Husninyo
JF Premium Member
Join DateSun Oct 2010LocationDsmPosts1,618Thank s6Thanked 209 Times in 174 Posts Rep Power24
Did you find this post helpful? 
|
Ukitongozwa ujue umependwa au umedharauliwa
Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi!
Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu.
Sasa wadada jamani, tukitongozwa tusivimbe kichwa na kujiona ni wazuri sana. Ukitongozwa ujue umedharauliwa au umependwa. Ila kudharauliwa ndio mara nyingi. Mdada anayejiheshimu sio rahisi kutongozwa mara kwa mara maana hata wanaume hujifikiria mara mbili mbili.
Fikiria unatongozwa na libabu hilo au katoto kadogo hivi hapo si umedharauliwa?[ Au umetamaniwa]
Wanaume wanapenda kujaribu jaribu waone watapata au lah (uongo wanaume?). Tuwe wagumu kwa hilo.
Nawasilisha.
Follow Us Here