JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nani....?

  Report Post
  Page 17 of 24 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast
  Results 321 to 340 of 467
  1. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default Nani....?

   Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo wanayofanya au wanavyoyafanya.Hii ni hali ya kawaida tu kwahiyo naamini hata hapa JF wapo wanokuboa kwa namna moja ama nyingine.

   Kwahiyo swali langu ni hivi nani/kina nani hapa JF unawaADMIRE kiasi kwamba hata wakichangia thread ambayo wewe hujaifurahia utaingia tu ili kujua walichoandika wao?!
   Na je kina nani michango yao na thread zao zinakuacha umeshanga tu na kujiuliza hivi huyu mtu vipi?!

   Mi nakua wa kwanza kusema nnaowadmire ni wengi kuliko wanaonishangaza...kwahiyo hawa ntawataja baadae!Anaeniboaga ni NN au Nyani Ngabu ukipenda...yani mshkaji ye michango yake mingi inaashiriabye anajiona ni bora kuliko!Kila kitu anajua yeye...na kila mtu amsikilize yeye.Kama tungekua tunaongea kwa sauti ningesema ni mmoja wa wale watu wasionyamazaga na kumuacha mwingine aongee.Hata kama hajui kitu atajifanya na kung‘ania anajua!

   So
   Next ni babu yangi ASIPIRINI...japo nampenda sana ila akianzaga kutetea infidelity basi naishia kutamani asingekua babu yangu nimpe kavu za uso!!Sorry babu...nimekua mkweli tu!!!

   So vipi wewe......?!Usisahau sababu ili kama mhusika anaweza ajirekebishe au aendeleze libeneke kwa kinachofagiliwa!!

  2. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By Asha D View Post
   Kloro unajua umeniweka pabaya... you know mimi niko upande wa CPU daima - alafu unatoa siri.... acha kuniuzia case!
   heheeh Asha D bana! hii hata CPU mwenyewe atathibitisha acha tumsubirie.
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  3. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By Dena Amsi View Post
   Kumbe muoga wewe Lizzy sijui kaenda wapi
   Hela ya cafe imeisha
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  4. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By klorokwini View Post
   heheeh Asha D bana! hii hata CPU mwenyewe atathibitisha acha tumsubirie.

   Kloro yule kijana ana maneno simuwezi... akija hapa mbona nasepa kiulaini...
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  5. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By Asha D View Post
   Kloro yule kijana ana maneno simuwezi... akija hapa mbona nasepa kiulaini...
   Unajua alikuwa anafanya kazi ya kupiga debe kwenye daladala basi imemuathiri mpaka leo.
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  6. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By klorokwini View Post
   Unajua alikuwa anafanya kazi ya kupiga debe kwenye daladala basi imemuathiri mpaka leo.

   Huyo simgusi nimegoma... (asante nimekujua lakini...)... naona nihame topic
   vipi research inaendelea vipi... wasamaria wema wale 6, umepata??
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  7. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By Asha D View Post
   Huyo simgusi nimegoma... (asante nimekujua lakini...)... naona nihame topic
   vipi research inaendelea vipi... wasamaria wema wale 6, umepata??
   Bado bana! Observer inabidi utie kibega! adhawaizi research itafeli njiani ( acha namimi nihame topic). Mimi list ya ninaowapenda nitairusha live cloud FM. stay tuned. Halaf watatangaziwa kama matokeo ya mtihani wa kidato cha nne vile.
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  8. bacha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th August 2010
   Posts : 4,339
   Rep Power : 1451
   Likes Received
   778
   Likes Given
   2865

   Default Re: Nani....?

   Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
   jamani tupige vita uchakachuaji.................. .......lol.............

   BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?
   NYUKI hapigwi BUSU........................

  9. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By klorokwini View Post
   Bado bana! Observer inabidi utie kibega! adhawaizi research itafeli njiani ( acha namimi nihame topic). Mimi list ya ninaowapenda nitairusha live cloud FM. stay tuned. Halaf watatangaziwa kama matokeo ya mtihani wa kidato cha nne vile.

   hahahahah.... sina wasi wasi kua nimo.. you know why? Am holding all the cards....lol... ngoja nitoke hapa Choice FM nihamie hapo clouds, i just hope kibonde leo hayupo pindi, i can't stand him.
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  10. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By bacha View Post
   Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
   jamani tupige vita uchakachuaji.................. .......lol.............

   BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?

   lol...........lol..........lol .....

   Bacha huu uzi ulianza kuchakachuliwa toka page two, list ni Lizzy (mwenyewe, Nyani Ngabu,......the list goes on)
   Enways unataka kuniambia bado hujataja uwapendao hapa JF....lol
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  11. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By bacha View Post
   Naona hapa ni uchakachuzi kwenda mbele mwanawane.......
   jamani tupige vita uchakachuaji.................. .......lol.............

   BTW: Hivi huu uzi unazungumzia nini vile?
   hehe Kamanda. Sisi wengine hatutaji bana tunaonesha kwa vitendo. Hivi baada ya kuangalia nilivyoongea na Asha D ipo haja ya kukwambia kwamba nampenda au namchukia? , mwalim wangu wa Chemistry aliniambia laboratory practical speak louder than classroom theory, namshukuru sana japo nilipata F ya kemistri
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  12. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default Re: Nani....?

   Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

   Asanteni!!

   PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!
   Tabia haina jinsia . . Lizzy

   Aika Rua!

  13. bacha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th August 2010
   Posts : 4,339
   Rep Power : 1451
   Likes Received
   778
   Likes Given
   2865

   Default Re: Nani....?

   Quote By Asha D View Post
   lol...........lol..........lol .....

   Bacha huu uzi ulianza kuchakachuliwa toka page two, list ni Lizzy (mwenyewe, Nyani Ngabu,......the list goes on)
   Enways unataka kuniambia bado hujataja uwapendao hapa JF....lol
   Bacha hana uchoyo,
   anawapenda nyote,
   Mungu awabariki lol....!!!!
   Ila msichakachue sana uzi,
   Mungu hapendi!!!!!!!!
   NYUKI hapigwi BUSU........................

  14. bacha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th August 2010
   Posts : 4,339
   Rep Power : 1451
   Likes Received
   778
   Likes Given
   2865

   Default Re: Nani....?

   Quote By klorokwini View Post
   hehe Kamanda. Sisi wengine hatutaji bana tunaonesha kwa vitendo. Hivi baada ya kuangalia nilivyoongea na Asha D ipo haja ya kukwambia kwamba nampenda au namchukia? , mwalim wangu wa Chemistry aliniambia laboratory practical speak louder than classroom theory, namshukuru sana japo nilipata F ya kemistri
   Asante kwa Kutuhabarisha hilo ila;
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
   NYUKI hapigwi BUSU........................

  15. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By Lizzy View Post
   Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

   Asanteni!!

   PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!

   Partner Lizzy nakubaliana nawe 100% THANK GOD mimi nawewe sio wachakachuaji....
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  16. klorokwini's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2009
   Location : Pharmacy
   Posts : 8,719
   Rep Power : 7765
   Likes Received
   4945
   Likes Given
   7318

   Default Re: Nani....?

   Quote By Lizzy View Post
   Masikio nishasafisha!!
   Quote By Lizzy View Post
   Wanna be the one to use 'em??You can take my place!!
   Quote By Lizzy View Post
   I know it‘s that good...the offer still stands though!
   Quote By Lizzy View Post
   Tayari...nasikia ukipumua!!!
   Quote By Lizzy View Post
   Acha umbea.....

   tena hapa nimeanza page ya 15, ukibisha zaidi nitaenda kuchimbua mboga tangu page ya pili

   Quote By Lizzy View Post
   Wachakachuaji wote siwapendi...Hata mkikasirika sijali maana uchakachuaji ni kosa la jinai kwenye kitabu changu hivyo naomba mbadilike!!Kuhusu mimi kua mshiriki NAKANA kwa herufi kubwa....kuna mtu nilimwazima ID yangu aangalie picha kule kwenye picha sasa naona ishakua tabu!!

   Asanteni!!

   PS Kloro cafe ya mjomba wangu kwahiyo siwezi ishiwa!!!
   WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.

  17. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default Re: Nani....?

   Quote By Asha D View Post
   Partner Lizzy nakubaliana nawe 100% THANK GOD mimi nawewe sio wachakachuaji....
   Thanks partner...that's why me love you so much!!!
   Tabia haina jinsia . . Lizzy

   Aika Rua!

  18. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Nani....?

   Quote By bacha View Post
   Bacha hana uchoyo,
   anawapenda nyote,
   Mungu awabariki lol....!!!!

   Ila msichakachue sana uzi,
   Mungu hapendi!!!!!!!!

   Bacha Me love the sound of the above...

   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  19. Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default Re: Nani....?

   Quote By klorokwini View Post
   tena hapa nimeanza page ya 15, ukibisha zaidi nitaenda kuchimbua mboga tangu page ya pili
   Khaaaaaa!
   Hayo sio maneno yangu!!NAKATAAA NAKATAAAAA!!!
   Tabia haina jinsia . . Lizzy

   Aika Rua!

  20. EMT's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2010
   Location : Tandahimba
   Posts : 14,202
   Rep Power : 429499876
   Likes Received
   13880
   Likes Given
   8595

   Default Re: Nani....?

   So far ninawa-admire members wote wa JF. Bado sijakutana na anayeniboa. Of course, wako ambao tunatofautiana kimawazo na kifikra, but that is part of our lives. Binadamu wote sio sawa na hatuko perfect. Pia bila tofauti zetu JF, isingekuwa hapa ilipo. Nafikiri badala ya disapprove of, kuwa disgusted with or kutompenda mtu kwa mambo anayofanya, tupendane kama wanaJF. Kama kwenye article moja iliyowekwa na Mwanakijiji hapa kutoka huko Kenya inavyosema: “While in Kenya community forums are divided in party and ethnic affiliations and mostly you will find major part of communications in vernacular, in Tanzania [JF] they are united in purpose. Kwa hiyo nadhani tuzingatie hili zaidi kwa manufaa ya taifa letu.

   Baada ya kusema hayo, wapo wadau wengi sana ninaowa-admire. Kuwataja hapa wote would be like fighting a loosing battle. Kwanza kabisa ninawa-admire waanzilishi wa JF na wale wote waliokaa chini kufikiria hii idea. Sio kazi rahisi kuendesha forum kama hii. Inahitaji commitment, motivation and dedication. We will be indebted to Max and his Cos for the rest of our lives. What they have done is incredible. Labda cha kufanya ni kuwa-motivate na kuwa-support kadiri ya uwezo wetu. JF is starting having an impact in the lives of many Tanzanians. JF is “giving government sleepless night”: The Tanzanian Online Community Forum Giving the Government Sleepless Nights | Tech Mtaa

   Pili nina-wadmire moderators na Invincible kwa kazi wanayoifanya. Wanafanya kazi ngumu sana ambayo mara kwa mara tunakwaruzana nao. Ni vigumu kuwaridhisha members wote lakini naamini kabisa kuwa wanamoderate JF kwa faida yetu sote.

   Tatu, ninawa-admire watu walionishawishi nijiunge na JF mwaka jana. Kabla ya hapo nilikuwa nasoma tuu posts za watu bila kuchangia. Moja ya watu walioni-influence kujiunga na JF ni Kiranga. To be honest, I like his posts. He analyses issue by looking on both sides of the coins. Ana tendency ya kuchangia only in threads where there is an issue to discuss. So, you won't see him ni many threads. Probably, I will say he is one of the most underrated member at JF. Pia ninapenda kusoma threads and posts za Mwanakijiji na kabla ya ku-reply posts zake inabidi nizisome kama mara tatu hivi. He makes me think out of the box.

   Nne, ninawa-admire wale wanaotumia majina yako kamili. Wapo ambao tayari wanajulikana na jamii, so kutumia ID tofauti hai-make change. Lakini pia wapo ambao they don’t hold positions in the society but they have the courage of using their real names. Nina-wadmire sana hawa watu bearing in mind that JF is a place where were dare to talk openly. Mmeona juzi tuu jinsi watu walivyomtenda Max japokuwa ni JF founder. Credit ziwaendee Mohamed Shosi na wengine.

   Tano, kuna watu wengi sana wanaonivutia kwenye posts zao na it is impossible to mention all of them here. Nina-waadmire sana Michelle, Dena Amsi na Lizzy. I like the way wanavyo-defend their point of of view. Pia Michelle huwa anatoa ushauri mzuri sana kwenye jukwaa la MMU. Ananifanya nimkumbuke sana shangazi yangu mmoja. Dena Amsi nakumbuka sana ile PM yako nilipojiunga na JF na kuuliza tofauti kati Premier member na Expert Member. Maana kwa zile replies nilizopata toka kwa wadau labda nisingekuwa hapa. Lizzy, you must be an incredible woman to even dare to start this thread.

   Ninawa-admire PakaJimmy, Rose1980, Mwanajamiione, Afrodenzi, Gaga, Rev Fr Masanilo (you’re economic kwenye posts zako), Saint Ivuga, Katavi, Tamno, Allien (respect mkuu), Pasco, Husninyo, NILHAM RASHED, Bujibuji, BelindaJacob, First Lady1, CPU, Steve Dii, Klorokwin na ndugu yake Aprin, Dark City, MTM, LD, Bubu Ataka Kusema, Fidel80, WomanofSubstance, Kaka Mpendwa, The Finest, PDidiy, Nyani Ngabu (plus your other 50 IDs. hehe), The Boss, Gaijin, Superman, Nemo, Maria Roza, Kaizer, just to mention the few. Special admiration to Askari kanzu, Nonda, Eqlypz and your Cos for keeping the International Forum active na Mtazamaji hasa kwenye posts zake za mambo ya technology. Bila kuwasahau controversial members kama akina FaizaFoxy, Mertyna na Not Enough.

   Ninamwa-admire Nyumba Kubwa. Mara nyingi wakati tujajadili thread huwa tun-argue theoretically. Lakini Nyuma Kubwa likes to bring in her personal experience to the issue. I like that as it gives us a practical perspective on the issue.

   Then, kuna huyu member mpya who entered JF by storm. Within a very short time, she has become one of the most popular members at JF. Sio mimi tuu, nafikiri wadau wengi wanapenda sana michango yake. She has brought in new perspectives. Her name is Asha D. I have to admit that it has been a privilege to read your posts.

   Wapo wengine huwa wanaingia humu kwa msimu lakini I have learned a lot from their posts. People like Mbu. Credit kwa ile thread ya "Mtaji wa Milioni 10" na wale wote waliochangia. A lot of people will learn from it: http://www.jamiiforums.com/business-...0-million.html. Pia Fundi mchundo kwa post zake hasa kwenye masuala ya ujenzi kama hapa: http://www.jamiiforums.com/business-...-tanzania.html

   Kwa kweli wapo watu wengi sana ninaowa-admire sitaweza kuwataja wote. Labda niseme tuu nawapenda wanaJF wote regardless of our different views or clashes hapa JF. I have learnt a lot from you guys. I ove you all.
   Last edited by EMT; 30th May 2011 at 19:48.
   "Poverty makes people do reckless things, but [the rich] do worse to protect their [interests]" - Immortal Technique.

  21. Dena Amsi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2010
   Location : Saayo
   Posts : 12,891
   Rep Power : 232384653
   Likes Received
   3907
   Likes Given
   1664

   Default

   Quote By Nyani Ngabu View Post
   Kheee yaani ndo tumemaliza mara hii?
   <br />
   <br />
   Hatujamaliza bado bana

  Page 17 of 24 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Viatu vya Nyerere nani atafanikiwa kuvivaa? Nani katuloga part one!
   By luckman in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 19th September 2011, 18:04
  2. Polisi vs CAG: Nani ni nani na nani afanye nini?
   By Zing in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 4
   Last Post: 2nd September 2011, 12:40
  3. Replies: 20
   Last Post: 29th July 2011, 14:52

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...