seriously, natamani kuwa na mtu anipendae nami nimpende tusogeze maisha. Am 32 By age nina one kid. any who is above my age ur invited mie ni mkristo mwenye mtoto utapewa kipaumbele. Kwa wale wanaopenda kukatisha tamaa na kupondea. Jipitie tu.
seriously, natamani kuwa na mtu anipendae nami nimpende tusogeze maisha. Am 32 By age nina one kid. any who is above my age ur invited mie ni mkristo mwenye mtoto utapewa kipaumbele. Kwa wale wanaopenda kukatisha tamaa na kupondea. Jipitie tu.
kila la kheri
thanxx friend
bi nyakomba, Mungu akutangulie katika hitaji lako, kuna wakaka humu walioenda age. Utapata wako kwa uweza wa Mungu.
No doubt utapata tu.., hata wale wanaokatisha tamaa wewe wapuuzie na concentrate na wale walio serious, all I have seen above is positive, cha maana ni kupata mtu hapa mka-brake the ice, na mkiendana in real world the sky the limit..,
You never know you can find precious things in unexpected places
Opportunities Multiply as they are Seized Sun Tzu
jamani no body is interested with bi nyakomba. OMG
Jamaa akiwa anakuja kumcheki mtoto nitakua nawapisha au utakuwa unaenda kwake kumpeleka mtoto?
,,,,,,,,Jisachi
tutampa ristriction brother J.mmmmmh jokes zimeanza
bibie cv yako bdo hujamalizia na mbna hujasema cv ya umtakaye?
I nid u email me at [email protected]
Tuwasiliane [email protected]
Mtu makini mwenye akili timamu na fikra pevu hawezi kuleta utani katika kitu cha maana, jamani kwa ambaye hayoku tayari kuliko kuanza kuandika utani na kwenda nje ya mada mngenyamaza,mwenzenu anashida hivyo anataka aliyeko tayari wawasiliane.
Kama huna vigezo mpotezee
Bi nyakomba hivi ulishapata lol. Give us feedback pls
Follow Us Here