Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.
Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie kwenye uchumba n.k je niko sahihi au la

Kweli lakini unatakiwa uhit the point kuwa nini wahitaji
GOD LOVES YOU ALL
Kila kitu kinawezekana... Haya mambo hayana formula ndugu.!
We must either find a way or make one. - Hannibal
Unaanza urafiki...mengine ni matokeo yenu nyie wawili.
Blessed are hearts that bend but shall never broken
mnaweza kuanza hata kwa uadui na mkawa marafiki, wachumba na hatimae mkaoana, kama alivyosema mkuu hapo juu hii mambo hapana kuwa na formula kabisa
Happiness is not a reward it is a consequence
Mh! Kwa hiyo wanakosea kuandika kuwa wanatafuta wachumba/mke/mume
hapana hawakosei,mtu anatakiwa ajue intentions zako from the very beggining....
Follow Us Here