Mimi ni mdada mwenye miaka 32. Kiumbo mnene asili yetu wanyaks,mrefu kiasi, mjasiriamali, elimu diploma na dini yangu ni mkristo. Napenda kutembelea wasiojiweza. Nahitaji mume mwenye kwanzia miaka 34-43, mwenye hofu ya Mungu,kabila lolote, kajiajiri au kaajiriwa. Awe muwazi na anayejua majukumu yake kama mwanaume. Awe mtu wa muaminifu coz nilishatendwa ndo maana nimekaa muda mrefu bila yakuwa ktk uhusiano. Naamini Mungu atanipatia sawasawa na mawazo yangu...karibuni.

Reply With Quote
Follow Us Here