Kwa maana kila binti anayetoka chuo nikimuaproach ana wake,nami nimeamua kutafuta binti mwenye digrii ndio naoa

Usimpe moyo The Boss maana yeye kitandani ataona poa tu kama vile yupo na yule wa english course, tatizo anaogopa life after kitandani hususani katika mazungumzo, wakati wewe unazungumza nilipokuwa University of michigan nachukua degree ya tatu ulikuwa unajipenda, yeye atajiona anapwaya itabidi nae azungumze alipokuwa Changanyikeni jirani na UDSM alikuwa anaongea sana na wanafunzi (ili angalau na yeye aonyeshe amekaajirani na watu wa taasisi muhimu)
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
utaoa wa degree kwa kuiga ama kwa malengo yako? tatizo sio degree bali anajiheshimu,anajali,anajitamb ua na kuthamini ?

Follow Us Here