Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane na awe na mapenzi ya dhati asiwe muongo awe mkweli.

Niko tayari.
Haya kazi ni kwako!
mbombo!
"the problem is not me! the problem is you understading me!"
Kama hiyo Avatar yako inawakilisha sura yako, mimi niko tayari kabisaaa kuwa mchumba wako.. Ni PM..
We must either find a way or make one. - Hannibal
Niko hapa
Blessed are hearts that bend but shall never broken
Okay tumesikia
Unatafuta mchumba wa kike?
Njoo mtaani kwetu, utapata. jirani yangu kuna mchumba mkubwa tu tena self, ila sijui kama ni wa kike. Huitaji na sebule au ni chumba tu?
Karibu
What One Man Doesn't Another Man Will.
Jamani hiyo avatar hahahha kweli hata kama mwanaume sio sura LO!kudepost wapi mkiombwa hata laki tu na wapenzi wenu mnakuja kulialia humu
Follow Us Here