kuna mdada mmoja sikuwahi kumtongoza
nilifahamiana nae kikawaida.kiofisi zaidi....
sasa juzi nimekutana nae...nikamwambia karibu weekend
moja maeneo ya kwetu...
akanijibu subiri nilee kwanza....
kwa sababu ametoka kujifungua karibuni,
well alimaanisha nini?au alielewa vinginevyo?
halafu kuna msemo mwingine nimewahi sikia wanawake
wakiusema in way huwa najiuliza exactly wanamaanisha nini?
utasikia wakisema kuna wanaume hata ukiwabeba mgongoni hawaridhiki..
now hapa kubebwa mgongoni humaanisha nini hasa???????
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
Tunazunguuuka,ukweli ni kwamba huyu dada anajua huko anakoenda ni lazima ataombwa mzigo na kuhusu wanaume hata tubebwe mgongoni ni kwamba hata mwanamke ajitume kila sekta ya mapenzi,ajipendekeze vp,awe faithful vp,kibuti au kumcheat ni constant,kama kuna maana nyingine mi nakufa hapa sasa hivi!

kabisa

Follow Us Here