Jamani wana Jf,natafuta mume wa kunioa,p'se mwombaji awe na sifa hizi:
1. Awe na Mashine kubwa (sina utani na hili jamani)
2. Awe angalau ana kazi au biashara yoyote ile
3. Umri miaka 28-35. Mimi nina miaka 27.
4. Awe mvumilivu,mpole,mwenye huruma na mpiganaji maana atapigana sana na watu.
5. Mwisho anipende sana na awe tayari kupima UKIMWI.

Reply With Quote

A compliment is something like a kiss through a veil
Follow Us Here