Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?

Mhh hapo utata kiasi. Wife wako na jamaa wanafahamiana?
Mlimazuzu kweli sijawahi kumwambie wife ila jamaa kila nikikutana naye anasisitiza sasa nimechoka sana.........nataka kutembea na panga sasa
Jiamini wewe ni mwanaume......achana na wivu wa kichekechea...ovyo.Si bora huyo anakwambia msalimie...kuna wengine wana'mnunulia chupi'' huyo mwenza wako.
NB:Ukimfuatilia mwanamke na vitu vidogo vidogo utaishia kuchanganyikiwa......
Just because you enjoy something does not mean your wife loves it.
Mwambie mkeo hiyo tabia ya kuitana shemeji na salaam anazokutuma huyo anayemuita shemeji huzipendi, na huyo mwanaume mwambie ukweli hiyo tabia huipendi, kwanini uumie, sema naye ili aelewe, huenda anakutania tu hana maana yoyote mbaya! ila pia huenda kuna kitu kinafichwa hapo, kwa hiyo bora useme ukweli wako
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Dah... hapa inabidi kutulia... mmmh nitarudi... Pole by the way ila uwe na amani hajatembea nae ila anampango... kama nilivyosema nitarudi...
"Emancipate yourselves from Mental Slavery, NON but Ourselves can Free our Minds" - Bob Marley (Redemption Song)
Jamani jamani nisaidieni mawazo.... ni siku nyingi kuna jamaa tumezoeana nae ila sio sana maana hupishana tu na kusalimiana na story za kawaida sana. mara nyingi huyu jamaa huwa anapenda kusema hivi....."Msalimie mkeo bwana mwambie NAMPENDA SANA" jamani wanajamvi hebu nisaidieni katika hili kama ungekuwa wewe ungefanyaje?
Eyeeee...! Kama una kifua cha plastic uishie hapo, lakini kama una uhakika kuwa una kifua cha chuma useme nikupe products za Great Thinking....!
Follow Us Here