Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa unajitokeza nikiwa nakula bata.
Sasa nimeonelea leo niipost hapa jamvini, tushirikiane kwenye hili. Ngoja nifupishe maelezo, nisikuchoshe na ww usinichoshe.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26, kielimu nina Master level, niko serikali nakula hela moja ndefu tu kila mwezi. maendeleo nafanya, kuna mjengo wangu nauendeleza kidogo kidogo, msije fikiri nala bata bila maendeleo.
Kwasasa natafuta mdada/mshangazi wa kuwa nakula nae bata, vigezo:
Asiwe kicheche.
Awe anakunywa pombe, ila sio mlevi.
Asiwe anavuta sigara.
Awe na sura nzuri
Wenye umri mkubwa watapewa vipaumbele zaidi
Awe na muda wa kula gudtym, asiwe mtu wa kufanya kazi weekend
Wanene watapewa vipaumbele zaidi
Nawakilisha, niPM wewe mdada tule bata!
Last edited by TajiriMutoto; 20th June 2012 at 17:23.
Mimi kiswahili hapa kimenishinda, maana toka nione na kusikia ule wimbo albata, basi nilikuwa nafikiria kuwa kwa kiswahili cha mitaani watu wanaposema BATA wanamaanisha mwanamke hususan mwanamke mwenye makalio makubwa. lakini sasa naona watu wanatumia neno hili vinginevyo na nashindwa kuelewa hususan pale mwanamke anapotumia neno hili ilhali unajua kuwa hakusudii bata mnyama.
Nielimisheni wenzangu, kwa lugha za kisasa vijana wanaposema bata au albata wanakusudia nini hasa?
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa unajitokeza nikiwa nakula bata.
Sasa nimeonelea leo niipost hapa jamvini, tushirikiane kwenye hili. Ngoja nifupishe maelezo, nisikuchoshe na ww usinichoshe.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26, kielimu nina Master level, niko serikali nakula hela moja ndefu tu kila mwezi. maendeleo nafanya, kuna mjengo wangu nauendeleza kidogo kidogo, msije fikiri nala bata bila maendeleo.
Kwasasa natafuta mdada/mshangazi wa kuwa nakula nae bata, vigezo:
Asiwe kicheche.
Awe anakunywa pombe, ila sio mlevi.
Asiwe anavuta sigara.
Awe na sura nzuri
Wenye umri mkubwa watapewa vipaumbele zaidi
Awe na muda wa kula gudtym, asiwe mtu wa kufanya kazi weekend
nenda jolly club,maisha club,new afrika casino.las vegas alafu utajifunza ni mwanamke gani wakuoa
We nawe nivea kwani nimesema natafuta mwanamke wa kuoa? Nimesema naafuta wa kula nae bata & nothing serious. Afu kigezo cha kwanza asiwe kicheche, hao wa jolly kwangu sumu
Follow Us Here