Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
208.6K
Threads
7.5K
Posts
208.6K
  • Sticky
Salaam sana Wakuu Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi...
96 Reactions
1K Replies
830K Views
  • Sticky
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki. Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
147 Reactions
1K Replies
273K Views
Wakuu, haya maisha yanafunzo. Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake! Mtoto aliniachia mawasiliano...
26 Reactions
153 Replies
3K Views
Kama ilivyo majumbani..maofisini au hata mtaani lazima kila mtu kuna watu anaowapenda (admire) zaidi ya wengine na wengine huwapendi (disapprove of ..get disgusted with...dislike) kwa mambo...
22 Reactions
548 Replies
26K Views
Nilikuwa na mwanamke ambaye nilikuwa nampenda mnoo, naye akasema ananipenda sana, Tukiwa chuo mimi nilikuwa nina kipindi 6 hadi 10 na yeye alikuwa anaingia saa 10 hadi saa 2 nikawa namsubiri atoke...
64 Reactions
152 Replies
7K Views
Habari wanajf, Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo. Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo...
5 Reactions
30 Replies
805 Views
Chakula ni sehemu muhimu sana maishani...kwanza tunakula ili kushiba baadhi hawajali mapishi ilimradi tumbo lijae na wengine kila siku wanaongeza ubunifu kunogesha vyakula vyao mpaka wote...
16 Reactions
215 Replies
25K Views
Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
11 Reactions
70 Replies
2K Views
Mitaa ya Moshi mama mmoja kastukia mchezo wa mumewe baada ya kuwa anaaga anaenda msikitini kumbe anaenda kwa mchepuko. Jamani kwa nini hatumuogopi Mungu? Video CC: @zuli_comedy Instagram
2 Reactions
6 Replies
262 Views
Wataalam wa mambo... twende kazi.... Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu. Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka...
42 Reactions
123 Replies
3K Views
"Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya" Hapo kwenye uwanja wa comment tujitahidi ziwe fupi fupi, pole pole tusikanyagane. #Repost #EARadio
17 Reactions
110 Replies
4K Views
Anaandika Robert Heriel Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu. Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke...
31 Reactions
94 Replies
5K Views
Mm ni kijana 28 nina hamu sana na sex hata nikisex na mwanamke siku nzima kesho najikuta natamani tena kusex , mwanamke niliyekua naishi naye ameshindwa imebidi aondoke, hii hali naona kabisa...
11 Reactions
106 Replies
2K Views
Hope mko poa kabisa wakubwa. Nina kisa changu kinachohusu mapenzi, na kuyasotea. Kati ya waliowahi kusotea pis basi namm nipo,, ila nilitoka kapa tena kapa ya gamba. Kipindi tupo sec kuna demu...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Nlikutana na huyu dada muda mrefu kidogo. Nikampenda. Dada ni mzuri sana na anapendeza yaani ukitembea naye unajisikia hasa. Mimi siyo tajiri kama members wengi humu walivyo kipato changu ni cha...
33 Reactions
70 Replies
3K Views
Hili kundi linaandamwa sana aisee. Haya yana ukweli au ni wivu tu?
3 Reactions
24 Replies
879 Views
True story, Tangu nimezaliwa mpaka Sasa nishakuwa kwenye mahusiano serious ×3 ukiachana na zile chapa ilale ambazo nimepita mpaka sikumbuki idadi ya nliopitanao, Na kwa Sasa Niko single Wala...
8 Reactions
155 Replies
2K Views
Mtu unaamua umuonee tu huruma ilimradi na yeye asitirike, cha ajabu unakutana na lugha chafu kutoka kinywani mwake. Ni mzuri baasii, basi tu. Shepu hakuna, sauti kama ya mwanamke aliyetokea kijiji...
1 Reactions
7 Replies
189 Views
Hellow wakuu. Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
28 Reactions
508 Replies
38K Views
Wakuu, sorry if I will sound weird, ila hakuna jinsi bora kusema labda naweza pata tiba. Nifanyeje ili niweze kuondoa aibu? Mwanzo jilijua ni utoto itapotea with ages ila mpaka umri huu hali iko...
28 Reactions
196 Replies
5K Views
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo...
14 Reactions
91 Replies
2K Views
Back
Top Bottom