Wapendwa Dadas' & Bintis' wa Songea,
Mwenzenu nimehamia kikazi hapa songea yapata miezi mi-tatu hivi lakini dah kuna baridi sio mchezo...so naomba kama kuna mwanamke yupo single au bored na msela wake basi tuwasiliane nami ili tupeane kampani na hii baridi wajameni....nakaribisha PM za kutosha tu.
NB: Usikusipati usingizi jamani...lol.....so plse come and feel @ home!
UPDATES
Mimi nipo single til now lakini kuhusu suala la kuoa si unajua huwa linakuja automatically endapo mtu unaona kifaa kinalipa na manendana vema...so ishu sio ubinafsi ila ni kukubaliana na kuwa na malengo so kama nikiona mtu anajituma kwa 100% kwanini nisichukue jumla...? so uwanja upo wazi..mkuu!

Reply With Quote
Follow Us Here