I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
Na Tu discuss hiyo Title hapo Juu Jaman,
About three of Rafiki zangu wametokea kuambiwa hiv na Wadada wanaowapigia Misele..
Mmoja wao ndo alienda Mbali kidogo na huyo Mdada,mdada alionesha dhahiri anamzimia Mshikaj wangu,walifikia hatua hadi ya Kufanya "Fore plays", but hiyo kauli hapo Juu ika mfanya mshikaj wangu a Freeze....
Hiyo kauli ina Maanisha nini Ki undani zaidi jaman
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
By Bramo
Na Tu discuss hiyo Title hapo Juu Jaman, About three of Rafiki zangu wametokea kuambiwa hiv na Wadada wanaowapigia Misele..
Mmoja wao ndo alienda Mbali kidogo na huyo Mdada,mdada alionesha dhahiri anamzimia Mshikaj wangu,walifikia hatua hadi ya Kufanya "Fore plays", but hiyo kauli hapo Juu ika mfanya mshikaj wangu a Freeze.... Hiyo kauli ina Maanisha nini Ki undani zaidi jaman
Sijaelewa labda st kayumba zinasumbua kabisa kama ni mpira ni 10 - NIL
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
dena mpenzi wanifurahisha wwe siku zooote wallah una ugomvi na aneleta english,,, hivi kwanini na hiyo kiyumba maana yake ni nini??? hhehehehheheeh,,,, bwana mwenzio ataka kushauriwa huyo apewe maana ya i lov u,, ilov u so much baby but we cant be lovers....hehehe...piganisha kichwa umwambie huyo,,,mi nasubiri wewe ukimwambia tuu na mie ntamwambia hehehe,,,
By Dena Amsi

By NILHAM RASHED

St. Kayumba ni shule zeetu zile za enzi za nyerere eng not reachable sio kwamba sijamuelewa hiyo title tatizo humo ndani sijaelewa kabisa hizo red hebu zisome vizuri wewe umeelewa hebu nifahamishe basi dear. Leo nina ombi kwako maana umeamka mapema hiyo rangi unaweza kuibadili inanipaga taabu kweli kusoma dear kama unaweza kuibadili ningefurahi kweli asante in advance.
A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
basi sawa rangi ntabadili my dear,,, aahhaa sasa nimekuelewa huyu jamaa kachanganya kwenye mistari lakini alivyomaanisha yeye kiufupi hata mie kanibabaisha sijajuwa ntamjibu nini mpaka sasa,,,
By Dena Amsi
St. Kayumba ni shule zeetu zile za enzi za nyerere eng not reachable sio kwamba sijamuelewa hiyo title tatizo humo ndani sijaelewa kabisa hizo red hebu zisome vizuri wewe umeelewa hebu nifahamishe basi dear. Leo nina ombi kwako maana umeamka mapema hiyo rangi unaweza kuibadili inanipaga taabu kweli kusoma dear kama unaweza kuibadili ningefurahi kweli asante in advance.
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
Maana yake ni
1. Ana kikwazo kinachomfanya asiwe na mahusiano nawe. Yaweza kuwa ameathirika, anaogopa akikuambia utamtangaza.
2. Anataka serious relationship, nawe huelekei!
3. Ana habari zako(kuwa umeathirika), n she want to be polite
4. Hujameet, sifa anazozita!
And many more. The best thing is to respect her wishes.

By Kaunga

kama vile no 4 nimeipenda zaidi!!
Don't strew me with roses after I'm dead. When Death claims the light of my brow,
No flowers of life will cheer me: instead, You may give me my roses now!
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
By NILHAM RASHED
basi sawa rangi ntabadili my dear,,, aahhaa sasa nimekuelewa huyu jamaa kachanganya kwenye mistari lakini alivyomaanisha yeye kiufupi hata mie kanibabaisha sijajuwa ntamjibu nini mpaka sasa,,,
Lakin ulisema umeelewa na utanijibu Dada,vp tena Mwana kwetu
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
Dena pata kahawa kwanza then ndio urudi!!!
Don't strew me with roses after I'm dead. When Death claims the light of my brow,
No flowers of life will cheer me: instead, You may give me my roses now!
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
By Kaunga
Maana yake ni
1. Ana kikwazo kinachomfanya asiwe na mahusiano nawe. Yaweza kuwa ameathirika, anaogopa akikuambia utamtangaza.
2. Anataka serious relationship, nawe huelekei!
3. Ana habari zako(kuwa umeathirika), n she want to be polite
4. Hujameet, sifa anazozita!
And many more. The best thing is to respect her wishes.
Uko sahihi mkuu, salute kwako! ongeza hii
5. Wazazi/jamii yake hawakukubali
"Honesty is very expensive gift. Do not expect it from cheap people".
-Warren Buffet
Re: I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers
By Dena Amsi
Wewe lile somo langu naona halijapanda
una haraka Da Dena!! mbona umerudi kabla watafsiri hawajaja na kutafsiri?? subiri kidogo tena, naona wako njiani

Follow Us Here