JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

  Report Post
  Page 1 of 12 123 11 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 230
  1. Nazjaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2011
   Posts : 4,374
   Rep Power : 1540811
   Likes Received
   1701
   Likes Given
   649

   Default Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia

   Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
   Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao. Hawataki kabisa tuoane na vijana wao.
   Je kwanini wazazi wa vijana watokao bara wanatuogopa?

  2. Rose1980's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2010
   Posts : 5,709
   Rep Power : 2160
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1427

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   mmh!
   urongo.
   si kweli.
   "NAJUA kwamba mimi ni mwerevu na mwenye akili,kwa sababu nafahamu kwamba HAKUNA NINACHOFAHAMU" socrates

  3. Kituko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2009
   Posts : 4,978
   Rep Power : 40009826
   Likes Received
   1467
   Likes Given
   689

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   inategemea ni Tanga hipi, wanawake wenye sifa za kitanga sio wote japo wote ni WaTAnga
   Tanga kubwa bi Nazjaz, maana kuna Wadigo, Wasambaa, Wabondei, Wasegeju na wengine wengi

   Hebu tujuze unazungumzia TAnga ipi?

  4. Makindi N's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th March 2008
   Location : Morogoro
   Posts : 1,070
   Rep Power : 920
   Likes Received
   145
   Likes Given
   186

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Labda kama alivyosema Mwana FA - Tanga ndio mapenzi yalipoanzia... Sasa kwa maana hiyo sie wabara twaweza hamishia mapenzi yote huko Tanga na kuacha wale wakurya wenzangu.............
   Leo Tolstoy once said "Everybody thinks of changing the world, no one thinks of changing himself"

  5. Dena Amsi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2010
   Location : Saayo
   Posts : 12,890
   Rep Power : 232384653
   Likes Received
   3907
   Likes Given
   1664

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Mimi ukianza tu kuzungumzia kabila napata uchungu sana. Haya kila la heri
   A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!! "Dont Loose your temper nobody need it"

  6. PakaJimmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th April 2009
   Posts : 16,256
   Rep Power : 16106769
   Likes Received
   8178
   Likes Given
   3665

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Hawakuogopeni.
   Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
   Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu Limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
   Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
   Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!
   "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
   What a man is, survives him... it can never be buried"
   (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
   [email protected]

  7. Sumbalawinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2009
   Posts : 1,286
   Rep Power : 884
   Likes Received
   182
   Likes Given
   22

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

  8. Nazjaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2011
   Posts : 4,374
   Rep Power : 1540811
   Likes Received
   1701
   Likes Given
   649

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Mwatupiga fitna tu.
   Sisi si washirikina, ila mapenzi twayajua, mapishi , usafi na handling nzima ya mwanamume.
   Twajua mwanaume ana hitaji nini na kwa wakati gani. Thtas all.
   Quote By pakajimmy View Post
   hawakuogopeni.
   Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
   Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
   Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
   Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!

  9. Nazjaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2011
   Posts : 4,374
   Rep Power : 1540811
   Likes Received
   1701
   Likes Given
   649

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Hayo mambo ya ukabili wayaleta wewe, mie nimesema tanga
   Quote By kituko View Post
   inategemea ni tanga hipi, wanawake wenye sifa za kitanga sio wote japo wote ni watanga
   tanga kubwa bi nazjaz, maana kuna wadigo, wasambaa, wabondei, wasegeju na wengine wengi

   hebu tujuze unazungumzia tanga ipi?

  10. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 16,103
   Rep Power : 85937919
   Likes Received
   4348
   Likes Given
   7806

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Hiyo kitu mbona siku hizi hakuna kabisa
   Hao wazazi watakuwa wanaishi kipindi kile cha kina nyungu ya mawe
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  11. Msandawe Halisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th November 2010
   Posts : 643
   Rep Power : 186052
   Likes Received
   297
   Likes Given
   117

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Quote By Sumbalawinyo View Post
   Mambo yenyewe ndiyo kama haya, kweli nimeamini Wangoni wengi wameloea Tanga toka kipindi kile cha Viwanda vingi Tanga. Wengi wao waliopo Tanga, wana miaka 20 mpaka 40 awajakanyaga Songea kusalimia ndugu zao. Tanga rahaaa

   Wabebwa mgongoni, mweshimiwa awekwa kwa kisosi, walishwa kama mtoto wa miaka miwaili.

  12. Michelle's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th November 2010
   Location : Empire State of Mind
   Posts : 7,271
   Rep Power : 413328988
   Likes Received
   2427
   Likes Given
   3214

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   mbona mimi mtu wa Tanga lakini bado sijayaona......naona napokelewa vizuri tu niendako.......ngoja nikamuulize kaka Shossi.....

   Uchawi hatuna,tunajua kupenda na kumlisha bwana kitu roho inapenda na kuridhia......na shule tunaenda kujifunza hayo........
   I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future.

  13. carefree's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 19th December 2010
   Posts : 224
   Rep Power : 602
   Likes Received
   13
   Likes Given
   3

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Duh mabinti wa kitanga mbali ya ujuzi utamaduni wanauweka mbele kuna best yangu alioa huko akaacha kwani kila akirudi home binti yuko biz na sekta ya malavidavi hawazungumzii future life yao kila kukicha anapigania waongeze watoto .
   Kamwaga sasa ameoa binti wa kichaga

  14. Vitendo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd October 2009
   Posts : 599
   Rep Power : 746
   Likes Received
   58
   Likes Given
   61

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Tanga raha.

  15. Humphnicky's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2010
   Posts : 1,301
   Rep Power : 823
   Likes Received
   320
   Likes Given
   38

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Kudadaddadadaddaadadeki.
   Limwanamke langu la kitanga linalala kama gogo, halijui kupika, lina majungu, ugomvi na majirani kila siku, nyumba chafu, hata kujitunza lenyewe haliwezi. Kazi yake kubwa kujimimiminia mi ina mwili mzima kama jini

  16. Likasu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th January 2011
   Location : Africa
   Posts : 607
   Rep Power : 675
   Likes Received
   100
   Likes Given
   10

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Quote By Dena Amsi View Post
   Mimi ukianza tu kuzungumzia kabila napata uchungu sana. Haya kila la heri
   umenena

  17. Sumbalawinyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2009
   Posts : 1,286
   Rep Power : 884
   Likes Received
   182
   Likes Given
   22

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Wanawake wa tanga wanadhani mapenzi ndio kila kitu, ni wavivu wa kufikiria, wavivu wa shughuli za kilimo pia sio wabunifu wa miradi ya kimaendeleo.
   Wanamind zaidi kubinjuana kuliko kufanya kazi.
   Quote By carefree View Post
   duh mabinti wa kitanga mbali ya ujuzi utamaduni wanauweka mbele kuna best yangu alioa huko akaacha kwani kila akirudi home binti yuko biz na sekta ya malavidavi hawazungumzii future life yao kila kukicha anapigania waongeze watoto .
   Kamwaga sasa ameoa binti wa kichaga

  18. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,016
   Rep Power : 85903772
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Quote By Sumbalawinyo View Post
   Wanawake wa tanga wanadhani mapenzi ndio kila kitu, ni wavivu wa kufikiria, wavivu wa shughuli za kilimo pia sio wabunifu wa miradi ya kimaendeleo.
   Wanamind zaidi kubinjuana kuliko kufanya kazi.
   Kubinjuana ndio kila kitu mwana, acha kabisa hiyo wewe..we wa wapi?
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  19. Msindima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Location : KIVULULU
   Posts : 1,021
   Rep Power : 856
   Likes Received
   20
   Likes Given
   42

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Quote By PakaJimmy View Post
   Hawakuogopeni.
   Ila wana mashaka kuwa hamtaweza kulima shamba!
   Lakini pia mna tabia ya kumwekea mtu Limbwata ili akikuoa asahau kwao, na awakane ndugu zake naukoo wake!
   Hii ni kweli, kuna jamaa nilihusika kwenda kwenye msafara wa kumkomboa baada ya kulowea huko miaka 17 bila kurudi nyumbani!
   Yaliyotupata huko ni siri yangu!..../huh!
   Bro hivi una amini kuna limbwata?

  20. Msindima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Location : KIVULULU
   Posts : 1,021
   Rep Power : 856
   Likes Received
   20
   Likes Given
   42

   Default Re: Wanawake wa TANGA twapendwa na Wabara, ila wazazi wao wanatuharibia.

   Quote By Sumbalawinyo View Post
   Wanawake wa tanga wanadhani mapenzi ndio kila kitu, ni wavivu wa kufikiria, wavivu wa shughuli za kilimo pia sio wabunifu wa miradi ya kimaendeleo.
   Wanamind zaidi kubinjuana kuliko kufanya kazi.

   Uuuwi jamani mnatudhalilisha, na sio wote ambao wako hivyo.

  Page 1 of 12 123 11 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Wanawake wa Tanga wako Juu - Truth be told
   By ndyoko in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 285
   Last Post: 6th June 2015, 12:47
  2. Wanawake wa kigoma eneo dogo la ujiji tanga haioni ndani......
   By The only in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 11
   Last Post: 15th December 2011, 19:39
  3. Kwa wanawake woote ambao ni wazazi(hongereni sana)
   By papag in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 6
   Last Post: 20th February 2011, 02:13
  4. Wanawake wa ki-Tanga
   By 22nd in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
   Replies: 66
   Last Post: 10th January 2011, 23:03
  5. Uchaguzi wa CCM wazazi Tanga vimbwanga
   By Ibrah in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 5
   Last Post: 25th November 2008, 07:49

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...