I heard that Serena Williams is in Kenya.
Can any one verify this?
I heard that Serena Williams is in Kenya.
Can any one verify this?
Ana Charity yake hapo kwa manyang'au.
Best mtatumaliza kwa kamba, sasa juzi R-Kerry alipotembelea Uganda ndo tuseme naye ni Mnyakole? Au Eto' alipotembelea Kenya mwaka jana ndo tuconclude kuwa ni mkikuyu?
Badae mtasema kwa kuwa Bushi alikuja Tz Basi naye ni msukuma au Mmeru wa Arusha. Sasa kama ni hivyo na raisi wetu mh. Kikwete tutasema ni raia wa nchi gani? na juzi tu alikuwa uturuki au ndo kawa mwarabu. Best kazi tunayo!
huyu Kikwete kama siyo Mkomoro basi ni myemeni
........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU
Serena Williams plays ball with Sadili pupils when she toured the institution on Wednesday.
'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK
'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK
World number one Serena Williams cuts the tape to officially open the Serena Williams Secondary School at Matiliku.
'Belief in myths allows the comfort of opinions without the discomfort of thought.' - JFK
Follow Us Here