yalipo ili nimalizie research yangu?
bujibuji,fidel,rev masa,chimunguru na wengineo tusaidiane......
Note:karesearch changu kakiisha nitawakilisha hapa jamvini wadau
Nawakilisha


Reply With Quote


Follow Us Here