Wana jf, nipeni sms za mahaba za kusimua sana ambazo naweza mtumia mpenz wangu usiku huu.
Wana jf, nipeni sms za mahaba za kusimua sana ambazo naweza mtumia mpenz wangu usiku huu.
Ohoooo!
wakikupa haiwezi kusisimua sana kwasababu itakuwa haijatoka moyoni kabisa, but ngoja tusubiri wataalam wa mambo haya !
Hahahaaa! Unataka kumwonyesha wewe babkubwa eeh?! Hakuna sms nzuri kama kumwandikia hisia zako mkuu. Ila kama mmezoea kudanganyana nenda ka google 'love messages' Unamrushia kumbe na yeye anazo hizohizo siku nyingi...!!
My Love…
Nimeshinda siku nzima nakufikiria hasa kua ni ujumbe gani nikutmie ujisikie kama ninapo
jisikia hapa katika hizi feelings ambazo zinanichanganya na kunikosesha rahaa…
Nimejaribu saana kubuni ni maneno gani nikupe.. bahati mbaya saana mimi
si mmoja wa wale wenye maneno mazuri naya kukosha…
oh! How I wish ungeona hali yangu ilivyo mbaya kwa ajili yako…
Niseme nini darling?? Ni bora unitamkie wewe kitu gani wapenda usikie…
Nimejaribu hata kuomba msaada JF jamvi la GT wa ujumbe mzuuuri…
lakini nikakuta ni bora nikwambie kweli kua sina maneno…
Ila niseme tu Nakupenda na nakuombea kwa Mola alokuumba
ukulinde usiku huu mnene na siku zoote zijazo….
Kwa mapenzi ya dhati Kagarara…
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
haya message hiyo, zitakuja na nyingine
usemayo ni kweli na hakika, hisia za moyoni mwako na hasa kwa vile umjuavyo mpenzi wako ndio unaweza kupata maneno mazuri ya kumwambia mpenzio. ila kubwa kwa usiku huu ukiacha longolongo za kimahaba mtakie tu usiku mwema, umwombee dua ili Mungu amlinde na kumlaza salama na awe mzima wa afya hadi siku mtakapoonana tena kwa kudra za Mungu. mfno mie mume anitumie msg eti usiku kucha silali nakuwaza wewe, mara sili silali kwa kukufikiri nitajua tu either zimepotea njia au ananitania au ni utapeli!!
Dada bwana!!
yakutungiwa hainogi sema neno moja latosha............... usifikiri sana litakuja lenyewe
Be who you are and say what you feel because those who mind don't matter and those who matter don't mind - "Dr. Sues"
What to tell mpenzi wako depends na the type of person alivyo...
Ni muhimu kumjua mwenzio ana penda nini...
Hayo maneno hapo juu nimetoa.. but believe me mpenzi wangu simpi hio mistari...
Haimfaii...
Mpaka huyu kaomba msaada wa message i bet you ni under 22,
na kama ni that age hio message yamfaa kabisa..
"Emancipate yourselves from Mental Slavery,
NON but Ourselves can Free our Minds"
- Bob Marley (Redemption Song)
Be who you are and say what you feel because those who mind don't matter and those who matter don't mind - "Dr. Sues"
Changanya na zako
Follow Us Here