Wakuu naomba msaada.
Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.
Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:
Wakuu naomba msaada.
Imetokea nimempenda rafiki wa dada angu, lakini kila nikijaribu kulianziasha naona ngoma haiendi.
Naomba nipeni mistari ya kuanzia.:
Last edited by smati; 20th February 2011 at 05:38.
Mtumie sista wako atakusaidia sana.
Wewe humpendi ndo mana,unajua ungekua wa mana kama ungeleta hapa angalau ulipofikia,sasa wewe hali ya kua kaka na dada hata hujaivunja wataka ushauriwe,unafikiri utashauriwa kipi?mana hata juhudi za kumpata hujazionyesha.bt let us see wadau wanasemaje.
Mwambie hivi....
Arooo dada, moyo wangu umekudondokea.
Naomba tuchanganye mate na tubambanishe makojoleo.
Jamani tatizo si kutongoza tuu, kuna urafiki kati ya dadaangu na yeye. Nikisha mpata linaweza kuwa bifu kati yangu na my sister kwani ni rafiki yake kipenzi, ni kama nimemnyanganya, kwa kutumia nafasi ya kumwona mwona nyumbani.
Sasa wewe kwa nini unataka kumtongoza??
Ni nini malengo yako??
Au ni tamaa tu??
Kama nitamaa zinakutuma ufanye hivo, Ushindwe na ulegee!!! Sio kila unachokiona unakitaka, kwa hiyo dada zako wasije na rafiki zako kwa sababu ya mitamaa yako?? Wewe kaka mubayaaaAaaaaaaAaaaaaaAaaaa!!! !!
.
Ninapo sema kutongoza sina maana ya tamaa mbaya. Binti mwenyewe ananizimia, na lengo si kura uroda halafu ni mwache lengo ni kutaka uhusiano wa kweli. lakini hata kama binti anaonyesha njia, siwezi baki domo zege, atanikimbia.
Ofcourse tumefikia hatua nzuri, nilicho kipenda ni msiri sana , hata dadangu hajui.
kwa hiyo sio tamaa, na sio rafiki wote wa dada angu nawamind , no huyo tu ndoo maembe yamemdondokea bila kutikiswa.
"https://www.jamiiforums.com/clear.gif" alt="Reply With Quote" />style="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="template/JamiV1/default/buttons/viewpost-right.png" alt="View Post" />
Hahahahahahaha we mtundu kweli LOL! Kwa lugha kama hii hampati ng'o huyo mdada.... anaweza pia akakata mguu wa kwenda kwa rafiki yake
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
Re: Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.
Mitego ya kawaida tuu, kujui my position, etc.Ila dada mwenyewe ni very smati, I love her. Na mimi pia si unanioa nilivyo smati (lol). Mwanamke akikupenda usidharau!!!!.
Unajua mimi ni mjasilia mali, juzi nikamwambia nataka tuanzishe kampuni, na viongozi ni mimi na yeye, alicheka hadi ati majirani wakahtuka huyu anacheka nini??,naona Aligundua kuwa naingiza maada kijasilia mali.
Re: Naomba msaada jinsi ya kumtongoza rafiki wa dada angu.
ukimpata utupe taarifa na njia uliyotumia utuambie!
Similar Topics
Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne
By Wizzo in forum Tech, Gadgets & Science ForumReplies: 50Last Post: 7th November 2011, 17:14Mchumba wa rafiki wa dada yangu ambaye pia ni rafiki wa mume wa dada yangu anamtaka dada!!
By mama D in forum Mahusiano, mapenzi, urafikiReplies: 22Last Post: 30th June 2011, 15:02Naomba msaada jinsi ya ku-install software kwenye Ubuntu.
By Jaluo_Nyeupe in forum Tech, Gadgets & Science ForumReplies: 29Last Post: 9th February 2011, 07:26mtoto wa dada angu kicheche, anafeli na muuni. shule gani itamfaa?
By Somoe in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)Replies: 6Last Post: 1st December 2010, 21:31User Tag List
Who are WE?
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.
You are always welcome! Read more...Where are we?
We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.
For anything related to this site please Contact us.
Contact us now...DISCLAIMER
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..
Read more...Forum Rules
JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.
You MUST read them and comply accordingly. Read more...Privacy Policy
We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.
Read our Privacy Policy. Proceed here...
Follow Us Here