Uko wapi wa kunitoa upweke jamani..? Nimekuwa nikisoma thread humu za kutafuta wenza nami nimeona nijiunge ili niweze kutafuta mwenza. Please nipo serious. Mi ni mwanamke mwenye miaka 30,muislam,nina mtoto na ni muajiriwa.

good luck,ila vijana wa humu,be careful
Miye mkristo, uko tayari? Tutaanza na kumbatiza mtoto wako halafu wewe. Nina miaka 34
Unataka nini xaxa
funguka zaidi uko general mno
"Mchakato wa vazi la taifa kwenye nchi ya wavaaa mitumba"
Kama uko tayari kuwa mke wa nne? ni pm.
System At Work
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
Kila la kheri, ila usiwe na papara, vinginevyo utajuta na kuilaumu nafsi iliyokutuma kutangaza humu
Haki ya mtu haipotei, inacheleweshwa tu!
toa mawasiliano yako tafadhali!
kila la heri ongea upate msaada wifi wa hapahapa
Follow Us Here