Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

    Report Post
    Results 1 to 4 of 4
    1. #1
      TajiriMutoto's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Location : Kaunta ya juu
      Posts : 85
      Rep Power : 366
      Likes Received
      35
      Likes Given
      48

      Default Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

      Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah,
      wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa unajitokeza nikiwa nakula bata.

      Sasa nimeonelea leo niipost hapa jamvini, tushirikiane kwenye hili. Ngoja nifupishe maelezo, nisikuchoshe na ww usinichoshe.

      Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 26, kielimu nina Master level, niko serikali nakula hela moja ndefu tu kila mwezi. maendeleo nafanya, kuna mjengo wangu nauendeleza kidogo kidogo, msije fikiri nala bata bila maendeleo.

      Kwasasa natafuta mdada/mshangazi wa kuwa nakula nae bata, vigezo:
      • Asiwe kicheche.
      • Awe anakunywa pombe, ila sio mlevi.
      • Asiwe anavuta sigara.
      • Awe na sura nzuri
      • Wenye umri mkubwa watapewa vipaumbele zaidi
      • Awe na muda wa kula gudtym, asiwe mtu wa kufanya kazi weekend
      • Wanene watapewa vipaumbele zaidi
      • Asiwe wa mizinga


      Nawakilisha, niPM wewe mdada tule bata!
      Smile likes this.
      Liwalo na liwe

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Smile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th July 2011
      Location : paradise
      Posts : 11,213
      Rep Power : 23384
      Likes Received
      8171
      Likes Given
      5853

      Default Re: Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

      mimi mtu wa mizinga sana toa hicho kikwazo na mimi nile bata aisee tajiri
      TajiriMutoto likes this.
      It’s good to test a guy first before you believe him. But don’t let him wait that long

    4. #3
      TajiriMutoto's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th June 2012
      Location : Kaunta ya juu
      Posts : 85
      Rep Power : 366
      Likes Received
      35
      Likes Given
      48

      Default Re: Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

      Quote By Smile
      mimi mtu wa mizinga sana toa hicho kikwazo na mimi nile bata aisee tajiri
      Smile I love you gafla, ngoja nikuPM
      Liwalo na liwe

    5. #4
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default Re: Natafuta mdada/mshangazi wakula nae bata daily :: Nothing Serious

      Watakutafuta tu

    6. Miaka 50

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...