Mimi ni binti wa miaka 25,mkristo wa katoliki,elim yangu ni chuo na nimeajiriwa.Natafuta mwanaume wa kufunga nae ndoa,awe mkatoliki na ameajiriwa.Awe na umri wa kuanzia miaka 35-45 na awe na upendo wa dhati.plz nahitaji walio na shida na nia kama yangu,km haikuhusu,tafadhal naomba upite tu.Kwa alie serious naomba anitafute kwa [email protected] or aniPM.

Reply With Quote




Follow Us Here