Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

    Report Post
    Page 15 of 15 FirstFirst ... 5131415
    Results 281 to 299 of 299
    1. #1
      Superman's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 31st March 2007
      Location : On Move
      Posts : 5,421
      Rep Power : 1823
      Likes Received
      1415
      Likes Given
      1216

      Default Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Wakuu wa Jukwaa La Malavedave;

      Bila ya shaka wengi mmewahi kutuma au kupokea SMS za Mapenzi kuhusiana na subject mbalimbali katika mapenzi. Hata hivyo kuna zile ambazo zinafurahisha sana na pia kutia raha mara ukisoma. katika hizo chache nilizokutanaza nazo. Naomba, usome, tafakari, cheka, kisha na wewe tuambie ni SMS gani ulizokutana nazo ambazo ukizikumbuka zinakufurahisha?

      • Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.

      • Kila siku najiuliza moyoni hivi ni nini nilichokukosea jamani? Mitaani sikuoni, hata njozini pia huonekani hivi kweli upo hapa duniani? Naamini nitapata kusikia toka kwako siku za usoni,nimekumiss nakueleza toka moyoni, zaidi kumbuka haya siyo maisha wanayoishi marafiki duniani!

      • Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!

      • Nakupenda dear, amini moyoni umeniingia ndiyo maana mimba nikaamua kukubebea pasipo kunioa hakika mahaba yako yanifanya nijione malkia katika hii dunia! Nakupenda

      • Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
      Je, Ni SMS gani za kufurahisha za mapenzi umewahi kukutana nazo? share with us with a light touch.

      Peace and Love.

      Respect

      Superman


    2. #281
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,335
      Rep Power : 2643
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      845

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Asa the malaria plasmodium make u uncomfortable, so am i when i am far from u. Get well soon swiri!

    3. #282
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,335
      Rep Power : 2643
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      845

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      The sun is always hot no matter whether we c it or not. My feelings are hotter when u come into my mind. I miss u!

    4. #283
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,335
      Rep Power : 2643
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      845

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      The rain can only make me soggy, but ur love sink to my veins. I love u

    5. #284
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,335
      Rep Power : 2643
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      845

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      If light can travel faster than sound, then i am the fastest of all when u need me. Need i say more?
      Last edited by Raia Fulani; 25th April 2011 at 16:51.
      Smile likes this.

    6. #285
      Raia Fulani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2009
      Posts : 9,335
      Rep Power : 2643
      Likes Received
      1305
      Likes Given
      845

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      My love is patented, and u r the owner of that patent, and thus y ur wish is my command. Sleep tight honey!


    7. #286
      The Finest's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th July 2010
      Posts : 21,682
      Rep Power : 6128
      Likes Received
      5861
      Likes Given
      4948

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Nitakupenda tokea Jan hadi Dec lol.

    8. #287
      Superman's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 31st March 2007
      Location : On Move
      Posts : 5,421
      Rep Power : 1823
      Likes Received
      1415
      Likes Given
      1216

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Quote By King'asti View Post
      u should pay rent for spending so much time in my head,lol!
      I will Mkuu, mwanga mchele sasa . . . .
      Kwa kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wanyonge . . . . . . “Ni heri kutoa kuliko kupokea”

    9. #288
      King'asti's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Location : The Jungle
      Posts : 17,850
      Rep Power : 29102
      Likes Received
      12273
      Likes Given
      4931

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Quote By Superman View Post
      I will Mkuu, mwanga mchele sasa . . . .
      Hahaha, hiyo ni SMS nilitumiwagwa mwenzio. Nika pasta kizunguzungu nikaishia kulipa rent
      I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


    10. #289
      Superman's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 31st March 2007
      Location : On Move
      Posts : 5,421
      Rep Power : 1823
      Likes Received
      1415
      Likes Given
      1216

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Quote By King'asti View Post
      Hahaha, hiyo ni SMS nilitumiwagwa mwenzio. Nika pasta kizunguzungu nikaishia kulipa rent
      Mkuu hii kali. SMS ilikuwa inasemaje? Wengine hawatasoma Mkuu? lol
      Kwa kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wanyonge . . . . . . “Ni heri kutoa kuliko kupokea”

    11. #290
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,798
      Rep Power : 19852
      Likes Received
      4411
      Likes Given
      1744

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Rutta upendo wako unanifanya nimkubuke erick!
      Superman likes this.

    12. #291
      Superman's Avatar
      JF Tanzanite Member Array
      Join Date : 31st March 2007
      Location : On Move
      Posts : 5,421
      Rep Power : 1823
      Likes Received
      1415
      Likes Given
      1216

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Quote By ruttashobolwa View Post
      Rutta upendo wako unanifanya nimkubuke erick!
      Erick alikuwa ni nani?
      Kwa kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wanyonge . . . . . . “Ni heri kutoa kuliko kupokea”

    13. #292
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,798
      Rep Power : 19852
      Likes Received
      4411
      Likes Given
      1744

      Default

      Quote By Superman View Post
      Erick alikuwa ni nani?
      ex wake!

    14. #293
      Mpendawali's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th July 2012
      Posts : 62
      Rep Power : 359
      Likes Received
      7
      Likes Given
      1

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Eric alikuwa n noma bac

    15. #294
      Spinster's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 163
      Rep Power : 398
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mpendawali View Post
      Eric alikuwa n noma bac
      Jaman ericccccccccc

    16. #295
      Spinster's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th March 2012
      Posts : 163
      Rep Power : 398
      Likes Received
      19
      Likes Given
      0

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      ntakupenda daima kama barnaba,ucwe unfaithful kama rihanna,................had raha mwendo wa kukalili nyimbo tu

    17. #296
      The secretary's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2012
      Posts : 2,825
      Rep Power : 19140
      Likes Received
      1542
      Likes Given
      129

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      your my sugar in the tea,
      slow down slow down i'm on the wright direction

    18. #297
      Aqua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd July 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 365
      Rep Power : 421
      Likes Received
      135
      Likes Given
      49

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Click image for larger version. 

Name:	Samaki.jpg 
Views:	0 
Size:	6.6 KB 
ID:	60373Nimeekutumia samaki huyu kama ishara ya penzi langu kwako, ili penzi lisijekufa weka simu yako kwenye maji ili samaki aendelee kuwa hai.

    19. #298
      chen's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 383
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Aqua View Post
      Click image for larger version. 

Name:	Samaki.jpg 
Views:	0 
Size:	6.6 KB 
ID:	60373Nimeekutumia samaki huyu kama ishara ya penzi langu kwako, ili penzi lisijekufa weka simu yako kwenye maji ili samaki aendelee kuwa hai.
      Dah hii kali

    20. #299
      Chitemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2011
      Location : Mwanza
      Posts : 645
      Rep Power : 550
      Likes Received
      98
      Likes Given
      0

      Default Re: Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

      Rose nashukuru kwa kukataa kuwa mpenzi wako, hakika nakwambia laiti kama ungenikubalia ningejinyonga mbele ya nyumba yenu kwa jinsi nilivyopenda.

    Page 15 of 15 FirstFirst ... 5131415

    Similar Topics

    1. Ni rahisi mwanamke kukuacha ikiwa>.......
      By kitalolo in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 37
      Last Post: 9th July 2011, 07:26
    2. Simu Nazo!
      By eRRy in forum Jokes/Utani + Udaku/Gossips
      Replies: 0
      Last Post: 8th November 2009, 23:49
    3. Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??
      By FirstLady1 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 96
      Last Post: 19th October 2009, 09:18
    4. Mapenzi Mapenzi Mapenzi aah jamani aua sababu ya penzi zito kwa...
      By FirstLady1 in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 54
      Last Post: 16th October 2009, 17:55

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...