hii kitu ni noma, tunaumizwa moyo na hatuachi kupenda tena.
hii kitu ni noma, tunaumizwa moyo na hatuachi kupenda tena.
mara nyingi na nimeshaumiza mara nyingi
nshaumiza mara moja sijawahi kuumizwa.....
Nimeumizwa mara moja tena vibaya mno,almost five years sasa ila huwa nikikumbuka naumia tena. But i have moved on na maisha yangu.
mtu anayeumizwa mara ya mwanzo then ikatokea kuumizwa tena zaidi kwa mara nyengine, basi huyo kajitakia. Moyo wa mtu siwezi kuujuwa ukoje, hivyo siwezi kusema nimeumiza mara ngapi ila ni mara moja tu niliyoumizwa na sidhani kama inaweza kutokea kuumizwa kwa mara nyengine.
MarA tosha tu
Cha muhimu nimejifunza mengi
Kutokana na hilo...in a very funny way
Is a best thing ever happen to me ..
Dahhh halafu kichwa cha hii thread kirekebishe
Kidoncho..umeimizwa?
life goes on.....
Mambo ya utandawazi hayo na tukiyaendekeza yatazidi kutuumiza hadi siku ya mwisho.
If you love something, set it free. If it comes back, it was, and always will be yours. If it never returns, it was never yours to begin with
Kuumizwa moyo maana yake nini hasa?
....Shimo La Panya Halizibwi Kwa Mkate.....
Si kweli kuumizwa moyo ni mara moja........It happens Mara ya kwanza.........Ukisahau na Kukolea sehemu unaweza kuumizwa mara ya pili.......with time kuna uwezekano wa kusahau na kuumizwa tena na tena na tena....mpaka Mwisho wa siku zako.....................Thoug h kila maumivu yana mafundisho and haya kuachu same person.
Life is a Mess, Be watchfull, elewa life/love is mysterious...................W han it comes, no body ask why it is comming your way.......When love leave you,,....ndio most ask, think, regreat and panic........... Jjust let everything flow at 0 force.
Pole for all waliowahi kuumizwa.
"Character is what you are in the dark"
You will change your life, until you change your choices.
Nimeumizwa mara 1! Sijasahau mpaka leo huu mwaka wa 3. Nikikumbuka naanza kulia upya kama vile ndo tukio la jana yake. Nimejitahidi kusahau nimeshindwa!
Pole sana SL kwa yaliyokukuta lakini miaka mitatu ya kilio na kusaga meno kusema ukweli thats too much hasa ukizingatia kuwa mwenzio anakula nchi na huyo aliyesababisha uumie. Ya nini bana binadamu aliyezaliwa na mwanamke kama wewe akutese kiasi hicho.Jitahidi tu nafasi ikitokea jenga imani na mtu mwingine na kisha usonge mbele.
THE WEAK NEVER FORGIVES,THE STRONG ALWAYS DO.....Mahatma Ghandi.
Follow Us Here