Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
Mm ni mscana wa miaka 25.graduate,mrefu,shape ya kiafrika,nabia nzuri.natafuta mchumba kuanzia miako 29 -40.awe mchristo,mrefu,.mwenye mapenzi ya kweli.mengine tutaongea
umeishampata ni-pm sifa zite ninanzo
Ukikuta kuna njia inapitika jua kuna aliyeianzisha
All the best.
Natumai utapata wa kukufaa.
Umenipata ni PM tuanze mazungumzo'
Umepima ?
Haya nijibu PM yangu dada.
Upo tayari kuwa mtumishi wa kumsaidia bii mkubwa kazi za nyumbani baada ya mihangaiko ya kila siku ya uzalishaji mali? kuna miradi mingi sana ambayo bii mkubwa anendesha ambayo inahitaji busness manager ambaye ni graduate kama wewe kuisimamia. Attributes za manager ni utii na unyenyekevu mkubwa kwa bii mkubwa, kunipatia mimi huduma zote anazostaili mume kwa weledi wa hali ya juu kabisa bila chembe ndogo ya maringo na kwamba kwa namna yoyote ile hutafisidi miradi ya familia . kama upo tayari tuwasiliane [email protected]
Hadi raha. kila anaye kuja anatutaka sisi warefu. duh!. Mimi nina kila sifa unayo itaka but sina mpango wa kuoa leo wala kesho. Mi nmepenga kuoa 2015 mara chadema itakapo chukua dola. vipi utaweza kunivumilia. Mimi namjua Mungu na spendi uasherati wala uzinzi. Je wewe umetulia kweli?, maanake mi nikipenda nimependa. kama vipi nipm ili tuyaongee vizuri. manake naweza kushangaa mwishowe nikakosa mke mwenye sifa kama zako. [email protected]
Mia
Style ya kuandika tu ni noma je umbo sasa au behavior.
hellow have you get what you need?
Natafuta marafiki wa kuchat nao (am looking for friends to chat)
haya njooni tusemezane asema bravo ijapokua una hasira utacheeka
Mbona nakupigia hupokei.
Sioi Leo, Sioi Kesho, wala mtondogoo,
Sioi Mchana, Sioi Usiku, Wala Majogoo,
Alielala na Bibi Harusi,
Siku moja kabla ya Harusi,
Na wala sio Bwana Harusi,
bado mnanishauri Harusi??
Hamuwezi kua hamjaelewa!!
Follow Us Here