Wanajf kuna dada mmoja ananishangaza sana. Ana miaka kama 25 hivi, kaolewa juzi juzi tu(kama miezi 10). Tatizo hataki kabisaaaaa kuitwa Mrs. Yaani mpaka job kwake ameandikisha Miss. Je hii ina maana gani? Mumewe anajua? Ukimuuliza anasema ooh! security! Au yuko kifisadi?

Reply With Quote

Follow Us Here